Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Uhuru upi?
Hivi mwananchi wa nanjilinji kule ukiongelea juu ya uhuru si anakushangaa?
Hilo la uhuru atawapata viongozi wenzie wa pale ufipa
Lissu anajua watanzania wanataka nini. Swala la Uhuru kila mtanzania analitaka. Mambo ta chakula sijui na madaraja kila mtu atatafuta. Kwani kodi ni za wananchi.Ni ukweli uliowazi Sasa kwamba mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ni kama amewameza wagombea wenzake na hawasikiki tena.
Tangu ateuliwe na chama chake CHADEMA na kisha kuchukua fomu za kuteuliwa kutoka tume ya uchaguzi NEC Lissu amekuwa gumzo kila kona huku akijadiliwa zaidi kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.
Lissu amekuwa akifanya ziara mikoa mbalimbali ya kusaka wadhamini huku akilakiwa na Maelfu kwa maelfu kokote anakopita.
Mojawapo ya sababu kubwa ya kupata uungwaji mkono huo kutoka kwa wananchi hasa waliohojiwa kila anakopita ni kauli Mbiu yake ya 'Uhuru na Kazi' akimaanisha pamoja na kutakuwa kufanya kazi lakini katika serikali yake wananchi watakuwa huru hasa katika kufanya siasa, kupata habari mbalimbali bila ubaguzi, vyombo vya Habari kuwa huru bila kufungiwa hovyo, waandishi wa habari kutokunyanyaswa na watu kuwa huru kukosoa serikali yao bila kuogopa kukamatwa na kufungiwa.
Pia Lissu amekuwa akijinasibu katika serikali yake ni mwiko kuingilia Bunge na mahakama bali kuiacha mihimili hiyo kuwa huru katika maamuzi yake. Pia wananchi kuwa huru kuangalia LIVE Bunge lao.
Mgombea huyo wa Chadema anasema kutaka watu wafanye kazi tu huku ukiwanyima Uhuru wao ni dhambi kubwa ambayo kamwe serikali yake haitafanya.
Unaumia?Yaani kila baada ya nusu saa, Wana Sacco's wanaleta Uzi wakujipa matumaini wakati wanajua wazi hawapati zaidi ya kura milioni mbili, yaani wanavyo weweseka hadi raha
Lakini nimeona pia linamguso sana. Japo sio wengi. Swala la ajira, hali mbaya ya uchumi ndio kete kabisa itakayomwangusha JpmTatizo Watanzania wengi hawajaguswa sana na ishu ya Uhuru.
Ongeleeni kuhusu Uchumi.
Eti flyover ya Ubungo inamsaidia nini Mwananchi wa Mbagala achilia mbali yule wa BabatiJe, flyover na Bombardier zinahitajika Nanjilinji? Usiwaone watu wa vijijini wajinga. Subiri Oktoba 2020.
Raia wema wakimsubiri Rais wao.Nani kama Tundu Lissu, cheki alivyovuta nyoyo za waTanzania kudai uhuru katika kazi zao za ukulima, uvuvi, ufugaji , biashara na haki ya mlipa-kodi kupata Uhuru ndani ya Maendeleo yake ktk kila kona ya nchi
Utadhani ni Yesu ameingia Yerusalem.Nani kama Tundu Lissu, cheki alivyovuta nyoyo za waTanzania kudai uhuru katika kazi zao za ukulima, uvuvi, ufugaji , biashara na haki ya mlipa-kodi kupata Uhuru ndani ya Maendeleo yake ktk kila kona ya nchi
Umeongea kwa Hisia Kali.Hongera sanaUtadhani ni Yesu ameingia Yerusalem.
Ndivyo ilivyo Mkuu Molemo. Check watanzania wanavyoonesha hisia zao za kuchoka utawala huu.Umeongea kwa Hisia Kali.Hongera sana
Mkuu. G mangi, kazi ndiyo uchumi.Tatizo Watanzania wengi hawajaguswa sana na ishu ya Uhuru.
Ongeleeni kuhusu Uchumi.
Kabisa kabisa#UHURU na KAZI
#KAZI BILA UHURU NI UTUMWA
Uhuru upi?
Hivi mwananchi wa nanjilinji kule ukiongelea juu ya uhuru si anakushangaa?
Hilo la uhuru atawapata viongozi wenzie wa pale ufipa
Uhuru upi?
Hivi mwananchi wa nanjilinji kule ukiongelea juu ya uhuru si anakushangaa?
Hilo la uhuru atawapata viongozi wenzie wa pale ufipa
Mkuu ukumbuke hao waliopigwa korosho zao ni wakijijini.Uhuru upi?
Hivi mwananchi wa nanjilinji kule ukiongelea juu ya uhuru si anakushangaa?
Hilo la uhuru atawapata viongozi wenzie wa pale ufipa
Kwa tafsiri kubwa ni kuwa watanzania walio wengi wana uhuru wa kutosha isipokuwa wachache 'lopolopo'.Tatizo Watanzania wengi hawajaguswa sana na ishu ya Uhuru.
Ongeleeni kuhusu Uchumi.
Huwezi kuwa na uchumi bila uhuru acha ukiziwiTatizo Watanzania wengi hawajaguswa sana na ishu ya Uhuru.
Ongeleeni kuhusu Uchumi.
Uhuru na KaziYaani kila baada ya nusu saa, Wana Sacco's wanaleta Uzi wakujipa matumaini wakati wanajua wazi hawapati zaidi ya kura milioni mbili, yaani wanavyo weweseka hadi raha
Lisu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii, kama magufuli alipewaUpinzani imara unaifanya Serikali iliyoko madarakani kutokuwa lege lege ( By Mwalimu Nyerere).
Serikali iliyoko madarakani inafanya jambo jema sana kutokumbughudhi Tundu Lissu katika harakati zake za kutafuta wadhamini.
Si lazima Tundu Lissu awe Rais wa Inchi ila muhimu ni yeye kuleta Uhai wa Demokrasia bila kuvunja upendo na Amani ya Inchi.
Misahafu Takatifu inasisitiza sana Amani na upendo kuliko utajiri .
Utajiri, madaraka nk. vyote vitapita lakini kiongozi anayedumisha amani na upendo jina lake halitapita kamwe..
Hata watu wako wakiwa maskini lakini wako huru na wana furaha ni bora kuliko kitu chochote.
Yesu Kristo aliweza kugeuza mikate 5 na Samaki wawili kutosha kuwalisha watu 5000 na kubaki vikapu 12.
Yesu Kristo hakuwahi kumiliki nyumba, shamba au mifugo. Hata yule punda aliyempanda wakati anaenda kuteswa hakuwa wa kwake. Sisi waumini tunajua alikoteswa na kuuwawa Yesu Kristo. Sisi waumini tunajua mahali alipozikwa Yesu Kristo.
Hadi Sasa Yesu Kristo anakumbukwa kuliko kitu chochote Duniani bila kujali imani ya mtu.
Tusitangulize sana ustawi wa uchumi ila amani,
upendo na uhuru.