Kauli ya Heche kukosoa Congo kuwekeza Tanzania ina ufinyu wa uelewa

Congo atamfunza nani Kilimo? Bora muwafanye wawe soko letu
 
Kwamba mchaga anafanya uwekezaji kama wa congo, ndio maana huwa nawaita nyie ni nguruwe
Hatuwezi kukubaliana kwenye kila kitu ,tupo watu 60m+. Awe ni Heche kaongea, au Wasira. Hoja zitasapotiwa, hoja zitapingwa.

Kuna baadhi huwa mnasahau kuwa, moja ya vitu anavyopigania Heche ni uhuru wa maoni na kukosoa.
 
Unajadilije hoja ya mtu mwenye upeo mdogo kuanzia juu Hadi chini huko kwenu ni Heche tu
 
Tofautisha upeo na vyeti vya kitaaluma,unaweza kwenda chuo na kuwa na degree lukuki na ulifaulu msingi mpaka a level we ni one tu,ya Saba,ya tatu,first class..lakini bado ukawa na upeo mdogo,ndivyo alivyo Heche na wewe
By the way ukija kwenye academic certificates Samia ana masters degree ya university of Manchester
 
Sasa kama kila viongozi wa africa wanawatafutia watu wao kuja kuwekeza Tanzania tu. je na sisi viongozi wetu wanatutafutia chances za kwenda kuwekeza uko nje ya nchi? kama hapo kwenye kilimo hasa kwa nchi kama Congo mimi naona kama sisi ndio ilibidi tukawekeze kule kwa kilimo mana wana ardhi ya kutosha hawaitumii na sisi tuna utalamu wa kilimo so kwa hii issue ilipaswa iwe vice versa.
 
hivyo narudia kwa tanzagiza meya au sijui mwenyekiti wa halmashauri hana power yoyote ile mbele ya mkuu wa wilaya au mkoa ...
Hii naomba ibaki kama mawazo yako binafsi, chochote kinachoazimiwa na baraza la madiwani dc au rc hana mamlaka ya kukitengua labda kwenye halmashauri yenu ambayo haina madiwani wanaojielewa, halmashauri zinazojitambua zinaweza kufukuza dc au rc kwa namna nyingi, baraza la madiwani likitishia kujiuzulu sababu ya rc au dc mpuuzi ni asubuhi tu utasikia rais keshatumbua mtu huko.
 
Nimekuuliza upeo mdogo kulingana na nani/nini!!??

 

..mimi nina mashaka sana na utaratibu wa kuleta wawekezaji kufanya kilimo na ufugaji Tanzania.

..kama kuna sekta tuna uwezo nazo nadhani ni kilimo, uvuvi, na ufugaji.

..nilisikia kuna WARUSI wameletwa ili walime ndizi.

..Sasa najiuliza hivi Watanzania hatuwezi kulima ndizi? Kwanini?

..Jana tena nimemsikia Waziri Prof.Mkumbo akisema Wasaudia wanakuja kufanya ufugaji.

..Hivi kweli Wasaudia wanajua ufugaji na mazingira yake kuliko jamii za Kitanzania?

..Nafasi ya mkulima na mfugaji wa Kitanzania ni nini ktk mpango mzima wa kuleta Waarabu, na Warusi, kufanya kilimo na ufugaji?

Cc Nguruvi3
 
Heche anaakili kuliko nyie nguruwe wa ccm wote ndio maana mmeshindwa kujibu hoja kwanini congo haijawekeza huko kwao wakati wanamapori kuliko maeneo yanayokaliwa na watu. Nguruwe wewe.
Heche ni mbumbumbu, sasa kama wewe unamuona ana akili sijui utakuwaje huko nhumbani kwako
 
Yaani waswahili kwa dharau!! Wakongo wamewekeza hadi Europe. Hebu tafuta kwanza haya majina matatu;-

View attachment 3653935
Mkuu nilipofika mara ya kwanza SA nilionyeshwa Mtanzania amewekeza kiwanda cha samaki Cape Town nilishangaa sana maana kwa wakati ule kilikua kiwanda kikubwa sana maana alikua ana meli za kuvua na kusambaza samaki nje ya SA maana yangu ni hii wanaowekeza nje kwa kutafuta hata wasomali utawapata ila nasema Wacongo asili yao sio kilimo ndio maana hata kwao chakula ni tatizo ingawaje wamesambaa Dunia nzima wapo kwa biashara zingine ila wana mitaji mikubwa kutokana na madini yao ingeambiwa Wacongo wanakuja kuwekeza kwenye dhahabu au almasi ningekubali wao hizo ndio asili zao hakuna Mkongo analima mahindi ya biashara bhana labda mkongo wa kuchovya..
 
Kongo watakuletea technologies gani ya kilimo na wewe!? Mambo mengine mnatetea hata bila kufikiri. Kongo hawa wenye ardhi nzuri na kubwa washindwe kwao halafu wawaletee nyie maarifa! Maarifa gani hayo. Muwakimbize wazungu mje mwendelezwe na walingara!!
 
Kawa wapo wenye akili kwanini bandari na mwendo kasi tunakabidhi wageni?? kwanini tunaagiza mafuta ya kula njee wakati alizeti inastawi kila mahali na ardhi tunayo tatizo ni nini??
Ni aina ya watu waliopo Tanzania. Mwendokasi haiendeshwi na viongozi bali Watanzania wachache walioaminiwa. Sasa wanapoiba fedha za mradi au kuuza ticketi feki tuwalaumu viongozi?? Watu wanaiba mafuta na vipuri vya Mwendokasi bado tuwalaumu viongozibwa nchi kwa kuleta wawekezaji kwenye maeneo hayo?
 
Hakuna mradi alioanzisha Magufuli ambao haujakamilika. Kuanzisha siyo issue kubwa. Kikubwa ni kumaliza miradi aliyoikuta. Kama angetaka kuanzisha miradi yake ina maana SGR, JKNHP na Kigongo Busisi zingekamilika. Na ingekuwa matumizi mabaya ya raslimali fedha za umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…