TANZIA Katibu Tawala Arusha, Bw. Richard Kwitega afariki Dunia

V.I.P Driving Ethics zinataka speed limit 80 kwa gari ya Kiongozi kama RAS.

Sasa kwa hali ya gari hiyo ilivyopondeka inaonekana dereva alikuwa kati ya 120-180 speed.

Huwa ninakereka sana watu kuendesha gari bila mpangilio.

Sasa hasara yote hii ingeepukika au ingekuwa ndogo.

V8 ikipata ajali halafu mtu afe ujue mwendo ulikuwa mkali Sana.

Poleni wafiwa. Ila madereva wa Serikali punguzeni sifa na mihemko. Mnakera
 
Huwa nashangaa kwa nini wasiwahi kabla ya muda wakafika mapema !! Kwa nini mimbio yote hiyo kuhatarisha maisha!? By the way IQ ya dereva inawezesha mwendo kasi na sio kila dereva na overtaking za hovyo anamudu mwendo mkali
 

Watu hawajui haya magari kwamba ni hatari hata kama lina okm limetoka yadi muda huo huo!! Kuendesha gari kwa speed kubwa ni hatari sana!! Kama unatka kuwahi bora uchukue ndege halafu dereva aje mdogo mdogo na 80km/hr.
 
Dereva kwakwepa upande wake na kulengesha upande wa boss
 
Viongozi na watumishi wa serikali ni wahanga wakubwa wa vifo/ulemavu uletwao na ajali...

Sijui chanzo ni nini? Mwendokasi au juju
Hawa wanajifanyaga wana haraka sana na vikao vyao vya zima moto,ni mabigwa wakuchomekea na ku overtake sehemu zisizoruhusiwa, hiyo crush ni ya 170KPH na mara nyingi ukiwauliza utaambiwa sisi ndio wenye nchi
 
May almighty God strengthen the bereaved family let us love each other no one knows his days of departure from this sinfu world
 
Pole sana kwa familia.

Ila kwa speed ya hawa wapuuzi wasiofuata sheria za barabarani, STK, STL, nk itoshe tu kusema wamevuna walichopanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…