Ukweli ni kuwa DRC haiwezinkuketa tija yeyote kwenye kilimo chetu.Naunga mkono hoja , heche hana hoja
Kutumia kauli zinazoshambulia utu au uwezo wa kiakili wa viongozi badala ya kujenga hoja kwenye sera au maamuzi yao hubadilisha mjadala kutoka kuwa wa kiundani (substance) na kuwa wa kiuhasama (personal attacks). Lugha ya staha huongeza uzito wa ukosoaji na kulinda mshikamano wa kitaifa.
Inakuwa ya 'Nyoko!' Unaelewa maana ya uchumi kukuwa?Nyie endeleeni kuponda lakini Tanzania inakuwa sana kiuchumi na kimiundombinu katika kipindi hiki kuliko Marais waliomtangulia
Kulinganisha mtazamo huo na kazi za Ali Kamwe au Brenda Rupia ni sahihi. Hao ni watu waliobobea kwenye kuunda simulizi (narratives), kusisimua hisia za mashabiki, na kutengeneza kichwa cha habari (sensationalism) ili kupata ushawishi wa papo hapo. Kwenye tasnia ya habari na habari za michezo, mbinu hiyo hufanya kazi vizuri sana kwa sababu lengo kuu ni burudani na kuteka hisia za umma.Kama ni mass communication basi huyu wenzie ni akina Ali Kamwe na Brenda Rupia. Economics au International businesses kwake ni kama mnyama pori
Hiyo ulifundishwa darasani, eti?Naunga mkono hoja , heche hana hoja
Kutumia kauli zinazoshambulia utu au uwezo wa kiakili wa viongozi badala ya kujenga hoja kwenye sera au maamuzi yao hubadilisha mjadala kutoka kuwa wa kiundani (substance) na kuwa wa kiuhasama (personal attacks). Lugha ya staha huongeza uzito wa ukosoaji na kulinda mshikamano wa kitaifa.
Kosoa kosoa hao.View attachment 3653552
Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi.
Kwa uwekezaji wa kutoka nje, teknolojia ni mojawapo tu. Mtaji ndiyo msingi mkuu, bila pesa hakuna kitu. Soko kubwa, utulivu wa kisiasa, sera nzuri, miundombinu, na motisha ya kodi ni muhimu zaidi. Mwekezaji wa Congo anaweza kuleta mtaji wake na kununua au kuleta teknolojia. Congo ina madini mengi na idadi kubwa ya watu, soko linalokaribiana nasi. Kuwaalika katika kilimo, uvuvi na madini kunafungua milango ya biashara ya pande zote, si kudhoofisha.
Kushughulikia bandari ni jambo zuri, lakini si kisingizio cha kukataa ushirikiano mbalimbali. Ushirikiano wa kikanda unajenga nguvu pamoja. Kukosoa bila kuona fursa ni kudumaza maendeleo. Hoja yake inakosa uelewa wa biashara za kimataifa na inaonekana zaidi kama siasa kuliko uchambuzi wa kiuchumi.
Logical fallacyHiyo ulifundishwa darasani, eti?
Mukitaka kuchangia JF acheni masomo ya darasani, leteni ufahamu mulionao vichwani. Munaishia kutaja vijineno vya darasani mukiamini ndo nchi ilivyo.
Nawe unajiandikia ujinga-ujinga tu! Wewe leo hii unavyoona kuna nani serikalini mwenye akili?
Samia alipokwenda Russia uliambiwa faida ni kuwekeza kwenye Mahoteli. Huyo ni kiongozi au mzaha wa akili? Mahoteli ndo yanamsafirisha rais?
Hali ya hewa na ubora wa ardhi Congo ukilinganisha na Tanzania, unawezaje kumshwishi mtu aje kulima Tanzania? Rubbish!
Congo hawo wanategemea mpaka nyanya kutoka kigoma ndio waje kuwekeza kwenye kilimo huku kwetu yaani tutakuwa tunachekesha kwakweli mkuuMara nyingi sana
Wana very rich people ambao wana limitation ya where to invest
Let them come
Mkuu naweza kudiriki kusema CCM na serkali wamefeli sana kwenye kilimo.Kawa wapo wenye akili kwanini bandari na mwendo kasi tunakabidhi wageni?? kwanini tunaagiza mafuta ya kula njee wakati alizeti inastawi kila mahali na ardhi tunayo tatizo ni nini??
Kuponda uwekezaji kutoka DRC kwa sababu tu "hawana teknolojia ya kilimo" ni kukosa uelewa wa jinsi mtiririko wa mtaji wa kimataifa (Global Capital Flows) unavyofanya kazi. Hakuna nchi inayokataa mtaji kwa sababu mwekezaji anatoka nchi jiraniUkweli ni kuwa DRC haiwezinkuketa tija yeyote kwenye kilimo chetu.
Juzi hapa kipindi ya Bshe akiwa Waziri mlikuja na BRN mkadondokea poa na hakuna la maana mmefanya.
Mkulima anahitaji elimu(agricultural skill),Pembejeo bora,Miundombinu na soko la uhakika zingine ni blahblah za CCM.
Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini uwekezaji wa Mkongo hapa Tanzania kuwa na tija.Tuma picha ya Mcongo akiwekeza nje ya Nchi yake..
Heche ni bogus of millenium,hakuna mikataba ya kuhusuka na kilimo,bali kuna mikataba ya wakongo wasafishe madini yao Tanzania,wajenge barabara mpaka kalemi,ili sgr itakapofika ziwani,meli zisafirishe haraka na barabara zipokee mizigo hiyo kwa haraka consignee apate mizigo yake,View attachment 3653552
Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi.
Kwa uwekezaji wa kutoka nje, teknolojia ni mojawapo tu. Mtaji ndiyo msingi mkuu, bila pesa hakuna kitu. Soko kubwa, utulivu wa kisiasa, sera nzuri, miundombinu, na motisha ya kodi ni muhimu zaidi. Mwekezaji wa Congo anaweza kuleta mtaji wake na kununua au kuleta teknolojia. Congo ina madini mengi na idadi kubwa ya watu, soko linalokaribiana nasi. Kuwaalika katika kilimo, uvuvi na madini kunafungua milango ya biashara ya pande zote, si kudhoofisha.
Kushughulikia bandari ni jambo zuri, lakini si kisingizio cha kukataa ushirikiano mbalimbali. Ushirikiano wa kikanda unajenga nguvu pamoja. Kukosoa bila kuona fursa ni kudumaza maendeleo. Hoja yake inakosa uelewa wa biashara za kimataifa na inaonekana zaidi kama siasa kuliko uchambuzi wa kiuchumi.
Anaitwa nani huyo Mburundi hapa Dodoma mimi niko hapa mtaje, usilete porojo.Kuna mburundi ana kiwanda kikubwa sana na cha mbolea dodoma, why not Congolese?
Mnawaza manually sana…. DRC is a facilitator for their people to invest in Tanzania
Kuna sisi wengine Suala sio mtoa hoja pekee, suala ni hoja. Kama za kuambiwa nikichanganya na zangu hoja inaleta maana naunga mkono hoja, kama haileti maana siungi mkono hoja.Acheni kumsikiliza huyu fisadi wa hela za ToneTone amelewa bangi
Heche amesema ukweli, DRC ina uwezo wa kuwekeza TZ? Mnaota ninyi wajinga......Nchi yenyewe ipo vipande vipandeView attachment 3653552
Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi.
Kwa uwekezaji wa kutoka nje, teknolojia ni mojawapo tu. Mtaji ndiyo msingi mkuu, bila pesa hakuna kitu. Soko kubwa, utulivu wa kisiasa, sera nzuri, miundombinu, na motisha ya kodi ni muhimu zaidi. Mwekezaji wa Congo anaweza kuleta mtaji wake na kununua au kuleta teknolojia. Congo ina madini mengi na idadi kubwa ya watu, soko linalokaribiana nasi. Kuwaalika katika kilimo, uvuvi na madini kunafungua milango ya biashara ya pande zote, si kudhoofisha.
Kushughulikia bandari ni jambo zuri, lakini si kisingizio cha kukataa ushirikiano mbalimbali. Ushirikiano wa kikanda unajenga nguvu pamoja. Kukosoa bila kuona fursa ni kudumaza maendeleo. Hoja yake inakosa uelewa wa biashara za kimataifa na inaonekana zaidi kama siasa kuliko uchambuzi wa kiuchumi.
Wewe usiwe mjinga,Upande wa Kongo DRC kule Kabimba wachina washanjenga Kiwanda ya Sementi na vifaa vingi vya ujenzi kama tiles nk.Heche ni bogus of millenium,hakuna mikataba ya kuhusuka na kilimo,bali kuna mikataba ya wakongo wasafishe madini yao Tanzania,wajenge barabara mpaka kalemi,ili sgr itakapofika ziwani,meli zisafirishe haraka na barabara zipokee mizigo hiyo kwa haraka consignee apate mizigo yake,
#HECHE NI MJINGA SANA
Muundo wa uungozi tz upo clear kabisa na unafahamika, viongozi ngazi za wilaya na mkoa wana kofia kadha kadha kulingana na muktadha wa eneo.
Madiwani wanapokuwa ktk vikao vya council wanakuwa wamevaa kofia ya ubunge na Mwenyekiti wa council/mayor anakuwa na kofia ya uspika, katika bunge hili la wilaya wana mamlaka ya kupanga bajeti na jinsi gani ya kutumia mapato yao ya ndani. Baada ya maazimio ya bajeti mkurugenzi mtendaji anavua kofia ya ukatibu wa bunge na kuvaa kofia ya uwaziri mkuu na ndiye anawajibika kusimamia utekelezaji wa bajeti bila kuingiliwa na dc wala rc.
Councillor na ded hawana mamlaka na vyombo vya ulinzi na usalama so katika utekelezaji wa majukumu wakikumbana na kikwazo kinachohitaji nguvu ndo humuona dc au rc ambao ndo wenyeviti wa kamati za ulinzi na wana kofia za urais katika maeneo yao.
So asaiv unamwona chalamila kama anaingilia majukumu ya mayor, si kweli mayor keshakaa na wajumbe wake ktk baraza wakabaini mapato ya jiji upande wa usafiri yamepangua so soln ni stand ya magufuli itumike ipasavyo ili tuweze kukusanya, baada ya wajibu wao ndo wamepeleka maazimio ktk kamati ya ulinzi ishughulike na kuingiza Mabasi ndo hapo sasa mwenye kamati yake chalamila anatamba, lkn pia mayor na ded wake watatamba kwenye kamati yao ya fedha na mipango kwa kusanya mapato humo stand na kuyapangia kazi ya kufanya bila kuingiliwa na dc au rc.
Kwa ufafanuzi huu mdogo naomba sasa kauli yako ya kumtetea heche uifute.