Kauli tatu za ajabu sana Tanzania kuhusu vifo vya viongozi

Unataka tu move on kwakuwa watu wanakumbushia kauli za hovyo za kina Mzee Makamba kwakuwa ndiyo upande umeuchagua kuegemea ila wakati huo huo wewe uko mstari wa mbele kutaka 'mabaya' ya JPM yaongelewe kila siku.Huu ni unafiki wa kiwango cha SGR.
 
Mipasho ya humu ni Mpfyuuuuuuuuuuuu kweli.
 
Unataka tu move on kwakuwa watu wanakumbushia kauli za hovyo za kina Mzee Makamba kwakuwa ndiyo upande umeuchagua kuegemea ila wakati huo huo wewe uko mstari wa mbele kutaka 'mabaya' ya JPM yaongelewe kila siku.Huu ni unafiki wa kiwango cha SGR.
1. JPM Sina rekodi aliombewa radhi kwa kauli zake au kwa madhila yaliyotupata upinzani in fact sisi tulimkosoa kama kiongozi Wala Haina uhusiano na kufariki kwake. Ni sawa na Idd Amin au Hitler anavyoongelewa mpaka Leo huwa hawamsakami "marehemu" ila wanakosoa uongozi wao.

2. Kuhusu Kauli ya Makamba et al. Mama Samia is on record akiomba msamaha na kusema wameteleza. Ndio nashangaa why hamtaki kumove on from kauli iliyoombewa msamaha??

3. Ni kama Makonda alitukana wachagga WOTE ila alipoombewa msamaha na Bashiru sikuwahi ona wachagga wakiendeleza chuki Ile na Wala Mbowe hajawahi gusia Ile kauli yake Tena.

4. So na nyie mjifunze kukubali msamaha, kama mtu akisema Sorry Haina budi kuupokea na maisha yaendelee. Ila kuendelea kukariri kauli na mtu alishaomba radhi sijui mnataka afanyeje Sasa? Arudishe nyuma wakati Ili asiongee Yale maneno?
 
Ndiyo mvumilie Sasa,ni zamu yenu kuvuna ubaya Sasa,baada ya Membe kudondoka!!!
Umeona namtetemekea huyo Membe? Au unadhani kila mtu anababaika na hayo majizi ya CCM?
 
Majizi yamali zauma namavyeti bandia ndio chanzo cha yote haya,yalitaka yaendelee kuila nchi kidhulma yalivoliwa kichwa tu yakaanzisha chuki.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Hujaenda tu Rondo au umeamua kubaki huko😆😆😆
 
Tulikuwa tumekwishavuka kabisa hiyo ngazi ya vieneo maalum. MTanzania unakwenda popote kuishi nchini na kufanya shughuli zako bila hata kuhisi kuwa uko kwenye eneo tofauti na ulikozaliwa.
 
1. Mungu kaamua ugomvi
2. Watu wazuri hawafi
3. Keshaanza kuoza.

Naona kama vile kauli hizi zitatutesa sana kwenye umoja wetu kama taifa huko tuendako.
Waanzilishi ni wale baada ya hayati Magufuli kufariki walisimanga sana,acha liendelee ili wa kujuta wajute tu
 
Nakazia ujumbe
 
1. Mungu kaamua ugomvi
2. Watu wazuri hawafi
3. Keshaanza kuoza.

Naona kama vile kauli hizi zitatutesa sana kwenye umoja wetu kama taifa huko tuendako.
Wewe na wewe vipi? Kauli ambazo ni story za kawaida yena za kwenye kahawa zitatutesaje sasa? Teseka mwenyewe.
 
Hujaenda tu Rondo au umeamua kubaki huko😆😆😆
I'm not CCM ila msiba wa JPM ni CCM na Membe ni CCM Sasa inanihusu Nini mie muuza migebuka huku Nyarubanda?

Mna tatizo kudhani Kila anayekosoa JPM basi automatically ni team JK/Membe/Samia.
 
I'm not CCM ila msiba wa JPM ni CCM na Membe ni CCM Sasa inanihusu Nini mie muuza migebuka huku Nyarubanda?

Mna tatizo kudhani Kila anayekosoa JPM basi automatically ni team JK/Membe/Samia.
Mpfyuuuuuuuuuuuu
 
Tulikuwa tumekwishavuka kabisa hiyo ngazi ya vieneo maalum. MTanzania unakwenda popote kuishi nchini na kufanya shughuli zako bila hata kuhisi kuwa uko kwenye eneo tofauti na ulikozaliwa.
Kwa sasa slowly tunarudishwa kwenye ukabila au vieneo maalumu kama ulivyoita...!!. Nakumbuka hata bungeni, akina Msukuma walidai, wale ambao majimbo yao hayana madini (dhahabu in this regard) basi wakae kimya wakati mjadala wa dhahabu unafanyika, maana hawana uzoefu huo. Hii ilikuwa ni dalili ya ujimbo. Nikawaza vipi ikifika mkonge unajadiliwa waachiwe wa Tanga na Morogoro wajadili? au korosho waachiwe wa Mtwara Lindi na Ruvuma? au mahindi je waachiwe the big four? Miwa nayo ikifikwa kujadiliwa waachiwe wa Morogoro na Kagera? Na kahawa ikifikiwa, waachiwe wa Mbinga, Bukoba, Kilimanjaro na Arusha pekee wajadili? Kokoa watawaachia wa Mbeya wafanye yao? Ni hatari kwa kweli. Mwisho wa siku kila watu wangejenga bunge lao huko waliko kutegemeana na nini wanazalisha.
 
Nani yule aliye sema wasaliti hawastahili kuishi na jeshini ukirudi nyuma una uwawa na wenzio?
 
Acha kauli chafu zianikwe, vipi inakuuuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…