Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

Sasa kwa nini nawe hukukimbia baada ya kuona kombora hutaliweza🤣🤣🤣🤣
Au ndio ulikuwa ulishakula vyake ndio maana ikabidi uvumilie tuu
😂😂😂 hamu tu wengine tuna kaa mda mrefu sana mwanaume anakutafuta mpaka anachoka sasa ukija kuchungulia yaliyomo yamo unakuta yamo ujui unatokaje unakufa kisa utamu
 
So uko single?
 
Hapo nitakupa ila vibuti nitakavyo kupiga hutojua kuwa ndio narudisha hela yangu
Na sisi ukiona tunakukunja kunja kama boksi ujue ni uchungu wa Hela[emoji23]
Famasiala nn mtu kaenda kuchukua mkopo kausha dam huko, afu anakupa tuu anakuacha salama??[emoji23]
 
Kama ni ombaomba lazima udharaulike tu hata kama mwamba anakupenda.

Sema madem wa siku hizi hawajali hizo dharau wao pesa mbele 😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…