Kauli hii ya mke wangu ina maana gani?


Ana ku cheat.

1. Usiongeze idadi ya watoto.
2. Usimshirikishe mambo yako.
3. Jipange kulea mwenyewe.
 
Sijaonaa tatizo Sana kwenye hiyo kauli kiasi Cha mtu kuvunja ndoaaa...yawezekana kbsaa muktadhaa wa mazungumzo yenu uliruhusu kutokea kwa hayoo manenoo...get cool maisha lzma yaendeleeee jamani..Hivi mnafikiri mtaacha wangapii?...Dunia hii mkamilifuu hayupooo kila mmoja ana mapungufuuu yakeee🙌🙌take a heart brooo maisha lzma yaendeleeee
 
Kabisaa yaan mpk nimeshangaaaa...na ushauri wa humuu mwingii Ni muache mkeo muachee akufaii..sijui huyo Malaya nk...hivi unafikiri ndoaa mnaachana kirahisi hivyooo?..halafu piaa hata hatujui upande wa pili..yawezekanaaa muktadhaa wa mazungumzo yaoo ulipelekeaa hiyoo kaulii...kwa mwenendoo huu vijana mna safari ndefu Sana kwenye suala zima la ndoaaa...Ndoa si lelemama ndoa inahitaji ukomavu wa akili pamoja na kumtanguliza Mungu mbelee..Na vile mkishakuwaa na familiaa mnatakiwaa kuacha ubinafsi wa kuangalia furaha zenu ili muweze kuwakuzaa watoto vema pasipo utengano wa wazazi..Ndoa ni zaidi ya tendo lenyewee.
 
Kuna mwamba anampakua shituka
 
Umetoa wapi muda wa kuja kupost huku hivyo umeshindwa hata kufanya maamuzi juu ya hilo..??
Ila watu tunatofautiana sana aisee
Dada mwenzako unamuumiza kakutoa kwenu kijijini sitimbi miguu ilikua na magaga kibao leo umekua mrembo na Jiji letu umelihua unataka kumtabisha mwenzako
 
Amka usingizini wewe mwanamke aishi kwa mwanaume heti kwa sababu ya ndoa,wapo vijana wanakumegea tonge lako
 
Dawa yake mludishe kijijini akitaka kuja dar aje mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…