mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Yaani unakuta tupo kwenye mahusiano serious tunapendana yani....hapo inakuaje??Hapo inategemeana ila jua nikikupa 30000 utarudisha 50000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani unakuta tupo kwenye mahusiano serious tunapendana yani....hapo inakuaje??Hapo inategemeana ila jua nikikupa 30000 utarudisha 50000
😂😂😂 hamu tu wengine tuna kaa mda mrefu sana mwanaume anakutafuta mpaka anachoka sasa ukija kuchungulia yaliyomo yamo unakuta yamo ujui unatokaje unakufa kisa utamuSasa kwa nini nawe hukukimbia baada ya kuona kombora hutaliweza🤣🤣🤣🤣
Au ndio ulikuwa ulishakula vyake ndio maana ikabidi uvumilie tuu
So uko single?Pamoja na shida zangu hakuna kitu nachukia kama kuendekeza shida zangu kwa mwanaume mna dharau sana nyie viumbe. Kuna situation nilishapitia ilinifundisha sana toka pale najisemeaga maisha ni yangu nijitafutie cha kwangu ukiamua kunipa sawa usipotaka sitakuomba. Mna dharau sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nitakupa ila vibuti nitakavyo kupiga hutojua kuwa ndio narudisha hela yanguYaani unakuta tupo kwenye mahusiano serious tunapendana yani....hapo inakuaje??
Acha kubania mbususu hiyo😂😂😂 hamu tu wengine tuna kaa mda mrefu sana mwanaume anakutafuta mpaka anachoka sasa ukija kuchungulia yaliyomo yamo unakuta yamo ujui unatokaje unakufa kisa utamu
Hapana mimi napenda ila mtu awe na saizi sasa mimi kila nae kutana nae nasema bora fulani mpaka naogopa sasaAcha kubania mbususu hiyo
nikiuliza au kutamka jambo kisha nikajibiwa "usijali"....hapo huwa ninakata mawasiliano kabisaKauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?
Niko busy sasa hivi, ntakutafuta
3 days later no txt, no call
Na sisi ukiona tunakukunja kunja kama boksi ujue ni uchungu wa Hela[emoji23]Hapo nitakupa ila vibuti nitakavyo kupiga hutojua kuwa ndio narudisha hela yangu
Movie scriptUtaskia Let me be honest with you...I don't think this is working [emoji275]
Wewe hufai kususiwa wewe nishakuonaNa sisi ukiona tunakukunja kunja kama boksi ujue ni uchungu wa Hela[emoji23]
Famasiala nn mtu kaenda kuchukua mkopo kausha dam huko, afu anakupa tuu anakuacha salama??[emoji23]
Kama ni ombaomba lazima udharaulike tu hata kama mwamba anakupenda.Pamoja na shida zangu hakuna kitu nachukia kama kuendekeza shida zangu kwa mwanaume mna dharau sana nyie viumbe. Kuna situation nilishapitia ilinifundisha sana toka pale najisemeaga maisha ni yangu nijitafutie cha kwangu ukiamua kunipa sawa usipotaka sitakuomba. Mna dharau sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna....nitaenda kama jinsi unavyonipelekesha....ila siku ukinipa hiyo nyapu......[emoji23]Wewe hufai kususiwa wewe nishakuona
mbu mpe anachokitaka usiwe ivyo
Hamna....nitaenda kama jinsi unavyonipelekesha....ila siku ukinipa hiyo nyapu......[emoji23]
Hela hakuna.E
mbu mpe anachokitaka usiwe ivyo
Ila penzi unataka upeweHela hakuna.
Tunapeana na pesa zikiwepo tunapena pia.Ila penzi unataka upewe