Katika biashara mbaya zaidi duniani ni ya madawa ya kulevya. Haitaki utani kabisa

Hatari sana
 
Ni mbaya ila ukitoboa sio mchezo, hata kama ni mtoto unapewa shikamoo ya nguvu.
 
Nilimaliza meta nikapangiwa Kantalamba mzee akasema bora usome Sangu kombi si hizo hizo enzi za Mwalimu Mwakyulu na Mtaalamu Bukuku..
Mwakyulu,kabigi,mwakipile,ndimbo
Headmaster mwl makande rip
Sema sangu nlifukuzwa,ile adhabu soweto pale hapana nlipiga sana walimu nje ya shule,alafu nasoma hku napiga kazi bro wangu mmj tulikuwa tunafata supermilk Zimbabwe ikabd niletwe dar st Anthony kwa bro Masato, 4 nlimaliza kwa mbinde sana nashukuru nliscore vzr kiasi

Ova
 
Daah umenikumbusha mbali sana sema wewe ulikua mbele yangu mimi headmaster alikua Mwakyulu badae akaja Mr Bukuku na mwalimu Mmoja wa Geog Mwambene walikua poa sana kwetu enzi zenu za Soweto ni za kina Kambasonic nikaja kumkuta Cape huko Mobray..
 
Makandi mpk msiba wake tuliupeleka tukuyu anko alikuwa anajuana naye sana
Na tulikuwa na Toyota dyna
Ndy ilimbeba
Soweto ilikuwa hakufai aise
Alafu alikuwepo mwl ndimbo dah

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…