Mbowe kaihirisha maandamano, anadai anawasikiliza maaskofu wanaofanya kikao na serikali.
..Chadema wana haki zote kufanya maandamano kupinga mauaji ya kiongozi wao, na utekwaji wa vijana wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe kaihirisha maandamano, anadai anawasikiliza maaskofu wanaofanya kikao na serikali.
Hawana ushahidi wa mauaji ya kiongozi wao kufanywa na watu wa mfumo. Ni masuala ya ujambazi na utekaji...Chadema wana haki zote kufanya maandamano kupinga mauaji ya kiongozi wao, na utekwaji wa vijana wao.
Hawana ushahidi wa mauaji ya kiongozi wao kufanywa na watu wa mfumo. Ni masuala ya ujambazi na utekaji.
Wewe anza leo.Hizo ni mbwembwe tu.wananchi wakiamua hakuna wa kuzuia.tumejionea Kenya walipoamua wananchi polisi walifanya u babe wao mwishoe wakashindwa nguvu na kupelekea kutimiza madai ya wananchi Kwa serikali.Hata huko misiri wakati wa mapinduzi ulikuwa hivohivo hatimaye nguvu ya umma ikawashinda polisi.hakuna kuogopa polisi Wala nini.Aluta continua
Wafanyie chumbani..Chadema wana haki zote kufanya maandamano kupinga mauaji ya kiongozi wao, na utekwaji wa vijana wao.
Mimi nilijua wazee Wana busara kumbe hakuna kitu!Wewe anza leo.
Kuna mmija anaitwa Azori Gwanda alisema kama wewe, umewahi. Kumsikia?
Ndiyo maana wanaojiunga na polisi ni F4 failure pekeeAman iwe nanyi wana wa MUNGU
Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao
Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana
FFU wakiwa wanalinda bank wanabeba SMG na AKA 47 kwenye kuzuia maandamano wanabeba silaha ambazo hazijawahi kuonekana technology ya myahudi
Lakini sis haturudi nyuma tarehe 23 kama kawaida tuko barabaran
Samia must go
LONDON BOY
Hicho ndiyo wanaweza pekee na kuvunja matofali kwa meno siku ya muunganoWana mbwembwe nyingi ila kazi ya kulinda usalama wa raia hawawezi
Nenda tu kaandamane.Mimi nilijua wazee Wana busara kumbe hakuna kitu!
🤣🤣🤣🤣Waongeze juhudi na wawashukuru CDM kwa kuwapa cha kufanya.
Kama wapelestina.Nenda tu kaandamane.
Nenda tu jaabdamane, sasa hivi watu hawavai hata magwanda ya chadomo mitaani.Ndio wanaongezea watu mzuka wa kuandamana.
Jana uliingizwa chaka kwa taarifa feki za maandamano kuahirishwa.🤣🤣🤣🤣
Samia must go!Nenda tu jaabdamane, sasa hivi watu hawavai hata magwanda ya chadomo mitaani.
Kazi ya Mungu haina makosa.Samia must go!
Inawezekana hata za polisi kupiga marufuku maandamanoi ni feki pia?Jana uliingizwa chaka kwa taarifa feki za maandamano kuahirishwa.
Haya yamepangwa yafanyike Tanzania kila mkoa kila kijiji. Ytayomkuta shauri lake.Na hapa Mwanza naona kama wameanza. Tuache kabisa maandamano.