Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Kwa makamba alitakiwa yeye makamba aje aombe msamaha na rais Samia alitakiwa amfukuze January kwenye uwaziri hata kama geresha ya miezi kadhaa. Unajua wenye kuamini ktk Dkt Magufuli waliona mama alifurahia hiyo kauliTokea JPM amefariki Kulikua na kashfa nyingi sana na Mama Samia aliwahi sema aachwe apumzike.... Same to kauli ya Makamba akasema amezeeka asamehewe!! In fact Makamba naye alimwambia Samia anaweza kufa before 2025!!!
Ila cha ajabu humu msamaha umesahaulika watu Bado wanabeba maneno ya Makamba. Embu tujifunze kutokua na chuki maadam waliomba radhi then we need to move on.