Uwezo wako kiakili ni mdogo ubongo wako haujaii hata ktk kijiko kwenye utoto wako ulipata safura .Makala ndefu ,taka tupu
Ukitaka mgonjwa asipone mapema ni kumwambia kila mara kuwa yeye ni mgonjwa. Ni sawa na kutaka kumkwamua mnyonge kwa kumuita na kumuaminisha kuwa yeye ni mnyonge pale atakaposhindwa kujikwamua ni Dhahiri ataendelea kwa kuwa ataamini unyonge ndio uhalisi wake"
Kwanza hiyo tafsiri yakohapo juu napingana nayo,viongozi wanaoitumia kauli hii wako sahihi na wanaitumia lugha hii kulingana na mahitaji ya wakati tulio nao.
Kiukweli nchi ya Tanzania kipindi kilichopita ilitengeneza matabaka ya walionacho na wasiokuanacho, dhulma ilitamalaki,uonevu,kukosekana huduma za haki za kisheria,huduma za afya zilitolewa kibaguzi,
wananchi kupokwa haki ardhi kwa kua tu hawana nguvu za kiuchumi,
Hali hii ikatengeneneza "wanyonge" kwa tafsiri sahihi ya kiswahili ni watu waliokosa msaada,
Kilichofanyika katika awamu ya tano ya rais Magufuli ni kulipa kipaumbele kundi hili la wanyonge kwa lengo la kuliinua .
Kuimalisha huduma za kijamii,kuhakikisha mfumo wa utoaji haki hauna upendeleo, kuwasikiliza kero zao na kuzitatua,kuwapa elimu bure,kwa sababu elimu iligeuka biashara badala ya huduma kwa jamii,na mengine mengi yenye lengo chanya kuwainua kiuchumi.
Hivyo kauli hii hua ni msistizo wa viongozi ya kua ipo na kundi hili kubwa pamoja nalo katika kuliinua kwa kuliwezeshea miundo mbinu bora,na wala si dhihaka,au tusi,
nitafanya ivyo mkuundugu kama unapitia pitia vitabu tafuta muda kipitie the art of seduction cha robert green haya yote yamefafanuliwa vizuri sana
Sawa,sasa unashauri waitajwe jina zuri ambalo litadumu na ni la faraja kwao,ili mimi nisiendeleze ubishani,kwani lengo tunajenga nchi yetuUkitaka mgonjwa asipone mapema ni kumwambia kila mara kuwa yeye ni mgonjwa. Ni sawa na kutaka kumkwamua mnyonge kwa kumuita na kumuaminisha kuwa yeye ni mnyonge pale atakaposhindwa kujikwamua ni Dhahiri ataendelea kwa kuwa ataamini unyonge ndio uhalisi wake
Ninaposema viongozi hawatakiwi watumie kauli kama hizo sina maana kuwa sioni utendaji kazi wao bali ninaona kuwa wanatengeneza virusi kwenye akili za wananchi kwa kauli ambazo zinazidi kumfanya mwananchi ajione hawezi kitu hata pale anapojaribu kuchukua hatua.
Kwa taarifa yako tabia hujengwa kwa kurudia rudia kufanya jambo au kitu flani, unaporudia kufanya au kusema kitu kila mara akili inatengeneza mitazamo na mwisho inaamini kuwa jambo fulani lina ukweli endapo hakutakuwa na ukinzani mwingine
Unapowaita wananchi wanyonge kila mara watu hao nao wanaamini kuwa ni wanyonge hivyo watakuwa wanyonge siku zote na watazidi kunyongwa kwa kuwa mmewafunga kitanzi cha unyonge
Nawaomba mniunge mkono,tuukatae unyonge.Sisi siyo wanyonge na hatustahili kuitwa hivyo.October 2020 kwenye ballot box fanya changes unazozitaka.
This is a contradiction. Moreover, the logic is circular.Kama mtu anakutishia "unajua mimi ni nani na unakubaliana nae bila kuhoji wewe ni mnyonge " JPM ameondoa hayo , ni raisi wa wanyonge .
Sent using Jamii Forums mobile app