Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kwa mujibu wa hizo data nilizokupa ipo hivi;Ww umetaja nchi moja moja mimi nimetaja population kwa ujumla.
Hata Nigeria na Ethiopia ndo nchi zenye watu wengi kuliko zote barani Africa lakini tukipiga Total ya watu walioko Africa nzima watu ya Nigeria na Ethiopia wanakuwa ni asilia ndogo sana ya waafrica.
We ni kobazi full stop usijifanye kusema huna dini tunawajua sanaMkuu nan kakuambia mimi ni kobazi😂😂😂
Sawa mkuu😂We ni kobazi full stop
Mnajifanya hamna dini halafu mnajisahau sio jzmamii forum bhanaSawa mkuu😂
Sio tu sina dini , wala sijawah kuona umuhimu wa mimi kuwa na dini .Mnajifanya hamna dini halafu mnajisahau sio
Vizuri umeamua kukiri upofu wako. Kuhusu hoja zako rudia kusoma kati ya nilichoandika na hoja zako halafu tafakari upya ni nani anatakiwa kutoa jibuTuambie sasa kati ya Marekani, wayahudi,na Roman katoliki nani mtawala wa dunia maana leo mnamsema huyu kesho mnamsema huyu sasa mnataka tuwaeleweje?
Acheni tabia ya kilishana matango poli Roma haitawali dunia bali ina ushawishi sehemu ambapo kuna wafuasi wake wengi.
Aya Niambie mashariki ya kati,Ulaya mashariki,Asia ya kati,Asia ya mashariki hata hapo Africa ya kaskazini papa ana nguvu gani?
Hapo Rwanda si kagame kafunga mamia ya parokia za kikatoliki huyo papa kamfanya nini.
Mwaka jana nchini Nikaragwa mamia ya mapadili na maasikofu walitia ndani baada ya kungilia majukumu ya serikali na papa hakufanya chochote.
Hapa Tz serikali ya CCM ndo inayo walea ili kuwatumia kwenye masilahi yake lakini wakiamuwa kuteketeza na kuviuwa hivyo vitaasisi vyenu ni chapu na haraka na papa hana uwezo wa kufanya chochote.
Hizo stori waambie wapungufu wa Kili wenzakoSio tu sina dini , wala sijawah kuona umuhimu wa mimi kuwa na dini .
Sawa mkuu😂Hizo stori waambie wapungu wa Kili wenzako
Ufalme wa chuma huu.Roman Empire ilikuwa na nguvu sana ndio maana mpaka
leo inaendelea kutawala dunia.View attachment 3163791
Ukita kujua nguvu ya ukatoliki muulize Samia alifuata nini Vatican eneo lisilozidi mji wa chalinze ?Ila wagaratia mna mambo ya ajabu sana, mara mtuambie kuwa Wayahudi ndo wana tawala dunia ,mara waroma ndo wanatawala dunia mara Marekani ndo inatawala dunia sasa kushike lipi?
%70 ya wakatoliki duniani ni kutoka Africa na America ya kusini na ndo mabara yaliyo jaa umasikini na uharibifu kuliko sehemu yeyote ulimwenguni.
Kumbe ww ni ndina hao wakatoliki si walikuwa wsnaupinga mkataba wa bandari?Ukita kujua nguvu ya ukatoliki muulize Samia alifuata nini Vatican eneo lisilozidi mji wa chalinze ?
Kumbe ww ni ndina hao wakatoliki si walikuwa wsnaupinga mkataba wa bandari?Ukita kujua nguvu ya ukatoliki muulize Samia alifuata nini Vatican eneo lisilozidi mji wa chalinze ?
Mkuu uko sawa kweli kichwani?ebu angalia tena takwimu zako ulizo ziweka.Kwa mujibu wa hizo data nilizokupa ipo hivi;
Kwa kuzifungamanisha nchi na mabara zitokazo.
South America: Brazil (116.1M), Colombia (39.0M) → 155.1M
North America: Mexico (93.0M), United States (69.5M) → 162.5M
Asia: The Philippines (94.0M) → 94.0M
Europe: Italy (46.8M), France (42.2M), Poland (33.1M), Spain (28.8M) → 150.9M
Africa: Democratic Republic of the Congo (76.5M) → 76.5M
------xxxxx------xxxxx-----xxxxxx---
Bara lenye Wakatolki wengi;
North America: 162.5 million
South America: 155.1 million
Europe: 150.9 million
Asia: 94.0 million
Africa: 76.5 million
Nasikia atakuja kwa mwamposa kwanza kujazwa upako then huko Vatican.Angalia kanisa Katoliki, Vatican ni kila kitu, Trump ataenda kupasalimia ndipo aanza kazi.
Ulivyo fala hata kusoma haujui unakimbilia kuuliza utimamu wa mtu. Wewe unaweza kuhoji utimamu wangu mimi? Rudia kusoma hicho nilichokiweka hapo halafu rudi juu zaidi ulipoanzia.Mkuu uko sawa kweli kichwani?ebu angalia tena takwimu zako ulizo ziweka.
Ya kwamba Africa ina wakatoliki million 76 tu hivi una akili kweli au naongea na kilaza hapa?
Wakatoliki walioko Tz,kenya na uganda,na Zambia tu wanazidi million 76 sembuse Africa nzima?
Hapa duniani kuna zaidi ya wakatoliki bilion 1.3 na bara la kwanza kuwa na wakatoliki wengi ni America kusini alafu ina fuata Africa.
Lakini kwa mujibu wa takwimu zako ni kuwa wakatoliki hawafiki hata milion 500 hapa duniani.
Wakina Julius Caesar.Ufalme wa chuma huu.
Pia hajaona pia Papa akienda huko Uarabuni anavyopokelewa kama mfalme.Ukita kujua nguvu ya ukatoliki muulize Samia alifuata nini Vatican eneo lisilozidi mji wa chalinze ?