Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Mimi kwa Imani yangu nina free will na Mungu nae muabudu atanihukumu kwa niliyotenda sio aliyonipangia nitatenda
Kwahiyo Mungu wako hajui what will happen in the future! Hajui wewe kesho utakula nn? Hajui mwakani kama utakuwa hai au utakuwa umeshakufa????
 
Mpaka sasa pamoja na kuruhusu kuoa wengi hata 5% au chini ya hapo ndiyo wametekeleza hao chini ya 5% kati ya 100% ndio waislamu safi,marijali,wenye uwezo na wenye huruma kwa wanawake wasioolewa?Hekima haipo hapo ni ushabiki tu.
Suala la kuoa mwanamke zaidi ya mmoja sio lazima bali ni hiari!! Na kuna vigezo vyake cha kwanza ni uadilifu na pia uwe na uwezo wa kuwahudumia mahitaji yao (chakula,mavazi na malazi) .
 
Kuna kisa kingine Muhammad amehadithia
Adam na Musa walikuwa wanaongea ,Musa akamwambia Adam wewe ni baba yetu ila ulituingiza matatizoni , adamu akamjibu dhambi niliyofanya Allah alinipangia kabla hajaniumba , Muhammad akasema Adam akamshinda Musa
ALLAH anajua yote tutakayofanya ndio mantiki iliyopo. ALLAH ameumba wakati kwa ajili yetu yaani huu usiku na mchana ni kwa ajili yetu sisi yeye hawi controlled na muda kama viumbe alivyoviumba.

So maisha yetu yote tunayoishi hapa ulimwenguni kwake yeye means nothing infact miaka elfu moja tunayoihesabu sisi hapa duniani ni sawa na siku moja tu kwake na anajua litakalo fanyika alfajiri ya siku hiyo moja mpk usiku wake (miaka 1000). Anajua wewe spensa_e mchana utakula nn, na usiku utakula nn..utakunywa maji kiasi gani.

Kitendo cha kujua vyote hivi kabla havijatokea na mpk kuidhinisha kutokea kwake ndio Qadar yenyewe (destiny) . Yaani huwezi kusema Mungu hajui kuwa asubuhi utakula maandazi mangapi!! Sijui hapa unapata picha kwa kile ninachokieleza
 
Suala la kuoa mwanamke zaidi ya mmoja sio lazima bali ni hiari!! Na kuna vigezo vyake cha kwanza ni uadilifu na pia uwe na uwezo wa kuwahudumia mahitaji yao (chakula,mavazi na malazi) .
Sawa wenye uhitaji na kuyaweza haya masharti ndio wawe 4%?sasa hilo debe mnalopiga la nini?!
 
‘Umar reported the Prophet as saying, “A man will not be asked about why he beat his wife.” Mishkat al-Masabih 3268
 
Wazinzi siku zote wana option chief. Mke ni mmoja tu. Hakuna kisingizio. Hao unaosema wanaoa mpaka 4 bado ni wazinzi waliokubuhu. Kikubwa unatakiwa kujua Mungu hafuati taratibu zako. Yeye ashaweka utaratibu ukizin ni kosa kuna adhabu. Mtu mzinz hata umpe mabeib wote atataman tu. So sisi wakristo Mungu wetu hakutupa option chief. Ukizin ni moto hata ukitaman ni kosa. Sio nyie mmepewa option eti msile kitimoto ila ikitokea dharura kula kula. Sasa huyo Mungu gan. Dhambi haiwezi kuwa nuru.
Kwa mtazamo wangu Uislam uposahihi zaidi kuruhusu mke zaidi ya mmoja kwa kuwa hata kwa nature wanawake ni wengi zaidi kuliko wanaume; Je hao wanawake wengi wanaokosa waume nani awaoe? kwani wao hawana matamanio?
LAKINI pia, kumekuwa na janga la watoto wengi wa mama bila baba kwa kuwa mtu haruhusiwi kuoa mke wa pili hivyo ana zaa na kutelekeza
Kuhusu Nguruwe: kwanza nikuelimishe kuwa, Uislam haujaruhusu kula Nguruwe katika hali yoyote ile ila kilicho andikwa ni kuwa,
Ikitokea dharura ya njaa ya kuweza kutoa uhai wa mtu (kufa) kitakachopatikana kuweza kunusuru uhai kinaweza kutumika. Hili la watu kutumia Nguruwe kama mfano, ni tafsiri wanayo ona inawapendeza
 
Mparee2 Naona umefuta swali , Mutah ni Koran 4:24

Nimepitia Koran 4: 23-24 inayoelekeza waliokatazwa kuwaoa.
na sijaona hiyo Mutah inayoruhusu watu waolewe kwa muda (kipindi kifupi)
Japo najua watu hupenda kutoa tafsiri inayowapa ujumbe wanaotaka kuusikia

SURA 4. SURAT AN-NISAAI (23-24)

Also˺ forbidden to you for marriage are your mothers, your daughters, your sisters, your paternal and maternal aunts, your brother’s daughters, your sister’s daughters, your foster-mothers, your foster-sisters, your mothers-in-law, your stepdaughters under your guardianship if you have consummated marriage with their mothers—but if you have not, then you can marry them—nor the wives of your own sons, nor two sisters together at the same time—except what was done previously. Surely Allah is All-Forgiving, Most Merciful.

Also ˹forbidden are˺ married women—except ˹female˺ captives in your possession.1 This is Allah’s commandment to you. Lawful to you are all beyond these—as long as you seek them with your wealth in a legal marriage, not in fornication. Give those you have consummated marriage with their due dowries. It is permissible to be mutually gracious regarding the set dowry. Surely Allah is All-Knowing, All-Wise.
 
Koran translation nyingi zimeondolewa mambo mengi Sana
Issue ya mutah Muhammad hakujitungia ni verse ilishuka
Ingia hapa

nimekufuatilia sana humu jamvini
nikajua tu ww ndo yule yule spensa e ulivojua watu washakujua kwa chuki zako dhidi ya uislamu ukabadili ID nyengine

Pole kijana endelea na ujinga wako
 
Unamaanisha vile unavyopenda kuvisikia vime editiwa na kuondolewa?
Copy paste hiyo Orginal version ya Quran unayosoma hapa ili tukujuze ni ipi original na ipi feki

ILA najua kuwa, watu hupenda kujitafsiria kupata ujumbe wanaoutaka ili kujihalalishia kitu. Na hili ni tatizo kubwa la wasomaji wa Quran na hata wa Biblia na ndio sababu tumekuwa na madhehebu mengi kwa baadhi ya watu kujifanya ndio wanaelewa Biblia zaidi kuliko wenzao na kuanzisha kanisa jipya
 
Kwa mtazamo wangu Uislam uposahihi zaidi kuruhusu mke zaidi ya mmoja kwa kuwa hata kwa nature wanawake ni wengi zaidi kuliko wanaume; Je hao wanawake wengi wanaokosa waume nani awaoe? kwani wao hawana matamanio?
LAKINI pia, kumekuwa na janga la watoto wengi wa mama bila baba kwa kuwa mtu haruhusiwi kuoa mke wa pili hivyo ana zaa na kutelekeza
Kuhusu Nguruwe: kwanza nikuelimishe kuwa, Uislam haujaruhusu kula Nguruwe katika hali yoyote ile ila kilicho andikwa ni kuwa,
Ikitokea dharura ya njaa ya kuweza kutoa uhai wa mtu (kufa) kitakachopatikana kuweza kunusuru uhai kinaweza kutumika. Hili la watu kutumia Nguruwe kama mfano, ni tafsiri wanayo ona inawapendeza
Hilo la kuzid wanawake hata uoe kumi watabaki chief. Nenda saudia kila nyumba wapo na hawana wa kuwaoa. Uzinz hauwez kuhalalisha kubadilisha tabia za Mungu.
 
Unamaanisha vile unavyopenda kuvisikia vime editiwa na kuondolewa?
Copy paste hiyo Orginal version ya Quran unayosoma hapa ili tukujuze ni ipi original na ipi feki

ILA najua kuwa, watu hupenda kujitafsiria kupata ujumbe wanaoutaka ili kujihalalishia kitu. Na hili ni tatizo kubwa la wasomaji wa Quran na hata wa Biblia na ndio sababu tumekuwa na madhehebu mengi kwa baadhi ya watu kujifanya ndio wanaelewa Biblia zaidi kuliko wenzao na kuanzisha kanisa jipya
Ndio maana nakuwekea link za kuaminika , wewe ingia hapa ukiona utaki unawaambia wabadili unavyotaka wewe
 
nimekufuatilia sana humu jamvini
nikajua tu ww ndo yule yule spensa e ulivojua watu washakujua kwa chuki zako dhidi ya uislamu ukabadili ID nyengine

Pole kijana endelea na ujinga wako
Wewe kila ukiniona unakimbia , maana ninaweka ushahidi mpaka unashindwa cha kusema
msaidie mwenzako kuhusu ndo ya muda mfupi mutah
Koran verse 4:24
 
Unamaanisha vile unavyopenda kuvisikia vime editiwa na kuondolewa?
Copy paste hiyo Orginal version ya Quran unayosoma hapa ili tukujuze ni ipi original na ipi feki

ILA najua kuwa, watu hupenda kujitafsiria kupata ujumbe wanaoutaka ili kujihalalishia kitu. Na hili ni tatizo kubwa la wasomaji wa Quran na hata wa Biblia na ndio sababu tumekuwa na madhehebu mengi kwa baadhi ya watu kujifanya ndio wanaelewa Biblia zaidi kuliko wenzao na kuanzisha kanisa jipya
Nakuongezea na hii, umeshawahi kuona ndoa ya siku 3? Akhi msaidie Mparee2
Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119
 
Kwenye Usomaji wa Koran kuna vitu hivi unatakiwa uvielewe
Tafsir -attempts to provide elucidation, explanation, interpretation, context or commentary for clear understanding
Translation
- is the communication of the meaning of a source-language text by means of an equivalent target-language text
 
Uislam huu ambao mwanamke ni takataka? Wacheni upuuzi wenu hapa.......we umeona wapi mtu anaoa akiwa na nyege tu, zikimtoka anatoa talaka kwenda kujichukulia mwingine amchafue mavuzi.
 
Kwenye Usomaji wa Koran kuna vitu hivi unatakiwa uvielewe
Tafsir -attempts to provide elucidation, explanation, interpretation, context or commentary for clear understanding
Translation- is the communication of the meaning of a source-language text by means of an equivalent target-language text
kwa hiyo idara ya Quran nipo vizuri na ndio sababu nina confident kuchangia
Mimi nahitaji watu wanachangie kwa hoja (genuine references) na sio kukusanya kusanya vihadithi ili waseme wamepata tafsiri wanayotaka kuisikia
Ni nisawa na Bible ilivyo andika USILE NGURUWE; anakuja mtu na hoja dhaifu kuwa Mathayo 15;11 imesema kuwa Kiingiacho ni halali ila kitokacho ndio najisi; Shame!!!
 
Nakuongezea na hii, umeshawahi kuona ndoa ya siku 3? Akhi msaidie Mparee2
Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119
Shida yenu yenu mnasoma nusunusu ili kupata ujumbe mliokusudia
Endelea kusoma hiyo hadithi.....
Abu `Abdullah (Al-Bukhari) said: `Ali made it clear that the Prophet said, "The Mut'a marriage has been cancelled (made unlawful).
 
Back
Top Bottom