Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali lilipaswa kuwa Uhuru upi? Comment zilizofata zimekuwa conclusiveUhuru upi?
Hivi mwananchi wa nanjilinji kule ukiongelea juu ya uhuru si anakushangaa?
Hilo la uhuru atawapata viongozi wenzie wa pale ufipa
Havai viatu vyao, anavaa vyake!Lissu ahangaike tu ila hana uwezo wa kuvaa viatu vya magufuli, Nyerere tu ndo anaviweza
....relax man..., silaha unazijua?Kipenga cha kuanza mbio (za kampeni) hakijapulizwa. Yeye kaishaanza kukimbia ovyo ovyo. Wenzake wametulia wakiangalia silaha alizo nazo (anazotumia kuwashawishi wananchi wampe kura).
Hivyo washindani wake anawapa fursa ya kuzijua silaha alizonazo (weakness zake) na na hivyo kuwapa fursa ya kupanga aina ya silaha watakazotumia kumwangamiza (kujibu mapigo anayofanya sasa hivi). Kwanza kipenga cha kuanza mbio hizo kitakapopulizwa jamaa huu atakuwa tayari ameshachoka ile mbaya na alishamaliza silaha zake zote.
Hivyo subiri kuona jinsi kipenga cha kuanza mbio hizo kitakapopulizwa atakavyoangamizwa kwa silaha nzito nzito, hapo washindani wake watakapoanza kujibu mapigo (ya kushawishi kura za wananchi). Mbaya zaidi washindani wake wako 16 kutoka majeshi (vyama) mbali mbali. Hashindani na jeshi la ccm pekee bali na majeshi (vyama) 16! Kuna majeshi ya Bernard Membe (Jasusi mbobezi), Lipumba (Professa mbobezi wa Uchumi wa dunia), Mbatia ( mbobezi wa majanga ya dunia) na mabobezi mengine ya kadhalika na kadhalika ya dunia! Yaani jamaa ajiandae tu kurudi ughaibuni kuendelea na matibabu yake na kuichafua nchi yetu mbele ya jumuiya za kimataifa kama alivyozoea kutufanyia. Ila urais haiwezekani hata kidogo. Ubunge nao wakina Ndungai walishamalizana naye!
Hatujawahi kuwa na tume ambayo sio huru, haya maneno ya kukaririshwa na wanaoshindwa,wakati mwengine muwe mnawauliza wenyeviti wenu wa hizo Sacco's Kama tume sio huru mbona Kila chaguzi mnapata ongezeko la kura za uraisi na wabunge pia wanaongezeka idadi kwanini kusiwe inapungua tu, halafu Kama tume sio huru unashiriki uchaguzi wa Nini?Kama mna wanachama wengi kwanini mnaogopa tume huru ya uchaguzi?
Basi hao watanzania unaowataja watakuwa punguani..uhuru ndio uliomfanya Ghadaffi auliwe na kijana mdogo..Tatizo Watanzania wengi hawajaguswa sana na ishu ya Uhuru.
Ongeleeni kuhusu Uchumi.
wanachama hai wa CCM mpaka jana Ni 18.2 milion hapo bado kura za wapenzi tu ambao sio wanachama, kwani ukiambiwa CCM Ni chama kikubwa na kina mizizi mpaka vijijini ulikuwa unafikiri Nini
Watanzania wote wanajua tume ya uchaguzi ya Tanzania sio huru, labda kama wewe unaishi Burundi. Hilo sio swala la kubishana kabisa sababu liko wazi na halihitaji degree kulifahamu otherwise elimu yako ni ile ya kukalili na sio ya uelewa.Hatujawahi kuwa na tume ambayo sio huru, haya maneno ya kukaririshwa na wanaoshindwa,wakati mwengine muwe mnawauliza wenyeviti wenu wa hizo Sacco's Kama tume sio huru mbona Kila chaguzi mnapata ongezeko la kura za uraisi na wabunge pia wanaongezeka idadi kwanini kusiwe inapungua tu, halafu Kama tume sio huru unashiriki uchaguzi wa Nini?
Hao Ni wapiga kura walijiandikisha Sasa toa 18 million Inabaki hiyo 4 mugawane wapinzani [emoji23][emoji1787]Wapinzani wenu wana 22 Million na bado mashabiki wao.
Usiseme watanzania sema Wana Sacco's wa chademaWatanzania wote wanajua tume ya uchaguzi ya Tanzania sio huru, labda kama wewe unaishi Burundi. Hilo sio swala la kubishana kabisa sababu liko wazi na halihitaji degree kulifahamu otherwise elimu yako ni ile ya kukalili na sio ya uelewa.
Hatuwezi kususia uchaguzi mkuu sababu ndio utaamua mustakabali wa maisha yetu ya miaka 5 ijayo.
Mwaka huu mwizi asijaribu kuiba kura, atakatwa mkono. View attachment 1542391View attachment 1542396
Hao Ni wapiga kura walijiandikisha Sasa toa 18 million Inabaki hiyo 4 mugawane wapinzani [emoji23][emoji1787]
Kawaida yetu Ni ushindi nyie ni losers [emoji23][emoji1787]Endelea kujilisha upepo.
Sasa CCM ni Chama Cha siasa au majizi ya rasilimali za Taifa?Usiseme watanzania sema Wana Sacco's wa chadema
Uhuru na Kazi' ndicho watu Wanachotaka kusikia kwa sasa.ingelikuwa wananchi hawataki kusikia juu ya Uhuru wao usingewaona kwenye mikutano yakeMshaurini aachane nayo atawainua wenye nayo. Amekosa Slogan hata aokoteze za TANU na CCM? Atasababisha waanze kuvaa sare zao za kuwasha mwenge.
View attachment 1542362
Hakika...Uhuru na kazi..
Blah BlahUsiseme watanzania sema Wana Sacco's wa chadema
Kazi na uhuruTatizo Watanzania wengi hawajaguswa sana na ishu ya Uhuru.
Ongeleeni kuhusu Uchumi.