Kauli tatu za ajabu sana Tanzania kuhusu vifo vya viongozi

Trash
 
Halafu wahaha kuzungumzia kifo, ebu tuwaze, Diamond siku babaake akifa halafu ajifanye kulia, KILA MTU SI ATAMUONA MNAFIKI???
 
Baki na mavi yako nyumbani - John Pombe Magufuli, akiwa Magufuli Bus Terminal
AU KAMA HUNA MIA MBILI BASI PIGA MBIZI...!! Hivi unategemea mtu ambaye mia mbili hana kweli akuwazie nini..??? Angeweza kufikisha ujumbe huo huo bila kutumia maneno ya kuudhi..!! Huko bungeni kwenyewe wana kanuni za kukataza kutumia lugha za kuudhi..!!
 
Yupi Sasa kuwa wazi, tuweke kumbukumbu sawa?
Umeedit hadi umepoteza maana. Mtu bila kurudi nilikoandika hawezi kuelewa unachokiuliza.

BTW Diamond ana babaake ambaye yeye hamtambui. Sababu za kutomtambua anazijua Diamond mwenyewe. The same to Omy Dimpoz..!!
 
Msemaji wa Chato inaonekana hujui maana ya trash bali umeandika kwa vile wa Chato mwenzio kasemwa. Lakini ndo uhalisia..!! Hata ukate, alichokiandika bwana Chakaza ambacho wewe kwa akili yako umeona ni trash, ndo ukweli wenyewe..!!
Hizo propaganda hakuna ukweli wowote wa alichokiandika.


Chuki za mafisadi juu ya mtu mwema magufuli mnataka watanzania wote tuamini hivyo.

Nguvu kubwa sana inatumika kuharibu haiba ya Mtukufu wetu, Mwamba, Jemedali, Simba wa yuda Magufuli kwa makusudi.

Ila watz WANAELEWA That is why hata wapinzani kwa sasa wanapuuzwa..


Mfano: Tukiwa wadogo tuliambiwa idd amin alikuwa joka mla nyama za watu baada ya kukua tumejua ukweli.

So propaganda kitu hatari sana

Kasome tena maana ya "Trash" inaoneka umesoma chini ya mti wewe kayumba original
 
Tumia akili. Unadhani hayo matukio kama ya kina Ulimboka, Mvungi na Kubenea hayapo nchi zingine kama Kenya, Zambia na kwingineko? Kwa nini hizi tabia za chuki kama taifa kiasi cha kufurahia kifo cha mwingine kuwa official na kutamkwa na viongozi wa umma hadharani hazipo?
Uhalifu upo kila mahala lakini chuki za makundi alizozianzisha huyo Magufuli ndizo zile za aina ya Rwanda ambazo bila kuridhiana mtaendelea hivihivi kutakiana mabaya.
 
Kwa hiyo hayo matukio ya kutesa na kuua yalikuwa sawa kwa kikwete. Lakini Kwa magufuli siyo sawa ndo unachotaka kusema?
 
1.Alphonse Mawazo aliuwawa awamu ipi?

2.Hii picha ni ya mwaka gani?

3.Mlipuko wa bomu mkutano wa CHADEMA Arusha ilikuwa lini?

4.Uchaguzi mdogo Igunga tulioshuhudia kumwagiani tindikali kwa wafuasi wa vyama ilikuwa lini?

Shida yenu jamaa ni unafiki na chuki binafsi tu kwa awamu ya Tano lakini chuki imekuwepo hata kabla.
 
1. Mungu kaamua ugomvi
2. Watu wazuri hawafi
3. Keshaanza kuoza.

Naona kama vile kauli hizi zitatutesa sana kwenye umoja wetu kama taifa huko tuendako.
Hizi kauli za ndani ya chama,
Sisi kama taifa tupo salama tutembee kifua mbere
 
Mungu ameamua ugomvi

Bahari imetulia

Haya yaliombwa radhi lini?

Hata hii ya wema hawafi kwa nini makamba mwenyewe hakuomba radhi kupitia media? Kwanini aombewe radhi wakati ana mdomo wa kusemea?
Tokea JPM amefariki Kulikua na kashfa nyingi sana na Mama Samia aliwahi sema aachwe apumzike.... Same to kauli ya Makamba akasema amezeeka asamehewe!! In fact Makamba naye alimwambia Samia anaweza kufa before 2025!!!

Ila cha ajabu humu msamaha umesahaulika watu Bado wanabeba maneno ya Makamba. Embu tujifunze kutokua na chuki maadam waliomba radhi then we need to move on.
 
1. Mungu kaamua ugomvi
2. Watu wazuri hawafi
3. Keshaanza kuoza.

Naona kama vile kauli hizi zitatutesa sana kwenye umoja wetu kama taifa huko tuendako.
Mambo ya kijinga, kishenzi, kikatili, kibaguzi, kionevu etc, muasisi wa yote hayo ni magufuli. Umoja wa taifa hili umeathiriwa sana na magufuli.
 
Muogopeni Mungu
Mimi siko upande wowote ila nawashangaa watu kutwa kutukana wafu
Kila mmoja ajililie yeye kwani nasi ni wafu watarajiwa eti

Hao hawanihusu ila muwe na aibu basi
Haya yapo Tz tu naona
Kwani hapa nimemtukana mtu?
Sina ulimbukeni huo
 
Kirahisi tu hivyo?
Unaombewa radhi yanaisha?
Mbona Makonda alipotukana wachagga aliombewa radhi na Bashiru Ally na akasamehewa mpaka Leo. Kama mtu alishaomba radhi hakuna haja ya kuendelea kubeba bango kwa kauli za chuki na kuligawa taifa.

Mbaya zaidi Ile kauli haikumlenga JPM pekee hata Samia naye aliambiwa anaweza asifike 2025!! So tusiendeleze chuki bila sababu.
 
Makamba alionesha chuki kubwa sana siku ile hata alisahihisha sisi tunaona dhamira mbaya ya moyo wa mzee makamba

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana ya msamaha, Hata Makonda aliwatukana wachagga WOTE! ila aliombewa msamaha na Bashiru mbona sijaskia wachagga wanaweka visasi Hadi Leo?!

Rais ni mkuu wa nchi so mpaka anaomba radhi inatosha kabisa watu kusamehe yote. Ingekua Mungu anaangalia dhamira zetu au uovu wetu sidhani kama dhambi zetu zingewahi samehewa hata tone.
 
Grow up mbona vitu vya kupita hivyo [emoji3062] vita tutesa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…