Katika dunia hii ya kidigitali kulilia mikutano ya hadhara ni ujuha wa kiwango cha ajabu

FA
 
Mkuu tafuta takwimu
Around 70 percent of the surveyed population used a mobile phone daily in Tanzania as of 2021.22 Nov 2022
 
Chadema ya sasa sio ile ya awamu ya nne. Mikutano ya hadhara wala haitasaidia maana ule uongo na uchochezi hata mama hataruhusu.
Tanzania ya sasa wananchi wanadai maendeleo hakuna nafasi ya porojo na kupotezeana muda kwa mikutano ya hadhara wakati media za kila aina zipo.
 
Basi ujuha utakuwa umeanzia kwenye katiba, maana mikutano ya kisiasa imeruhusiwa kikatiba na mikutano ya hadhara ni sehemu ya mikutano hiyo..!!!
 
h
Basi ujuha utakuwa umeanzia kwenye katiba, maana mikutano ya kisiasa imeruhusiwa kikatiba na mikutano ya hadhara ni sehemu ya mikutano hiyo..!!!
iyo ni 1977 na 1992 inasameheka
 
Kwa mantiki hiyo hatuna katiba
Bibi yako aliposwa na akaozwa kwa babu yako. Watoto wako watajiposa na kujioza wenye. Twende na mabadiriko. Cha mhimu hapa ni namna ya kuwafikia watu- Yesu alipanda Punda ndiyo ilikuwa V8 ya wakati ule, Askofu wa leo anapanda V8 ila wote wanaenda kwa watu
 
We ndiyo JUHA
Ufanye mkutano online utawapata watu wangapi?
 
Katiba imeruhusu mikutano ya hadhara..!! Basi..!! hao Punda, V8 etc mbwembwe tu..!! Yaani wewe unataka kufanya mkutano wa kidigitali na wapiga kura wako, watu wa kishumundu, Ligela, Kilando, Karagwe, Likuyufusi, Lituhi, Magagula, Itaka, Fuka, Loriondo, Kinambeu, etc unaona inawezekana..!!! KUNA WAKATI TUWE NA UHALISIA..!!
 
Hii post yako inaonesha jinsi baadhi ya watanzania walivyo majuha. Mbona wewe usisome kidigitali ukiwa nyumbani umelala.
 

internet use in Tanzania in 2022​

There were 15.60 million internet users in Tanzania in January 2022.

Tanzania’s internet penetration rate stood at 25.0 percent of the total population at the start of 2022.

Kepios analysis indicates that internet users in Tanzania increased by 446 thousand (+2.9 percent) between 2021 and 2022.

For perspective, these user figures reveal that 46.79 million people in Tanzania did not use the internet at the start of 2022, meaning that 75.0 percent of the population remained offline at the beginning of the year.
Mkuu nimekuwekea hapo takwimu za watanzania wenye kutumia Internet; hawa ni zaidi ya watu waliopiga kura 2020. Bado wako watumiaji wa simu za kawaida ambao wanaweza kufikiwa kwa njia ya ujumbe mfupi; halafu ati watu wanajiita kizazi cha kidigitali bado wanalilia mikutano ya hadhara- ni ujuha
 
Chawa wa mama unaanza kumkana mama mapema hivi.!??
 
Hii post yako inaonesha jinsi baadhi ya watanzania walivyo majuha. Mbona wewe usisome kidigitali ukiwa nyumbani umelala.
Nimesoma Chuo Kikuu Huria-kwa mtandao; na kwa taarifa yako chuo kikuu huria ndicho chuo kinachoongoza kwa idada ya wanafunzi Tanzania
 
Usikute manamba yako yote hao hawapendi siasa
 
Chawa wa mama unaanza kumkana mama mapema hivi.!??
Wewe KUPE kwenye mwili wa Gaidi Mbowe mama kafanya nini? Kasema fateni katiba na utaratibu, anacho kataaa ni tabia yenu ile ya ugangwe wa LY darasa la saba kumgomea mwalimu wa starehe
 
Usikute manamba yako yote hao hawapendi siasa
Mkuu inawezekana maana wapenda siasa duniani kote wanapungua kwa kasi kuliko faru weupe ndiyo maana CHADEMA imekosa hata mtu mwingine wa kuwa mwenyekiti na hata mgombea urais ilibidi wakachuke mkimbizi kutoka ubelgiji
 
Nimesoma Chuo Kikuu Huria-kwa mtandao; na kwa taarifa yako chuo kikuu huria ndicho chuo kinachoongoza kwa idada ya wanafunzi Tanzania
Ulaya na marekani ambapo vyombo vya mawasiliano na technology ipo juu wanahitaji mikutano ya kisiasa ana kwa ana wewe unataka Mbowe apige kampeni kidigitali na wazee wa Mtakuja, Kibosho, Kibiti, nk wasio hata na redio za uhakika watampata vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…