Kauli tatu za ajabu sana Tanzania kuhusu vifo vya viongozi

Kauli tatu za ajabu sana Tanzania kuhusu vifo vya viongozi

Ukweli ni kwamba tumekuwa na siasa za vyama vingi rasmi kuanzia 1992 lakini hapakuwa na uhasama wa aina hii hadi 2015 awamu ya 5 ilipoingia madarakani.
Tuwe wakweli, baada ya Magufuli kuingia madarakani chuki, wivu, uhasama na visasi vikachukua nafasi na yote hayo yakipata baraka zake mwenyewe ndio maana hakukemea.
Vifo vya ajabu, kushambuliana na kutekana kukachukua nafasi. Mbaya ni kuwa wapambe wake wakawa na kauli za kusapoti na kukejeli bila woga.
Baada ya Magufuli kufa, sio kuwa hawa waliopo kuanzia Samia ni wageni bali walikuwa naye. Hivyo kauli aliyo isema Lissu kule Katoro Geita ni ya msingi sana kuwa Rais ili alete maridhiano ya kweli (sio vyama tuu bali wato wote wenye chuki) yeye na viongozi wenzake WAWAOMBE RADHI waathirika wote na wakulaumiwa alaumiwe ili tuponye nchi.
Baada ya hayo atakaye mnenea mwingine mabaya ataonekana wa ajabu na upendo ule wa zamani wa Mke CCM na Mume Chadema na wanaishi pamoja utarudi.
Chuki si kwa kuwa watu walizoea kuendelea kula kww mriji kufisadi Mali za umma bila kuulizwa kwa hiyo ww ulitaka tuendelee kuwa na watu wenye vyeti feki , .hata hii. Katiba mpya haitakuwa na maana kama haitasimamiwa ipasvyo .bure kiongozi anayechukua maamuzi kuliko asiyechukua maamuzi
 
Ukweli ni kwamba tumekuwa na siasa za vyama vingi rasmi kuanzia 1992 lakini hapakuwa na uhasama wa aina hii hadi 2015 awamu ya 5 ilipoingia madarakani.
Tuwe wakweli, baada ya Magufuli kuingia madarakani chuki, wivu, uhasama na visasi vikachukua nafasi na yote hayo yakipata baraka zake mwenyewe ndio maana hakukemea.
Vifo vya ajabu, kushambuliana na kutekana kukachukua nafasi. Mbaya ni kuwa wapambe wake wakawa na kauli za kusapoti na kukejeli bila woga.
Baada ya Magufuli kufa, sio kuwa hawa waliopo kuanzia Samia ni wageni bali walikuwa naye. Hivyo kauli aliyo isema Lissu kule Katoro Geita ni ya msingi sana kuwa Rais ili alete maridhiano ya kweli (sio vyama tuu bali wato wote wenye chuki) yeye na viongozi wenzake WAWAOMBE RADHI waathirika wote na wakulaumiwa alaumiwe ili tuponye nchi.
Baada ya hayo atakaye mnenea mwingine mabaya ataonekana wa ajabu na upendo ule wa zamani wa Mke CCM na Mume Chadema na wanaishi pamoja utarudi.
Wewe ni kiazi usiyejua chochote hata historia ya miaka kumi tu ya taifa lako

Unaijua chuki ya team Kikwete vs team lowassa

Unajua kwanini membe alishindwa kupenya kuwagombea wa CCM 2015

Unajua nani alimuuwa Deo Filikunjombe

Nani alimujwa Dk Mvungi

Sumu ya Kubenea

Dk wa muhimbili

Mabomu ya orasiti

Next time jaribu kuwa na akili timamu mjinga mmoja wewe

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Mzee unazeeka vibaya hiyo kauli Mama Samia aliisahisha hapo hapo juu na kumuombea radhi Makamba mbona mnakuza mambo.

Kingine hiyo kauli ya Makamba alimwambia pia Samia kuwa hata yeye akifa atakuja Rais mwingine.... I wonder why inaonekana kama imelenga upande mmoja pekee!!

Cha ajabu kipindi JPM anapambania uhai wake wewe ulikua unakataa unasema yupo kwenye mfungo wa maombi. Yaani ulijua kabisa unadanganya alafu baada ya kifo ndio unajifanya una uchungu naye sana kwa kurudia maneno ya chuki yaliyokwisha ombewa radhi na Rais!!

Aisee
Makamba alionesha chuki kubwa sana siku ile hata alisahihisha sisi tunaona dhamira mbaya ya moyo wa mzee makamba

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Mzee unazeeka vibaya hiyo kauli Mama Samia aliisahisha hapo hapo juu na kumuombea radhi Makamba mbona mnakuza mambo.

Kingine hiyo kauli ya Makamba alimwambia pia Samia kuwa hata yeye akifa atakuja Rais mwingine.... I wonder why inaonekana kama imelenga upande mmoja pekee!!

Cha ajabu kipindi JPM anapambania uhai wake wewe ulikua unakataa unasema yupo kwenye mfungo wa maombi. Yaani ulijua kabisa unadanganya alafu baada ya kifo ndio unajifanya una uchungu naye sana kwa kurudia maneno ya chuki yaliyokwisha ombewa radhi na Rais!!

Aisee
Ninapata shida sana kuandika kana kwamba ninamkingia kifua mtu yeyote hapa, hasa kwa mtu/kiongozi anayelengwa zaidi kwenye mada hii.

Lakini niseme tu kwa kifupi mkuu 'zitto junior'.
Hivi mtu kama Makamba, ambaye amekuwa kiongozi kwenye ngazi za juu ndani ya chama, anapotoa kauli kama hizi, kweli huo ndio uongozi wa kutegemewa katika nchi?

Hata kama anayosema ni ya kweli, kwa nafasi yake, huyu ni kiongozi wa kuyasema yale mbele za kadamnasi?

Hali ni hiyo hiyo, hata kwa akina Nape Nnauye sasa, hizi siyo kauli za kuzisema mbele ya kadamnasi hata kama kiongozi yule hakuwa na sifa ulizozitegemea wewe.

Inakuwa ni mbaya zaidi unapomzungumzia marehemu.

Mwisho: Kuna tofauti gani kati ya hawa watu na huyo wanayemsema kitabia? (sijui lolote kuhusu ukatiri wake aliokuwa nao, kama na wao wanao mwilini mwao).
 
Kuna watu bado wanaendelea kumnyooshea kidole Hayati Rais. R.I.P wakati wakijua fika kwamba yeye hakuhusika na hayo matukio, yaani hakwepo kabisa katika maeneo au eneo la tukio.

ila wanamsengenya kana kawaida wakati huo huo wanapandikiza vijineno(subtly) kana mtu alikuwepo na aliona Hayati alifanya hayo yote na mikono yake.

Hayo hayaniingii akilini, yaani kama picha inayowekwa iliyojaa na Dis na Misinformation katika karne hii Afrika ni Hili la Hayati J.P.Magufuli. Picasso hii hainunuliki!

Binafsi naelewa kabisa kwanini na kwa makusudi gani imekuwa hivyo, lakini kwa hatua tulizofikia-za kupata taarifa, inatupa Waafrika wakati mgumu kumeza uongo unaonekana dhahiri kubadilika kila wakati ikitokea nafasi hiyo,(kuna mfano huko juu)😂😅😌.

Tunaujua ukweli, tunaelewa hatuko nae na tunaelewa kila binadamu ana mapungufu yake, lakini sio kwa picha wanayojaribu kutuonyesha kana vile hatukuishi nae! Aisee alikuwa msiri kweli kweli kweli.(najiuliza).

Majibu mengi sasa hivi, tena baada ya taarifa zingine kubadilika bado yanaonyesha kuwa na majibu yale yale( a typical script) Mfano: kuunganisha kifo cha Akwilina na kutokujulikana alipo Ben Saanane kwenye sentensi moja- kana kwamba Ben amekufa? Aahhh tafadhali.

Naelewa hayo siyo kwaajili ya kizazi cha sasa(tunajua ukweli)bali ni cha baadae, na isitoshe ni kwaajili ya kulisha maneno Akili bandia zilizomwagwa kueneza na kusambaza Taarifa hizo. Nasema hivi kwasababu nimefanya Utafiti mwenyewe na nasema kwa Uhakika kabisa, AI ipo humu Jamvini.
....nisiboe
Maneno hayo ni hatari na yametumika kama silaha mbadala (after the facts)tena baada kama nilivyosema juu baada ya Taarifa nyingi(that suggested otherwise-exhonerated) kubadilika na wao kuja na mengine na attitude ya"hata viongozi wenu wamesema hivyo"
 
Ukweli ni kwamba tumekuwa na siasa za vyama vingi rasmi kuanzia 1992 lakini hapakuwa na uhasama wa aina hii hadi 2015 awamu ya 5 ilipoingia madarakani.
Tuwe wakweli, baada ya Magufuli kuingia madarakani chuki, wivu, uhasama na visasi vikachukua nafasi na yote hayo yakipata baraka zake mwenyewe ndio maana hakukemea.
Vifo vya ajabu, kushambuliana na kutekana kukachukua nafasi. Mbaya ni kuwa wapambe wake wakawa na kauli za kusapoti na kukejeli bila woga.
Baada ya Magufuli kufa, sio kuwa hawa waliopo kuanzia Samia ni wageni bali walikuwa naye. Hivyo kauli aliyo isema Lissu kule Katoro Geita ni ya msingi sana kuwa Rais ili alete maridhiano ya kweli (sio vyama tuu bali wato wote wenye chuki) yeye na viongozi wenzake WAWAOMBE RADHI waathirika wote na wakulaumiwa alaumiwe ili tuponye nchi.
Baada ya hayo atakaye mnenea mwingine mabaya ataonekana wa ajabu na upendo ule wa zamani wa Mke CCM na Mume Chadema na wanaishi pamoja utarudi.
Unajiandikia tu.....
Hizo kauli zimetolewa na Chadema ?
Ishu ingekuwa ni Upinzani na Vyama vingi kama kauli zingetolewa na wapinzani.
Lakini wote tunajua hizo kauli zimetolewa na CCM kwahiyo mambo ya CHADEMA hayahusiki hapo.
Waliomwagiwa ugali wao ndio walitoa kauli chafu hizo.
Na pia tabia za hilo Genge linaloongoza hizo harakati za kauli za kejeli zinajulikana hata na mtoto mdogo.
 
We Mzee unazeeka vibaya hiyo kauli Mama Samia aliisahisha hapo hapo juu na kumuombea radhi Makamba mbona mnakuza mambo.

Kingine hiyo kauli ya Makamba alimwambia pia Samia kuwa hata yeye akifa atakuja Rais mwingine.... I wonder why inaonekana kama imelenga upande mmoja pekee!!

Cha ajabu kipindi JPM anapambania uhai wake wewe ulikua unakataa unasema yupo kwenye mfungo wa maombi. Yaani ulijua kabisa unadanganya alafu baada ya kifo ndio unajifanya una uchungu naye sana kwa kurudia maneno ya chuki yaliyokwisha ombewa radhi na Rais!!

Aisee
Kirahisi tu hivyo?
Unaombewa radhi yanaisha?
 
1. Mungu kaamua ugomvi
2. Watu wazuri hawafi
3. Keshaanza kuoza.

Naona kama vile kauli hizi zitatutesa sana kwenye umoja wetu kama taifa huko tuendako.
Nawaza tu, hivi siku Mze Makamba akifariki viongozi wa serikali watafurahije maana huyu Mze ni mnafiki kupindukia.
 
We Mzee unazeeka vibaya hiyo kauli Mama Samia aliisahisha hapo hapo juu na kumuombea radhi Makamba mbona mnakuza mambo.

Kingine hiyo kauli ya Makamba alimwambia pia Samia kuwa hata yeye akifa atakuja Rais mwingine.... I wonder why inaonekana kama imelenga upande mmoja pekee!!

Cha ajabu kipindi JPM anapambania uhai wake wewe ulikua unakataa unasema yupo kwenye mfungo wa maombi. Yaani ulijua kabisa unadanganya alafu baada ya kifo ndio unajifanya una uchungu naye sana kwa kurudia maneno ya chuki yaliyokwisha ombewa radhi na Rais!!

Aisee
Mungu ameamua ugomvi

Bahari imetulia

Haya yaliombwa radhi lini?

Hata hii ya wema hawafi kwa nini makamba mwenyewe hakuomba radhi kupitia media? Kwanini aombewe radhi wakati ana mdomo wa kusemea?
 
Narudia na ntaandika tena na tena.

Usitarajie binadamu yeyote auhuzunike na kifo chako wakati ulipokuwa hai ulimtesa kumnyima haki zake za msingi na hata kujaribu kumuua.

Binadamu wa hivyo hayupo.

Hata mitume awakuwa hivyo.

Ukiwatendea watu ubaya ukifa lazima wafurahie.

Jiwe kama aliwatendea watu uovu lazima wafurahie kifo chake.

Unafkiri lissu aliyeponea chupu chupu kuuliwa atamfurahia mtesi wake?

Hapana lazima afurahi akisikia amekufa.

Hapo sijaongelea ndugu wa Ben sa nane.

Viongozi wanapaswa kuongoza kwa hekima na busara bila kusahau kufuata sheria tulizojiwekea.

Ukijiamulia wewe kama wewe na kuwaumiza wengine lazima maneno kama 'anaoza' ,'kazikwe nae' Mungu kaamulia ugomvi' yawepo tu.

Cha kujiuliza mbona Nyerere na Mkapa wamekufa lakini hawakuandamwa kwa maneno mabaya kama jiwe?
Wewe nawe ni jinga mmoja!

Unakumbuka sumu za Kubenea?
. Unakumbuka mabomu ya kurushwa kwa mkono kwenye mkutano wa chadema pale soweto arusha?

Unakumbuka dr ulimboka?

Unakumbuka Mwangosi?

Unakumbuka ugaidi wa Rwakatale?

Kwa nini mnakuwa mbumbumbu kiasi hiki?
 
Kauli za wenye chuki binafsi inakuaje mtu unafurahia kifo Cha mwenzio?
Hivi kwa mfano, Tundu Lisu waliotaka kumuuwa wangewekwa wazi kwa kila mmoja, SIKU WALIOMKOSA WAKIFA UNATEGEMEA ACHUKIE? UNATEGEMEA ASIFURAHI?

Sababu za kufurahi vifo vya wengine zipo nyingi..!!! Tatizo letu tunaangalia outcome na wala hatuhangaiki na source
 
Na kama kuna funzo lolote tunaloweza kujikumbusha juu yake kuhusu haya uliyoandika hapa ni kutazama tulikoanzia toka wakati ule tunapata uhuru wetu.

Funzo lipo hapo hapo.

Vikabila chungu nzima, na kila kimoja kimeshikilia mambo yao na machifu wao.

Ile kazi ya kujenga umoja ule sasa watu hawaioni kuwa ilikuwa ni kazi iliyofanywa kwa umakini mkubwa sana. Watu sasa wanabeza juhudi hizo.

Ili tuepuke kudidimia huko tunakoelekea, ni muhimu sana wapatikane viongozi wanaojali zaidi utaifa wetu, viongozi wazalendo kwelikweli, na siyo wa uzalendo wa kuvaa kwenye 'mikono ya mashati' anaoweza mtu kuuvaa na kuuvua wakati wowote anavyopenda yeye.

Sijui hawa watu tutawapata vipi, kama hawataki kujitokeza mbele waifanye kazi hii muhimu.
Na kwa uhakika hizi shule za kata zimeuwa sana umoja ulioanzishwa. Zamani, kitendo cha mNgoni wa Songea kwenda kusoma Bukoba kwa wahaya huko, kulikuwa kuna msahaulisha ukinjeketile wake na kuwa diluted na uhaya, and hence wawili hawa wanafikia equilibrium ya mila na tamaduni. KILA MTU AKIBAKI KWAKE, TUTATENGANA SANA
 
Back
Top Bottom