medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,400
- 1,424
We hiyo aya unaona ipo sawa kwa mawazo yako? Mtu apigwe ila asife. Hata kumkata mkono sawa. Makafiri mna shida sana. Vipi kuhusu ili andiko hadi watoto wachanga? We unaona lipo Sawa?Safi Sana unaona wazi Mungu wa biblia anatoa adhabu kwenye dhambi , ila Allah anapongeza na kumkanya Muhammad asiache kubaka house girl
Sheria ya dini ya kiislamu ina mthamini mwanamke.Na ndiko Mwanamke hathaminiwi
Biblia sio koran ambayo ni mashahiri yasio na uhusiano verse na Verse , biblia unapo nukuu weka sura nzimaWe hiyo aya unaona ipo sawa kwa mawazo yako? Mtu apigwe ila asife. Hata kumkata mkono sawa. Makafiri mna shida sana. Vipi kuhusu ili andiko hadi watoto wachanga? We unaona lipo Sawa?
1 SAMWELI 15
3Basi sasa nenda ukawashambulie Waamaleki na kuwaangamiza kabisa pamoja na kila kitu kilicho mali yao. Usiwahurumie; waue wanaume na wanawake, watoto na wanyonyao, ngʼombe na kondoo, ngamia na punda.’ ”
Mwanamke wa kiislamu Allah kasema wafanye umalaya , mutahSheria ya dini ya kiislamu ina mthamini mwanamke.
Sio waislamu tu, bali watu wa dini zote tunaishi kimazoea.
Muda mwingine mazoea hugeuka sheria (Chai na chapati mbili).
Mambo ni mengi, ila kwa muda wako jaribu kufuatilia haki za mke/ mwanamke katika dini ya kiislamu.
Uislamu haujaacha kitu shekhe...
Sent using Jamii Forums mobile app
haki ya nini ? MMEKUWA WATOTOUislamu ni dini ya haki sio tu ndoa mambo mengi katika uislamu yametolewa ufumbuzi ila wachache katika watu ndio wataelewa.
WANAPENDA KUWAPA WANAWAKE ZAO TALAKA KWASABABU YAKUENDA SANA NGONOHuwezi kuacha kwa sababu ndogo ndogo kama dharau, nk..
Ila kwa habari ya uzinifu (pekee), kuachana kunaruhusiwa:
Mathayo 5:32
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.
Mathayo 19:9
..Basi nawaambieni, yeyote atakayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, akaoa mke mwingine, anazini.”
Mbona unatukana.Mwanamke wa kiislamu Allah kasema wafanye umalaya , mutah
Son of Mutah
MWANAMKE WA KIISLAMU HANA HAKI YA KULITHI MALI WALA KUSOMAUislamu ndio dini inayodhulumu wanawake kuliko dini yoyote.
Ndio dini ya majini Na marhuhani
Dini ya kuua wenzako Kwa dhulma za jihad.
Uislamu sio dini rejea the Satanic Verses za Rushd Suleiman
SHIA NI DINI GANI? UNATAKA KUSEMA SIYO WAISLAMU?Sawa Lakini Mutah ni kwa shia tu soma vzr kiongoziView attachment 2092494
Kama unaona nikisema son of Mutah ni matusi , toka kwenye Uislamu maana Allah ndio muanjilishi wa umalaya unaitwa mutahMbona unatukana.
Wazazi wako walikufundisha matusi...?
Unajisikiaje unapo tukana..?
Nina uhakika ulicho kiandika hauna ushahidi nacho.
Acha chuki....mtaani tunaishi watu wa dini zote bila kubaguana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu tumesoma kuanzia mwanzo hadi ufunuo. Na tumepitia biblia zote na sio moja. Utafananisha na biblia story za porojo, mara binti yake Yakobo amebakwa, mara Yuda kaingiwa na shetani ili akamilishe ukombozi kwa kumsaliti Yesu. Kwa hiyo kwenye uwokovu wenu shetani amehusika piaBiblia sio koran ambayo ni mashahiri yasio na uhusiano verse na Verse , biblia unapo nukuu weka sura nzima
Au roho mtakatifu njiwa akushukie ili uelewe kama wafuasi wa KibwetereBiblia sio koran ambayo ni mashahiri yasio na uhusiano verse na Verse , biblia unapo nukuu weka sura nzima
Uongo mtupu uislam ndio ulikuja kumpa Haki mwanamke mfano zaman mwanamke alikua harithi Mali akiwa katika hedhi ilikua ni niksi hulali nae na Kuna baadhi walikua wanaua watoto wa kike uslam ndio umekuja kumuheshimisha mwanamke na kumfanya pambo la mumewe hivi unajua mwanamke kupika kufua na kazi zote za nyumbani kisheria ya dini sio kazi yake Yani halazimiki kufanya hivyo. Ila wanawake wa kiislam ni wapole wanahuruma na kufanya hizo kazi kwake ni ibada Yan anapata thawabu mwisho hata kukunyonyeshea mwanao sio lazima Sheria inasema umlipe mwanamke unataka haki gan zaidNa ndiko Mwanamke hathaminiwi
Hana haki ya kulithi bali ana haki ya kurithi.Mabwege wengi.Na wengi wamesoma na mmojawapo ni Amri Jeshi wa Nchi unayoishi.Bwege utalijua tu.MWANAMKE WA KIISLAMU HANA HAKI YA KULITHI MALI WALA KUSOMA
Ulitaka kusilimu???Kwa hoja zipi ulizosoma?Kwani umedhihirisha una akili za kushikiwa.Mimi kuna wakati nilitaka Kusilimu niwe Mwislamu.
Lakini nilivyosoma na kuelewa kuwa siku nikiuacha Uislamu natakiwa kuuwawa nikastuka.
Mungu gani analazimisha Dini.
Kama Freemasoni.
Allah hawezi kuwa Mungu.
Abadan Finalilah.
Nisaidie hyo verse kiongozMutaha ni verse ya Koran na hakuna verse ilio kataza
Akiweza kukupa hiyo aya nitag.Anaendeshwa na chuki ,agent wa Iblis.Nisaidie hyo verse kiongoz
Achaneni na uyo jamaa spensa ni mjinga kupitiliza uyoAkiweza kukupa hiyo aya nitag.Anaendeshwa na chuki ,agent wa Iblis.