Kauli hii ya mke wangu imenishtua kidogo

Afadhali yako wewe,.mimi Kuna siku tunaangalia muvi,..Basi mwanamke akapigwa Kofi na mumewe..yeye akaropoka kuwa nikiolewa Mimi mume akinipiga hivyo narudi kwetu..nikasema huyu kajisahau kuwa kaolewa au anajua anaishi na Jini..
Hahahaha
 
Mie nilimtwanga kofi moja [emoji3] tu,

Alipoteza faham,, nilianza kujuta kwa nn nimemtwanga lile kofi,, alivokuja kuzinduka ananiuliza kimetokea nn? Nikamjibu Twende tukalale ntakwambia kesho,

Aiseeh alideka sijapata ona,, ikabidi kesho yake niende shop kumnunulia zawadi,,

Siku hizi muoga kweli,, akinichefua anakaa mbali mita 2,

Wenzie huwa wanamcheka wanamwambia "SI ULISEMA 1 KUSH NI MPOLE?"

Kumbe aliwasimulia mashosti,
 
Mwanakulitafuta mwanakulipta
 
Afadhali yako wewe,.mimi Kuna siku tunaangalia muvi,..Basi mwanamke akapigwa Kofi na mumewe..yeye akaropoka kuwa nikiolewa Mimi mume akinipiga hivyo narudi kwetu..nikasema huyu kajisahau kuwa kaolewa au anajua anaishi na Jini..
Mhhhhhhhhhhhhhhhh?¿?????¿¿¿
 
Ha ha ha Safi Sana,.Kuna muda wanawake wanatujaribu kuona tutawachukulia hatua gani..
 
Unampa jibu unamwacha apambane nalo mwenyewe.
Mwana kulifind, mwanakulipata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli
 
Kwan ni uongo ni bas tu hakuna alichokosea ndoa kwa asilimia kadhaa ni utmwa huru
 
Afadhali yako wewe,.mimi Kuna siku tunaangalia muvi,..Basi mwanamke akapigwa Kofi na mumewe..yeye akaropoka kuwa nikiolewa Mimi mume akinipiga hivyo narudi kwetu..nikasema huyu kajisahau kuwa kaolewa au anajua anaishi na Jini..
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo anajua mazaifu yako ndio maana kakukata stimu
 
Afadhali yako wewe,.mimi Kuna siku tunaangalia muvi,..Basi mwanamke akapigwa Kofi na mumewe..yeye akaropoka kuwa nikiolewa Mimi mume akinipiga hivyo narudi kwetu..nikasema huyu kajisahau kuwa kaolewa au anajua anaishi na Jini..

Hahahahaha mnanichekesha mimi
 
Kwa Sauti ya kisukuma " msiwege mnaoa"
 
Kesho ataongea mengine,ukiyaweka kichwani maneno ya wanawake utakuwa chizi.
 
Wanawake wengi wanaolewa sababu tu ya ugumu wa maisha na kuchoka kukaa nyumbani
 
Afadhali yako wewe,.mimi Kuna siku tunaangalia muvi,..Basi mwanamke akapigwa Kofi na mumewe..yeye akaropoka kuwa nikiolewa Mimi mume akinipiga hivyo narudi kwetu..nikasema huyu kajisahau kuwa kaolewa au anajua anaishi na Jini..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] anamaanisha bado hajaolewa
 
Shukuru amekuambia wazi,hakikisha anaendelea kuwa tegemezi kwako kama bado unataka kuwa naye.
 
Nimesoma comments zooote hadi hapa, nikajikuta naishia kucheka tu...[emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…