Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Unataka tu move on kwakuwa watu wanakumbushia kauli za hovyo za kina Mzee Makamba kwakuwa ndiyo upande umeuchagua kuegemea ila wakati huo huo wewe uko mstari wa mbele kutaka 'mabaya' ya JPM yaongelewe kila siku.Huu ni unafiki wa kiwango cha SGR.Tokea JPM amefariki Kulikua na kashfa nyingi sana na Mama Samia aliwahi sema aachwe apumzike.... Same to kauli ya Makamba akasema amezeeka asamehewe!! In fact Makamba naye alimwambia Samia anaweza kufa before 2025!!!
Ila cha ajabu humu msamaha umesahaulika watu Bado wanabeba maneno ya Makamba. Embu tujifunze kutokua na chuki maadam waliomba radhi then we need to move on.