Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 701
- 895
mikwara tu
mtu mzima hatishiwi nyau
mtu mzima hatishiwi nyau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mtanzania wakuandamana hata siku 1, miaka buku.Aman iwe nanyi wana wa MUNGU
Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao
Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana
FFU wakiwa wanalinda bank wanabeba SMG na AKA 47 kwenye kuzuia maandamano wanabeba silaha ambazo hazijawahi kuonekana technology ya myahudi
Lakini sis haturudi nyuma tarehe 23 kama kawaida tuko barabaran
Samia must go
LONDON BOY
Ngoja Hatotoka ntu.👇🏿mikwara tu
mtu mzima hatishiwi nyau
Wananchi tuna jambo letu 23 septAman iwe nanyi wana wa MUNGU
Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao
Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana
FFU wakiwa wanalinda bank wanabeba SMG na AKA 47 kwenye kuzuia maandamano wanabeba silaha ambazo hazijawahi kuonekana technology ya myahudi
Lakini sis haturudi nyuma tarehe 23 kama kawaida tuko barabaran
Samia must go
LONDON BOY
Wewe umejuaje ni masuala ya ujambazi na utekaji?Hawana ushahidi wa mauaji ya kiongozi wao kufanywa na watu wa mfumo. Ni masuala ya ujambazi na utekaji.
Wanakimbiaga hawa waume zao wakipewa kichapo.Eh🙌🏾
Hata hawa wanaojiandaa na Maombolezo?![]()
Picha: Bawacha Mkutanoni
Kifo chake kwa namna kinavyoelezewa inaonyesha ni utekaji na ujambazi.Wewe umejuaje ni masuala ya ujambazi na utekaji?
Mtoto anaweza kuwa wewe mkuu Tindo. Rais ana taarifa za kina kuliko mimi na wewe.Punguza utoto dogo. Huu upuuzi wa viclip na rais naye ameingizwa mkenge, bila aibi anasema mbele ya hadhara eti ana vijiclip kuwa ndio bonge la intelijensia!
Hiyo inaitwa gunboat diplomacyAman iwe nanyi wana wa MUNGU
Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao
Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana
FFU wakiwa wanalinda bank wanabeba SMG na AKA 47 kwenye kuzuia maandamano wanabeba silaha ambazo hazijawahi kuonekana technology ya myahudi
Lakini sis haturudi nyuma tarehe 23 kama kawaida tuko barabaran
Samia must go
LONDON BOY
Basi anandamana ndo utajua tulishindwajeHao FFU walishindwa nini kupambana na adui kifo pale March 21 miaka kadhaa iliyopita?
Sadly. Nipo sweden. Ningekuwepo haki ningeandamanaBasi anandamana ndo utajua tulishindwaje
Rudi uandamanea au kama unakijana wako bongo mwambie akuwakilisheSadly. Nipo sweden. Ningekuwepo haki ningeandamana
Vijana wangu siwezi kuwaruhusu kamweRudi uandamanea au kama unakijana wako bongo mwambie akuwakilishe
Si uandamane ukiwa RinkebySadly. Nipo sweden. Ningekuwepo haki ningeandamana
Watanzania wanaoishi stockholm wana ubinafsi wamejitenga sana pia ni waoga mno. Sio kama wenzetu walio Marekani.Si uandamane ukiwa Rinkeby
Sure, tukiwa na maandamano ya nchi nzima, mbona polisi ni wachache sana, haya tu wameleta askari tokea kila mkoa, hii tu inaonesha hakuna polisi wa kutosha nchini, viva taratibu wataelewa!Aman iwe nanyi wana wa MUNGU
Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao
Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana
FFU wakiwa wanalinda bank wanabeba SMG na AKA 47 kwenye kuzuia maandamano wanabeba silaha ambazo hazijawahi kuonekana technology ya myahudi
Lakini sis haturudi nyuma tarehe 23 kama kawaida tuko barabaran
Samia must go
LONDON BOY
Aman iwe nanyi wana wa MUNGU

Sina tatizo rais kuwa na taarifa za kina. Kuwa na taarifa sahihi ni muhimu zaidi. Rais ambaye anasimama hadharani na kusema ana clip za Dr.Slaa wa cdm kuhusu utekaji, wakati hiyo clip ina miaka zaidi ya miwili huku mitandaoni, huoni hata ni aibu kusema rais ana taarifa za kina?! Ninapokumbia ueche utoto hiyo ndio maanake.Mtoto anaweza kuwa wewe mkuu Tindo. Rais ana taarifa za kina kuliko mimi na wewe.