Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

True nina uncle wangu koti lake lilipotea siku nying akawa fala sana anahela lakin hamsaidii mazaake yani hata akitaka kumboreshea mama yake nyumba bas mke wake anazuia hiyo hela na anapeleka kwa familia yake
Siku moja akalifumania koti lake lililopotea kwa zaid ya miaka 10+ likiwa limefungwa fungwa madawa mafundo yaliyo kwenye vitambaa vyekundu n vyeusi haikuchua round mwanamke akaomba talaka mwenyewe nafikir alikosea masharti aakanza kuwehuka kiaina hata aliposamehewa akaanza kudai talaka mwenyewe
 
 
Looohh... mazito haya
 
Pole sana ase. Mtaani vipi mambo yanaenda lakini?
 
Yani kunadude linafanya matukio likiwa na Housing yako ? Au ipoje hiyo.
 
Hakuna uchawi
 
Nguvu ya uchawi ni pana sana..nguvu hii huishi kwenye akili zetu..nguvu hii ni yakufikirika zaidi kuliko ukweli..hivyo uchawi unanguvu kwenye mawazo yaani mawazo yanaupa nguvu,kipimo cha kujua mtu mjinga ni yule anae rogeka au kwenda kwa waganga mawazo yako ndio uchawi wenyewe...mganga ni yule alie kuzidi maarifa na si vinginevyo niulize cho2te nitakujibu......
 
Kwa kawaida binadamu wote tunaakili tunachozidiana ni maarifa mganga anacheza na ujinga wako wewe waganga wanamawakala karibu tanzania yote...wanaconecsheni hatari ... usiburuzwa wala kuwa mtumwa kwa vitu vya kufikirika
 
Amna mkuu, ukistukia mchongo, unajipanga upya muhimu ni kuusoma mchezo, ukitaka kujua unaishije waangalie sana waliokuzunguka utajua tu. Unaweza kujua upo sawa kumbe ni kinyume chake, meditation inasaidia sana
Unafanyaje meditation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…