Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa

Lee van cliff jina lako halisi nani mwenzangu....Sheria haitazami malalamiko na mitazamo ya watu kama yako na wengine wanaofanana na Wewe bali msingi wa kesi kwa kuzingatia usawa na haki kisheria ..... Msingi wa yale yote yanayozungumzwa na watu kama wewe juu ya Paul Christian Makondo muachie yeye kwani Jambo lolote litakaloendelea juu yake litamuhusu yeye sio wewe na sisi.Ombi langu kwako Pambana katika kujenga uchumi wako na wa TAIFA LETU hili litakujenga sana na ni jambo jema,vijana wengi tunachelewa kufika tuendako kwa kuwa tuna vituo vingi visivyo na msingi kwani tunakimbilia Mambo yasiyotuhusu ikiwa sisi wenyewe tunamatatizo mengi yasiyovumilika.....

Ya Ngoswe mwachie mwenyewe..
 
Subiri utakaposikia Makonda kala teuzi ndio utawafahamu vizuri CCM.
Amteue kuwa balozi USA.

Kule nako anaweza kupewa kazi ya kuwanyima watu haki ya kuishi.

Amelaaniwa muuaji mpaka kizazi chake cha 4. Kigan bila hatia anairithi laana ya baba.
 
17.3.2021
Tukulipe nn wewe mungu?
Asante kwa usiku ule mtukufu kwa wapenda haki .
Poleni mliopoteza uhai mungu aliendesha mkuu wake
Asante mungu muweza wa yotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…