Katika Hali isiyo ya kawaida FFU waanza shamra shamra huku mjini posta wanazunguka zunguka kabla ya tarehe 23 yenyewe

Hawana ushahidi wa mauaji ya kiongozi wao kufanywa na watu wa mfumo. Ni masuala ya ujambazi na utekaji.

..basi mfumo utoe ushahidi kuwa sio wao, bali ni majambazi. Hivi mfumo si wa Watanzania wote? Tumekosea wapi? Kwanini haturekebishi?

..vijana wa Chadema walipigiwa simu waende kituo cha Polisi, hapo katikati wakatekwa.

..kuna kijana mwingine yuko Tanga alitekwa na Polisi na mpaka leo wanazuia dhamana yake. Polisi walikana kuwa wanaye kwa wiki zaidi ya 3.

..Mzee Ally Kibao amekamatwa kipolisi-polisi. Baadae ameuwawa. Mwili wake ukaharibiwa.

..Mimi nadhani juhudi kubwa zaidi zielekezwe kuzuia maovu yanayosababisha Chadema watake kuandamana.

..Kutoa kauli za kijeuri kwamba hawana ushahidi sio UTU. Polisi watoe USHIRIKIANO kwa Chadema na kurudisha imani iliyopotea.

..Hii nchi ni yetu sote. Sio sahihi baadhi ya raia kunyimwa haki, na kunyanyaswa, ktk nchi yao.
 
Wewe anza leo.

Kuna mmija anaitwa Azori Gwanda alisema kama wewe, umewahi. Kumsikia?
 
Ndiyo maana wanaojiunga na polisi ni F4 failure pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…