Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

Na ninyi mtambue mnapo tukunja tunaumia sema tunavumilia kuwafurahisha na bado mnatuacha
Sasa kama mnaumia mbona mnapenda??

Na pesa inatolewa kwa ajili ya kitu cha thamani, sasa nikupe pesa wakati nakutongoza bado hata sijakuelewa vizuri??
 
Wanakuwaga watamu sana hao,maana mpaka kukupa ni amekuelewa sana.Wao ubize wao ni Simu,muziki na kupendeza,Yaani ana kazi yake au amejiajiri na ana moyo safii.Hawa wapo wachache sana lakini.

yan kuna wanawake wengine hata ukimpa hela yako roho haiumi kabisa yan unamuona mtu yupo kwako kwajil ya mapenz ya kwel,ukiona unatongoza mwanmk alaf anakuambia utaeza kunihudumia jua hapo unaingia makubaliano na malaya
 
Ulijiona umemshika kumbe mwenzako alikuwa anakuchora tu!!
Siku nyingine ukwia na mtu Kaa kimachale usijiachie sana ukaona unaweza kumtisha Kwa lolote...Wanaume tunaweza kuwa na wewe kumbe tunakuchora tu,upendo hata haupo kwako..

Rafiki nilitubu, alianza kunikosea yeye ndio tukafika huko. Tulishayamaliza lkn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom