Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

Sasa kwa nini nawe hukukimbia baada ya kuona kombora hutaliweza🤣🤣🤣🤣
Au ndio ulikuwa ulishakula vyake ndio maana ikabidi uvumilie tuu
😂😂😂 hamu tu wengine tuna kaa mda mrefu sana mwanaume anakutafuta mpaka anachoka sasa ukija kuchungulia yaliyomo yamo unakuta yamo ujui unatokaje unakufa kisa utamu
 
Hapo nitakupa ila vibuti nitakavyo kupiga hutojua kuwa ndio narudisha hela yangu
Na sisi ukiona tunakukunja kunja kama boksi ujue ni uchungu wa Hela[emoji23]
Famasiala nn mtu kaenda kuchukua mkopo kausha dam huko, afu anakupa tuu anakuacha salama??[emoji23]
 
Pamoja na shida zangu hakuna kitu nachukia kama kuendekeza shida zangu kwa mwanaume mna dharau sana nyie viumbe. Kuna situation nilishapitia ilinifundisha sana toka pale najisemeaga maisha ni yangu nijitafutie cha kwangu ukiamua kunipa sawa usipotaka sitakuomba. Mna dharau sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni ombaomba lazima udharaulike tu hata kama mwamba anakupenda.

Sema madem wa siku hizi hawajali hizo dharau wao pesa mbele 😆😆
 
Back
Top Bottom