wewe ndo hujielewi ...Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Neno 'ujuha' linavutia sana, pamoja na ukweli kwamba siyo neno la kistaarabu.INAWEZEKANA lakini utabaki ni ujuha tu
Kwahiyo, wewe unadhani kila mtu anaishi kidigitali?Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Kwani wewe unaishi ulimwengu gani? Hujui Tanzania wenye tools digital wachache sana na wengi ni vitochi?Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Just imagine Tanzania ina idadi ya watu 61+m lakini JF ambayo angalau inafuatiliwa sana ina members 624k+. Kwa mfano huu mdogo tu jaribu kushughulisha ubongo.Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Kama ni hivyo kwanini huwa mnatumia malori kukusanya watu wajae kwenye mikutano yenu majizi ya kura?Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Mimi ninadhani uwezo wako wa kufikiri unautumia vibaya, unawaza badala kufikiri; na unachangia hata usichoelewa. Narudia yeyote anayelilia mikutano ya hadhara ni juha na sijataja chama choteKama ni hivyo kwanini huwa mnatumia malori kukusanya watu wajae kwenye mikutano yenu majizi ya kura?
Digital kwenye hizi bundle zinazopanda kila siku kuliko bei ya kilo ya unga? Anzeni wañaccm kufanya mikutano kwa njia za kidigitali tuone ufanisi wake.
Shida hata mtoto ukiwa unamzuia sana jambo fulani ataling'ang'ania,. waachwe watabwabwaja wakichoka na kukosa la kusema wataacha wenyewe. Wananchi watawachoka maana watakuwa wanarudia yaleyale ya siku zote, katiba mpya na porojo zingine zilizozoeleka. Wangeachwagwa siku nyingi wangeshajichokea. Kwa wenzetu walioendelea nani amesikia madai km haya, hawa ni watu wasio na kazi. Uchaguzi ukiisha mikutano ya hadhara ya nini tena? Kwanini msisubiri uchaguzi mwingine?wewe ndo hujielewi ...
Tuanze na ibada kisha tufuatishe mikutano ya hadhara.anayelilia na anayepongeza tofautiyake nini? Kwa maoni yangu katika karne hii na teknolojia iliyo kulilia mikutano ya hadhara ni ujuha; na mkuu wala sijataja chama.
Kwa hiyo mikutano ya hadhara itawafikia wote 61m?Just imagine Tanzania ina idadi ya watu 61+m lakini JF ambayo angalau inafuatiliwa sana ina members 624k+. Kwa mfano huu mdogo tu jaribu kushughulisha ubongo.View attachment 2472083
Mimi ninadhani uwezo wako wa kufikiri unautumia vibaya, unawaza badala kufikiri; na unachangia hata usichoelewa. Narudia yeyote anayelilia mikutano ya hadhara ni juha na sijataja chama chote
Utazeeka pia au kwa vile unakula bure hapo kwa dada yako unadhani utabaki hivyo. Mkuu kama ibada zinafanyika kwa mtandao, matibabu yabafabyika kwa mtandao, jana tumeona Kamati kuuya CHADEMA ikiongozwa na Gaidi inafanyika kwa njia ya mtandao- kulilila mikutano ya hadhara ni ujuhaWengi wenye mawazo yako ni wanaccm, na mostly huwa ni wazee.
Wakati wa mwaka mpya wana ccm wote wamepata salamu za kheri ya mwaka mpya kutoka kwa mwenyekiti wao- wamepta wote hata wenye vitochi. Sababu pekee ninayoiona ni kutumia njia hiyo kuibia watu na wenye madukaKwani wewe unaishi ulimwengu gani? Hujui Tanzania wenye tools digital wachache sana na wengi ni vitochi?
nenda kijijini ukaone
demokrasia ni Kwa wote
shida yako unaizungumzia teknolojia ukiwa jijini. hujawahi hata kufika vijiji 20 tu vya Tanzani wewe.anayelilia na anayepongeza tofautiyake nini? Kwa maoni yangu katika karne hii na teknolojia iliyo kulilia mikutano ya hadhara ni ujuha; na mkuu wala sijataja chama.
Mkuu mara ya mwisho kwenda Tanzania hiyo unayoita vijijini ni lini; maana ninyoijua mimi yaiko hivyo unavyoisemaLakini pia mtu asiyejua mazingira ya watanzania hadi vijijini ambao kwao mawasiliano bado ni changamoto kubwa achilia mbali kukosekana kwa miundombinu na elimu, huy
Probably yes, kwa sababu kila chama kina uongozi hadi ngazi ya mtaa. Na mikutano inatakiwa kufanyika hadi kwenye mitaa. Chama ambacho hakijafika hadi ngazi ya mtaa ndio hakitaweza kuwafikia wananchi walio wengi.Kwa hiyo mikutano ya hadhara itawafikia wote 61m?
Utazeeka pia au kwa vile unakula bure hapo kwa dada yako unadhani utabaki hivyo. Mkuu kama ibada zinafanyika kwa mtandao, matibabu yabafabyika kwa mtandao, jana tumeona Kamati kuuya CHADEMA ikiongozwa na Gaidi inafanyika kwa njia ya mtandao- kulilila mikutano ya hadhara ni ujuha