Katika Hali isiyo ya kawaida FFU waanza shamra shamra huku mjini posta wanazunguka zunguka kabla ya tarehe 23 yenyewe

Hakuna mtanzania wakuandamana hata siku 1, miaka buku.
 
Wananchi tuna jambo letu 23 sept
Hao ffu Wacha waendelee na maxoezi
 
Punguza utoto dogo. Huu upuuzi wa viclip na rais naye ameingizwa mkenge, bila aibi anasema mbele ya hadhara eti ana vijiclip kuwa ndio bonge la intelijensia!
Mtoto anaweza kuwa wewe mkuu Tindo. Rais ana taarifa za kina kuliko mimi na wewe.
 
Hiyo inaitwa gunboat diplomacy
 
Sure, tukiwa na maandamano ya nchi nzima, mbona polisi ni wachache sana, haya tu wameleta askari tokea kila mkoa, hii tu inaonesha hakuna polisi wa kutosha nchini, viva taratibu wataelewa!
 
 
Mtoto anaweza kuwa wewe mkuu Tindo. Rais ana taarifa za kina kuliko mimi na wewe.
Sina tatizo rais kuwa na taarifa za kina. Kuwa na taarifa sahihi ni muhimu zaidi. Rais ambaye anasimama hadharani na kusema ana clip za Dr.Slaa wa cdm kuhusu utekaji, wakati hiyo clip ina miaka zaidi ya miwili huku mitandaoni, huoni hata ni aibu kusema rais ana taarifa za kina?! Ninapokumbia ueche utoto hiyo ndio maanake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…