mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,734
- 1,616
Kina Bashiru walishindwa kuelewa Tabia za Watanzania, Wabongo wanapenda ushabiki, Huruma kwa maana ya Sympathy, Mkose wote, Hawapendi mwenye nacho, Hawajui kujielezea, Hawabishani na Mwenye nguvu n.kHii ya kutoonyesha Bunge mubashara kwa kiasi fulani itaigharimu CCM.
Haya yote yanaangukia na kumpa advantage Lissu mbele ya Raia.
Bashiru and Co wanapashwa kujiuliza, wamzuie sasa au baadaye?