Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Safi Sana unaona wazi Mungu wa biblia anatoa adhabu kwenye dhambi , ila Allah anapongeza na kumkanya Muhammad asiache kubaka house girl
We hiyo aya unaona ipo sawa kwa mawazo yako? Mtu apigwe ila asife. Hata kumkata mkono sawa. Makafiri mna shida sana. Vipi kuhusu ili andiko hadi watoto wachanga? We unaona lipo Sawa?

1 SAMWELI 15​

3Basi sasa nenda ukawashambulie Waamaleki na kuwaangamiza kabisa pamoja na kila kitu kilicho mali yao. Usiwahurumie; waue wanaume na wanawake, watoto na wanyonyao, ngʼombe na kondoo, ngamia na punda.’ ”
 
Na ndiko Mwanamke hathaminiwi
Sheria ya dini ya kiislamu ina mthamini mwanamke.

Sio waislamu tu, bali watu wa dini zote tunaishi kimazoea.

Muda mwingine mazoea hugeuka sheria (Chai na chapati mbili).

Mambo ni mengi, ila kwa muda wako jaribu kufuatilia haki za mke/ mwanamke katika dini ya kiislamu.

Uislamu haujaacha kitu shekhe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia sio koran ambayo ni mashahiri yasio na uhusiano verse na Verse , biblia unapo nukuu weka sura nzima
 
Mwanamke wa kiislamu Allah kasema wafanye umalaya , mutah
Son of Mutah
 
Huwezi kuacha kwa sababu ndogo ndogo kama dharau, nk..
Ila kwa habari ya uzinifu (pekee), kuachana kunaruhusiwa:

Mathayo 5:32
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.

Mathayo 19:9
..Basi nawaambieni, yeyote atakayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, akaoa mke mwingine, anazini.”
WANAPENDA KUWAPA WANAWAKE ZAO TALAKA KWASABABU YAKUENDA SANA NGONO
 
Uislamu ndio dini inayodhulumu wanawake kuliko dini yoyote.
Ndio dini ya majini Na marhuhani
Dini ya kuua wenzako Kwa dhulma za jihad.
Uislamu sio dini rejea the Satanic Verses za Rushd Suleiman
MWANAMKE WA KIISLAMU HANA HAKI YA KULITHI MALI WALA KUSOMA
 
Mbona unatukana.
Wazazi wako walikufundisha matusi...?
Unajisikiaje unapo tukana..?
Nina uhakika ulicho kiandika hauna ushahidi nacho.

Acha chuki....mtaani tunaishi watu wa dini zote bila kubaguana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaona nikisema son of Mutah ni matusi , toka kwenye Uislamu maana Allah ndio muanjilishi wa umalaya unaitwa mutah

Karibu kwa Yesu hakuna umalaya wa Mutah
 
Biblia sio koran ambayo ni mashahiri yasio na uhusiano verse na Verse , biblia unapo nukuu weka sura nzima
Watu tumesoma kuanzia mwanzo hadi ufunuo. Na tumepitia biblia zote na sio moja. Utafananisha na biblia story za porojo, mara binti yake Yakobo amebakwa, mara Yuda kaingiwa na shetani ili akamilishe ukombozi kwa kumsaliti Yesu. Kwa hiyo kwenye uwokovu wenu shetani amehusika pia
Different_Bibles.jpg
 
Mimi kuna wakati nilitaka Kusilimu niwe Mwislamu.
Lakini nilivyosoma na kuelewa kuwa siku nikiuacha Uislamu natakiwa kuuwawa nikastuka.

Mungu gani analazimisha Dini.
Kama Freemasoni.

Allah hawezi kuwa Mungu.
Abadan Finalilah.
 
Na ndiko Mwanamke hathaminiwi
Uongo mtupu uislam ndio ulikuja kumpa Haki mwanamke mfano zaman mwanamke alikua harithi Mali akiwa katika hedhi ilikua ni niksi hulali nae na Kuna baadhi walikua wanaua watoto wa kike uslam ndio umekuja kumuheshimisha mwanamke na kumfanya pambo la mumewe hivi unajua mwanamke kupika kufua na kazi zote za nyumbani kisheria ya dini sio kazi yake Yani halazimiki kufanya hivyo. Ila wanawake wa kiislam ni wapole wanahuruma na kufanya hizo kazi kwake ni ibada Yan anapata thawabu mwisho hata kukunyonyeshea mwanao sio lazima Sheria inasema umlipe mwanamke unataka haki gan zaid
 
Mimi kuna wakati nilitaka Kusilimu niwe Mwislamu.
Lakini nilivyosoma na kuelewa kuwa siku nikiuacha Uislamu natakiwa kuuwawa nikastuka.

Mungu gani analazimisha Dini.
Kama Freemasoni.

Allah hawezi kuwa Mungu.
Abadan Finalilah.
Ulitaka kusilimu???Kwa hoja zipi ulizosoma?Kwani umedhihirisha una akili za kushikiwa.
 
Back
Top Bottom