Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Chuki zako naona kama utaenda nazo kaburini.Wakenya tayari walishalia kuhusu kupoteza mizigo inayoingia kupitia bandari ya dar er Salaam. Bandari yetu inao uwezo mzuri sana wa kufanya kazi hiyo. Matatizo tu ni matapeli wa aina yako na Samia. Lakini dawa yenu mtaipata tu.
IGA imewezesha kupatikana kitu kinachoitwa Commercial Agreements, ndizo zinazowezesha DP World na Tanzania kuingia ubia wa kufanya biashara pale TPA.IGA ilikufa. Janja yote mliyotaka kuitumia iligonga mwamba, na sasa matokeo yake ndiyo mtakayoyashuhudia karibuni.
Iwapo huelewi kwamba IGA ndio imezaa huu mradi maana yake wewe ni ngumbaru tu.Nilishakwambia, ukiona mimi kuwa "mtupu kichwani" ujue wewe ni mbuzi kabisa wa kufugwa. Hili linajidhihirisha wazi hata katika uandishi tu tunaofanya humu.
Hakuna mwenye chuki kumzidi mtu anayelifanyia taifa lake hujuma. Genge lenu na Samia ndio wenye chuki kubwa dhidi ya waTanzania wote.Chuki zako naona kama utaenda nazo kaburini.
Mikataba inafanyika miaka yote bila ya upuuzi huo wa IGA mliyotaka kuwaingiza waTanzania. Kwa akili yako ndogo bado hili nalo hulielewi!IGA imewezesha kupatikana kitu kinachoitwa Commercial Agreements, ndizo zinazowezesha DP World na Tanzania kuingia ubia wa kufanya biashara pale TPA.
Unaona upumbavu huu lakini?... "Tuliweza kuivujisha IGA..."Tuliweza kuivujisha IGA na kila mtu akageuka mwanasheria wa kujadili vifungu, hizi agreements za kibiashara zilizoandaliwa na kusainiwa pale Ikulu Dodoma hakuna atakayeweza kuzivujisha kwenye public, zikivuja maana yake serikali yetu ijiandae kushtakiwa
IGA ilkufa; kama bado huelewi nenda kamuulize Samia atakueleza vizuri uelewe.Iwapo huelewi kwamba IGA ndio imezaa huu mradi maana yake wewe ni ngumbaru tu.
Yupo mwanasheria mbobezi anayemshauri Mheshimiwa Samia kwenye mradi mzima wa DPW na Tanzania nilikuwa nae masomoni Ukraine miaka ya 90, ndiye aliyeshughulika kwa kina katika suala la IGA. Haiwezi kufa IGA kwani ndio iliyozaa hizi commercial agreements zilizosainiwa pale ikulu Dodoma.IGA ilkufa; kama bado huelewi nenda kamuulize Samia atakueleza vizuri uelewe.
Kalamu unachekesha sana, unaongea kwa hisia lakini hujui unachokiongea maskini ya Mungu.Mikataba inafanyika miaka yote bila ya upuuzi huo wa IGA mliyotaka kuwaingiza waTanzania. Kwa akili yako ndogo bado hili nalo hulielewi!
Unaona upumbavu huu lakini?... "Tuliweza kuivujisha IGA..."
Mmekwisha jimaliza wenyewe; halafu unaendelea kushangilia! Huu sio ujinga wa kawaida, huu ni upumbavu.
Wafanyabiashara wanakwenda kupunguziwa mzigo wa kuingiza na kutoa bidhaa pale bandarini, hizi kelele zako ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.Hakuna mwenye chuki kumzidi mtu anayelifanyia taifa lake hujuma. Genge lenu na Samia ndio wenye chuki kubwa dhidi ya waTanzania wote.
Hii sasa nikuingilia binafsi ya mtu.Kitima akatoe matunzo kwa wanawake aliowazalisha.
Tuonyeshe ilipo IGA y aTICTS; unaandika kama huna akili kichwani?Huwezi kupata commercial agreements bila ya kwanza IGA kupitishwa na bunge, IGA ni kanuni tu zenye kuongoza biashara nzima, mikataba nyeti ni ile iliyosainiwa bungeni Dodoma
Nani, Hamza? Elimu za namna hiyo zinawakosha watu wa aina yako, hasa inapochanganyika na msukumo wa utapeli na ufisadi.Yupo mwanasheria mbobezi anayemshauri Mheshimiwa Samia kwenye mradi mzima wa DPW na Tanzania nilikuwa nae masomoni Ukraine miaka ya 90
Kwani ulitegemea mtu kama wewe uelewe ninachoongea? Najua hata ukielewa, utajifanya huelewi.Kalamu unachekesha sana, unaongea kwa hisia lakini hujui unachokiongea maskini ya Mungu.
Usitumie kisingizio cha wafanya biashara, huku wewe na genge zima linalomfuga Samia ndio mnaowasababishia wafanya biashara hao maumivu makubwa.Wafanyabiashara wanakwenda kupunguziwa mzigo wa kuingiza na kutoa bidhaa pale bandarini, hizi kelele zako ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
Ungekuwa na akili nyingi kama unavyotaka ufahamike ungeelewa kwamba hivyo vipengele havina nguvu yoyote ya kisheria ya kubadilisha hata nukta moja ya sheria zetu.Tuonyeshe ilipo IGA y aTICTS; unaandika kama huna akili kichwani?
"IGA ni kanuni tu" wakati ikihimiza na kulazimisha sheria zinazolinda mali ya nchi zibadilishwe kukidhi matakwa ya huo upuuzi waIGA yenyewe.
Siwezi kamwe kudharau elimu ya Ukraine, hasa ukilinganisha na upuuzi wetu hapa siku hizi, lakini nadharau matokeo yake kama haya uliyoyapata wewe kama kweli umesomea huko kama unavyodai hapa.
Kuna watu wanasoma shule nzuri kabisa duniani, lakini wao kama wao wanakuwa ni aibu kwa shule hizo. Nikupe mfano wa Chenge, unamfahamu?
Nani, Hamza? Elimu za namna hiyo zinawakosha watu wa aina yako, hasa inapochanganyika na msukumo wa utapeli na ufisadi.
Jielimishe kila unapopata muda kuhusu masuala ya bandari na uendeshaji wake vinginevyo utaishia kudhani unaibiwa kila kukicha.Usitumie kisingizio cha wafanya biashara, huku wewe na genge zima linalomfuga Samia ndio mnaowasababishia wafanya biashara hao maumivu makubwa.
Sasa mnataka kuuza nchi kabisa badala ya hao wachache wafanya biashara. Huu ni uhaini.
Duh!Ungekuwa na akili nyingi kama unavyotaka ufahamike ungeelewa kwamba hivyo vipengele havina nguvu yoyote ya kisheria ya kubadilisha hata nukta moja ya sheria zetu.
Tenda zilizotangazwa hazina uhusiano wowote na hiyo IGA iliyokufa. IGA haipo tena.Kuna barua mbili za kutangaza tender za uendeshaji bandari zimeandikwa na kusambazwa baada ya hiyo IGA kuwa imejadiliwa bungeni, kama IGA ingekuwa na nguvu hizo mnazotudanganya inazo huo uwezo wa kusambaza hizo barua za TPA umetoka wapi?.
IGA isingekuwa na maana msingefanya mazingaombwe yote yale yaliyowaacha uchi na kuwavunjia heshima.Wewe ndio huna akili kichwani unayeshindwa kuelewa kuwa IGA ina mipaka yake, unayetafsiri vifungu kwa mujibu wa uelewa wako
Hujui?Bandari ipo pale pale kilichoongezeka ni aina ya uendeshaji kuwa wa kisasa zaidi. Tulikuwa tunaendesha kwa mfumo wa toolport ambao ni wa kizamani kwamba mamlaka ya bandari inaendesha kila kitu.
Ndiyo maana hasumbuliwi kabisa na ufisadi wowote, kwa sababu yeye ni mmoja wao.Kwa kifupi Samia ana nia njema sana kwa TRA, pia kwa hazina nzima ya Taifa.
Kusema kwamba haguswi na shida zetu ni kutomtendea haki. Kuhangaika mpaka hao DP World wameweza kuja na kuingia mkataba wa miaka 30 ni ishara ya kuguswa na shida za jamii anayoingoza.Ndiyo maana hasumbuliwi kabisa na ufisadi wowote, kwa sababu yeye ni mmoja wao.
Rais ambaye hana hata chembe ndogo tu ya kujali maslahi ya nchi anayoiongoza. Ni jambo la kusikitisha sana.