Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,122
Ona ulivyokuwa huna akili uislamu ndo ulikuja komesha biashara ya utumwa mwanzoni ilikuwa ni tamaduni ya waarabu kama wealth kumiliki watumwa ... Rudi kwa bilal mwafrika alifika arabuni kwa utumwa sasa sikia mtume aliamrisha watu wawe wananua watumwa na kuwaaachiwa huru mmoja wapo ni bilal alinunuliwa na kuachiwa huru ili kukomesha utumwa .Kwani uislam unasemaje kuhusu utumwa??
Mtume mwenyewe mbona alimiliki,kuuza na kununua watumwa..?
Wale waarabu waliojenga misikiti elfu 10 pale Ujiji kigoma, si ndio hao hao waliochukua watumwa na kuwapeleka bagamoyo?
Kuabudu masanamu ilikuwepo ,na Yale yote uliona kwa zama zilizo pita mfano sodoma na goroma kwa kaumu lut kama sijakosea kuingilia nyuma zilikuwepo ,, masanamu rejea kwa Suleiman ,.. uchawi rejea kwa mussaToa mifano ya tamaduni za kiarabu za kale (ambazo hazihusiani na ibaada) ambazo uislam ulizipinga....Namimi nitatoa mifano ya tamaduni (zikiwemo za kiibada) ambazo mtume aliziingiza kwenye Quran na Uislam
Mjinga huyo!! sioni hata point yake.Nani kakuambia KILA muarabu ni Muislamu na kuingia msikitini hakumaanishi unaijua dini.
Waarabu na wahindi wengi uingia kwenye nyumba zao za ibada kama mazoea tu au kulazimishwa na msukumo fulani tu wa kuwaridhisha wenzao.
NakaziaMzungu hata wakoloni awakuwatendea mabaya Sana waafrika mengi ni propaganda za wapigania UHURU ambao interest zao ilikuwa ni kupigania maslai yao binafsi kwa kuwahadaa waafrika wawape sapoti. Ushahidi usio na shaka hata baada ya UHURU wao na hata SAsa vizazi vyao ndivyo vinalamba asali huku mamilioni ya waafrika waliopotoshwa kudai UHURU wakilamba chumvi.
Hivi utamaduni mpaka uhusishe ibaada??Kuabudu masanamu ilikuwepo ,na Yale yote uliona kwa zama zilizo pita mfano sodoma na goroma kwa kaumu lut kama sijakosea kuingilia nyuma zilikuwepo ,, masanamu rejea kwa Suleiman ,.. uchawi rejea kwa mussa
Wewe kubishana na mm hauna utakachojibu coz akili yako ni ndogo mpaka hapo.
π π π Nilijua kama wewe hanithi wale wa upinde wa mvuaHivi utamaduni mpaka uhusishe ibaada??
Nimekuambia unitajie visivyo vya kiibada.
Kuabudu sanamu ni ibaada.
Muhammad alichofanya ni kuuchukua utamaduni wa kiarabu kama ulivyo, akaongezea ibaada za Allah na kuondoa ibaada za miungu mingine....ila mambo mengine kama kubaka, kuoa watoto wadogo,kukandamiza wanawake,nk. Nk. yalibaki constant.
Kadhulumu wapi π π π kwa vile ndo wewe unaye rembua hapo kweny avatar basi ni wale wa upinde wa mvua. Kasome nguzo za uislamu na nguzo za imani ndo misingi ya uislamu then fananisha na mila za kiarabu.Mtume hakuwahi kudhulumu au kushiriki dhulma?
Mtume ni cheo sio jina yupi unayemaanishaMtume hakuwahi kudhulumu au kushiriki dhulma?
It's simple, weka ushahidi wa hii amri....Namimi naweka ushahidi wa mtume kuuza na kununua watumwa..sasa sikia mtume aliamrisha watu wawe wananua watumwa na kuwaaachiwa huru mmoja wapo ni bilal alinunuliwa na kuachiwa huru ili kukomesha utumwa .
MuhammadMtume ni cheo sio jina yupi unayemaanisha
Yaani wewe ndo huu uzi unakuhusuUliponiambia tu unakula kiti moto nimeishia hapo.
Feed the hungry, Visit the sick, Set free captives.βIt's simple, weka ushahidi wa hii amri....Namimi naweka ushahidi wa mtume kuuza na kununua watumwa..
Huyo Bilal ni mmoja TU, asiwe ndio kigezo cha kusema Hitler alikuwa na Roho nzuri kisa siku 1 alimpa mama mmoja Hela ya kula.
Mambo ya avatar na upinde wa mvua yamefikaje hapa?Kadhulumu wapi π π π kwa vile ndo wewe unaye rembua hapo kweny avatar basi ni wale wa upinde wa mvua. Kasome nguzo za uislamu na nguzo za imani ndo misingi ya uislamu then fananisha na mila za kiarabu.
Leta hapa unasema mateka wa vita hata Russia, Ukraine na marekani kama Hao wanayo mateka π π πMuhammad
Leta ushahidi wapi alivamia naijuo historia yote kumbuka yesu aliharibu Mali za wafanyabiashara katika hekalu lile . Je wapi Muhammad aliharibu na kuvamia? leta ushahidi naslimu hapa ukileta haya umleta mchungaji wako hana ushahidi!!!Mambo ya avatar na upinde wa mvua yamefikaje hapa?
Sipendi mtu anayebishana Kwa kumuattack mtu personally baadala ya kuangalia hoja....Ukianza hizi pigo kama wenzako sikujibu.
Turudi kwenye mada.
Kipindi mtume anavamia misafara ya kibiashara ya waarabu wa mekka na kuiba Mali zao haikuwa dhulma??
Haya maneno ya nani? Ya yesu au?Feed the hungry, Visit the sick, Set free captives.β
Mwarabu ni Mungu wako ?Mimi huwa nawachana live nikiona anasemwa vibaya mwarabu,, kwao mwarabu ni mbaya ila mzungu kwao ni bora.