Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,828
- 9,546
Mungu katupa zawadi kwa huyu mtu.
Watanzani zawadi hii jamani.
Yaani wasipomchagua huyo basi ntaamini kweli baadhi ya watanzania wanapenda kutawaliwa pia wameridhika maisha ya manyanyaso.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu katupa zawadi kwa huyu mtu.
Watanzani zawadi hii jamani.
Iko wazi.Kutizama Bunge Live ni haki yaoNADHANI HII NI KARATA AMBAYO INAZIDI KUWAPA USHINDI UPINZANIA
Amezunguka miaka mitano mfululizo!Hivi JPM hajaanza kuzunguka siyo?
Haswaaaa,Kura ni zako Mwaka huuu.Ni ukweli uliowazi Sasa kwamba mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ni kama amewameza wagombea wenzake na hawasikiki tena.
Tangu ateuliwe na chama chake CHADEMA na kisha kuchukua fomu za kuteuliwa kutoka tume ya uchaguzi NEC Lissu amekuwa gumzo kila kona huku akijadiliwa zaidi kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.
Lissu amekuwa akifanya ziara mikoa mbalimbali ya kusaka wadhamini huku akilakiwa na Maelfu kwa maelfu kokote anakopita.
Mojawapo ya sababu kubwa ya kupata uungwaji mkono huo kutoka kwa wananchi hasa waliohojiwa kila anakopita ni kauli Mbiu yake ya 'Uhuru na Kazi' akimaanisha pamoja na kutakiwa kufanya kazi lakini katika serikali yake wananchi watakuwa huru hasa katika kufanya siasa, kupata habari mbalimbali bila ubaguzi, vyombo vya Habari kuwa huru bila kufungiwa hovyo, waandishi wa habari kutokunyanyaswa na watu kuwa huru kukosoa serikali yao bila kuogopa kukamatwa na kufungwa.
Pia Lissu amekuwa akijinasibu katika serikali yake ni mwiko kuingilia Bunge na mahakama bali kuiacha mihimili hiyo kuwa huru katika maamuzi yake. Pia wananchi kuwa huru kuangalia LIVE Bunge lao.
Mgombea huyo wa Chadema anasema kutaka watu wafanye kazi tu huku ukiwanyima Uhuru wao ni dhambi kubwa ambayo kamwe serikali yake haitafanya.
Jamani zinapatikana wapi nguo hizo?Mkuu hizi nguo nimeona zikigombewa kama njugu mahali fulani lakini sikuelewa , kumbe ndio ziko hivi !
Kwa kweli "Hapa Kazi Tu" ni umanamba-slavery.Ni ukweli uliowazi Sasa kwamba mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ni kama amewameza wagombea wenzake na hawasikiki tena.
Tangu ateuliwe na chama chake CHADEMA na kisha kuchukua fomu za kuteuliwa kutoka tume ya uchaguzi NEC Lissu amekuwa gumzo kila kona huku akijadiliwa zaidi kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.
Lissu amekuwa akifanya ziara mikoa mbalimbali ya kusaka wadhamini huku akilakiwa na Maelfu kwa maelfu kokote anakopita.
Mojawapo ya sababu kubwa ya kupata uungwaji mkono huo kutoka kwa wananchi hasa waliohojiwa kila anakopita ni kauli Mbiu yake ya 'Uhuru na Kazi' akimaanisha pamoja na kutakiwa kufanya kazi lakini katika serikali yake wananchi watakuwa huru hasa katika kufanya siasa, kupata habari mbalimbali bila ubaguzi, vyombo vya Habari kuwa huru bila kufungiwa hovyo, waandishi wa habari kutokunyanyaswa na watu kuwa huru kukosoa serikali yao bila kuogopa kukamatwa na kufungwa.
Pia Lissu amekuwa akijinasibu katika serikali yake ni mwiko kuingilia Bunge na mahakama bali kuiacha mihimili hiyo kuwa huru katika maamuzi yake. Pia wananchi kuwa huru kuangalia LIVE Bunge lao.
Mgombea huyo wa Chadema anasema kutaka watu wafanye kazi tu huku ukiwanyima Uhuru wao ni dhambi kubwa ambayo kamwe serikali yake haitafanya.
Kachoka. Kazunguka miaka yote mitano. Watu tumemsikia na kumuelewa. Kwa hiyo hakuna sababu.Hivi JPM hajaanza kuzunguka siyo?
Safi kabisa. Uhuru ni mojawapo ya nguzo mhimu ya maisha ya binadamu. Tuliwaondoa wakoloni waliojenga barabara, reli, njia za stima, n.k. ili tuwe huru. Nchi zingine kama Musumbiji walimwaga damu wakisaka uhuru. Nasi tuupiganie na kuulinda uhuru wetu. Tufanye kazi tukiwa huru.Kwa kweli hata mimi nahitaji uhuru , mtu anayenizuia hata kumwombea mtu aliyepigwa risasi 16 nitampaje kura yangu? Heri nilale njaa ila niwe huru.Siku zote wanadamu timamu wanausaka uhuru.Sitachoka kuusaka na kuupigania uhuru.
Chuki imesababishwa na wale waliotaka kumuua. Hata ingekuwa mimi siwezi kuhubiri amani wakti nyuma mmeficha mapangaUtachoongea ni sawa kabisa. Kuna wanasiasa wengi wa upinzani wanafanya siasa katika maeneo yao wala hitasikia bughudha yoyote.
Shida inakuja pale mwanasiasa kuamini kuwa kupitia platform ya siasa unaweza kuongea au kufanya lolote na usichukuliwe
Hakuna aliye juu ya sheria. Leo hii ukitaka kufanya maandamano lazima utoe taarifa na utahojiwa naandamano kwa lengo gani. Wanasiasa wa upinzani wanaamini kufuata sheria kwao ni kama utumwa. Wanataka uhuru usio na mipaka ambao matokeo yake ni vurugu.
Siasa za tundulisu zimejaa kauli za chuki na visasi. Katika mazingira hayo inatakiwa kwanza mumuambie yeye kwanza kabla hamjaziambia mamlaka.
Yaani kila baada ya nusu saa, Wana Sacco's wanaleta Uzi wakujipa matumaini wakati wanajua wazi hawapati zaidi ya kura milioni mbili, yaani wanavyo weweseka hadi raha
Praise to Lord Jesus Christ the sonHaa haa haa...
Yaani "LISSU 16 BULLETS", but alive...
Ccm hawajawahi.kushinda Bali NIYaani kila baada ya nusu saa, Wana Sacco's wanaleta Uzi wakujipa matumaini wakati wanajua wazi hawapati zaidi ya kura milioni mbili, yaani wanavyo weweseka hadi raha
Huyu ,mhutu ni muoga sana atakimbilia burundi atakapochoka kuchoma ofisi na aone bado hatoboi! tulieni hakuna uchaguzi mhutu atarudi kwao¬Kwa kweli hata mimi nahitaji uhuru , mtu anayenizuia hata kumwombea mtu aliyepigwa risasi 16 nitampaje kura yangu? Heri nilale njaa ila niwe huru.Siku zote wanadamu timamu wanausaka uhuru.Sitachoka kuusaka na kuupigania uhuru.
Ipi, nani huyo ni zawadi ktk kwa mungu?Mungu katupa zawadi kwa huyu mtu.
Watanzani zawadi hii jamani.
Hawakuwa huru kwani walikuwa magerezani au?Kwan hujui kuwa hawakuwa huru kwa miaka mi5 iliyopita??
Nadhan sasa ni mda wao wapinzani kuonekana, kusikika na kuongea sana??
Hacha sie tunafurahia.
Ni yeye2020
Si na wao wajasiriasiasa (wapinzani uchwara) waibe Kama ni kitu rahisi, hakuna binadamu nje ya CCM anaeweza kumshinda magufuli hajazaliwa badoCcm hawajawahi.kushinda Bali NI
wezi.wanaiba kura