Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

Akina FaizaFoxy Malaria 2 Ritz et al huwaambii kitu kuhusu Warabu, wana mahaba nao sana, wamekufa wameoza kwao,
Uislam sio uarabu. Enzi za mtume wetu mpendwa waarabu hao hao ndio wengi waliompinga na ndio wamekufa wakiwa makafiri.
Wakiristo mnawachukia waarabu kaa sababu ya mtume wetu kazaliwa uarabuni. Mnapenda wazungu kwa sababu asilimia kubwa ni Wakiristo tu
 
Hivi Nini tofauti ya Utamaduni wa kiarabu na Uislam?
Faiza foxy atakuambia uislam ni mfumo wa maisha ya binadamu sasa unajiuliza mfumo mzuri wa maisha ni utamaduni wa mwarabu?na ndio maana wanashindwa hata kukemea ugaidi na upuuzi mwingine ukifanywa na mwarabu.Ukikosa utamaduni wako ni sawa na mti bila mzizi.Nawapa pole watu wa Pwani.ASALAMALEKO!
 
Kuna wahindi na waarabu Huwa wananishangaza sana wapo tayar kufuturusha watu kujionyesha kwenye jamii...

Wanakufuturisha ule ukanye....

Vijana wengi still tupo kwenye Kupambania kuitafuta FINANCIAL FREEDOM
Aluta continue Kwa vijana wote wapambanaji
Ni ujinga na utumwa wa kiimani na hao wapewa futari wakishavaa mavazi ya kiarabu basi hujiona wako under control ya mwarabu bila aibu.
 
Mkuu huko vizuri ila wewe ngoja tu referendum ipite hukanyagi migombani.
 
Hili ni kweli hapo huwa nashindwa kuelewa kwa nini hawa Makafir wawe tena wanajali jasho la mtu kuliko sisi waja waungwana.
Vp hao wazungu hawajakuomba kinyeo? Maana unawasifia sana. Since you are living as kafir basi hata moto utakuwa unapelekewa pumbaavu
 
U
Uongo mtupu.
 
💯
100%%%
 
Nakula....WALA SIPENDI KUWA MNAFIQ NA KUNA "WENZANGU" WENGI TU NAO WANAKULA NA WANAKIPONDA SANA KWA WATU. KAMA WENGINE WANAVYOZINI AU IBA NA KUCHUKIA WEZI AU WAZINIFU. NAAMINI WEWE HULI. UTAENDA AKHERA.
Demu wa Fulani alikuwa anaitwa Zainabu.

Ni ustaadhat Ile mbaya.

Kila akija geto kufanya yetu anasema nimuandaliwe NOAH nusu kilo na ndizi zake Tatu plus bia yake ya Serengeti lite[emoji2].

Kwanza nilikuwa siamini kama anakitafuta nilienda ninua nikakiweka ndani. Nikasema asipokuwa nitakula mwenyewe.

Alipokuja alikifakamia hatari akasema ana hamu Nako hajala long time.

Nikamuliza vipi wakikudaka maustaadh utasemaje. Akasema hata wao wanakula WATAJIJU[emoji1787].

Hapo hapo Kuna mzee mmoja USTAADH Ile mbaya yaani swala Tano na ana sigda kabisa kichwani hakosi swala.

Ana wake wawili. Mke mkubwa ni mkristo. Kazaa nae watoto watatu wote waislamu. Katika wale mabinti mmoja akanipa stori kwamba kitimoto anakula kama kawa na mama yake anafuga kitimoto pale home kwao katika nyumba aliyojenga mzee wake USTAADH.

Trust me kitimoto hakina makosa ila Imani zetu ndio Zina matege.

Watu wanakamua Noah kama Hawana akili vizuri.

Pale Tanga mjini Kuna sehemu Iko majani mapana ndani ndani hivi sio mbali sana shule ya Galanos Kuna maustaadh wanaagizia NOAH sana. [emoji2][emoji2][emoji1787]
 
Mi nafuat uislamu sio waarabu ! Unachokosea ndo maana tunagombana kitu anfany mwarabu unaingiza uislamu.
Mimi ni muislamu ,siongei mengi lakini.kwa mwenye uelewa umeongea kitu kikubwa sana!

Wengi dini hawaijui wanazevezwa tu.
Waarabu na wazungu ni watu na hakuna aliye msafi... ,sasa mtu kuhukumu wengine kisa kosa la wazungu/waarabu huwa anakosea sana!

Dini ... .. ndio kigezo pekee!
 
Acha ukuma watu wa ngara wamefanyeje, mbona na wewe unaleta dharau kwa watu wa ngara au uliwahi kutombwa na watu wa ngara hujalipwa
 
U

Uongo mtupu.
Utakuwa Mwarabu wa Tandale.Nyie huwa mnakomaa na sigda tu na ukurutu kichwani hamna kitu. Wenzenu wa saudi au oman angalau wao wanapesa na washajua kuwa utajiri unapatikana kwa kushirikiana na mabeberu
 
Utakuwa Mwarabu wa Tandale.Nyie huwa mnakomaa na sigda tu na ukurutu kichwani hamna kitu. Wenzenu wa saudi au oman angalau wao wanapesa na washajua kuwa utajiri unapatikana kwa kushirikiana na mabeberu
Uislam haukatazi kushirikiana na yeyote mradi mnachokifanya kiwe cha halali.

Kumbuka hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…