Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Endelea kutumikia mabeberu wenu.Nimekuwa nashuhudia kuwa utawala wa awamu hii wakijisifia kwamba Rais wetu ni Rais wa wanyonge.
Huwa najiuliza tafsiri ya neno mnyonge katika kamusi ya Kiswahili Sanifu. Mimi siyo miongoni kwa wanaostahili hiyo sifa na nakataa rasmi kuitwa mnyonge.
Kwa kuwa ni haki yangu, mtu yeyote asiniite mnyonge.
Hofu yangu ni moja tu. Nitakuwa sina Rais? Natamani kuomba Mh. Magufuli aache kujiita Rais wa Wanyonge maana ni utwezaji wa utu wetu Watanzania.
Unyonge ndani ya nchi huru kwa umri wa nusu karne, ikiwa na raslimali lukuki ni jambo lisilokubalika.
Mimi siyo miongoni mwenu, naomba mturuhusu tumtafute kiongozi wa Tanzania na siyo wa wanyonge, huu ni udhalilishaji.
Nawaomba ndugu zangu Watanzania, tukatae unyonge, siyo sifa njema.
Vipi 'malofa' au lofa !?Nawaomba mniunge mkono,tuukatae unyonge.Sisi siyo wanyonge na hatustahili kuitwa hivyo.
Ndani ya hilo ballot ndo kuna huo unyonge !?October 2020 kwenye ballot box fanya changes unazozitaka.
Bado iwe MTU akituita wanyonge tumwambie-SIYOOOoooo! Kweliii.Naam, kujinyongefy ni mwiko!
Wamejirithisha Mali za Watanzania zilizojengwa kwa bajeti ya serikali na nguvu za Wananchi.Raslimali kama viwanja vya michezo,majengo,maeneo ya wazi wakati wa kuingia vyama vingi walivinyakua,ila bado wananjaa na wanatuita wanyonge Sisi wenye nchi? Kama mumeshindwa kuongoza so mpishe Watanzania wenye uchungu na Taifa lao waongoze mabadiliko na maridhiano.Hakuna mnyonge hapa labda kijani kibichi.
Tuelimishane kuwa kujengewa dhana ya unyonge ni kwa manufaa ya kundi LA elite. Watawala wakitumia logic ya demoralization. Wanataka kutugeuza mazuzu.
Wewe ni mbuzi jike?Mbona unawawaza sana mabeberu?Who is beberu hasa?Usinijaze hofu ya beberu lako hewa kila hoja ikiwa siyo ya kuwasifia hao wanaotudhalilisha makusudi kwa unyonge mnadai tumetumwa na mabeberu.Hicho ndicho kiujazacho moyo wako wewe mbuzi jike?Unaogopa beberu atakupanda maana mkia wenyewe mfupi na bado umeubinua.Beberu wa watu anakosa gani akifanya vitu vyake?Endelea kutumikia mabeberu wenu.
Umenitia moyo mkuu...Najinunulia chakula, najinunulia mavazi, najilipia bills zote.
Halafu hyo raisi wa wanyonge huwa anawalipia mahitaji muhimu ya kila siku wananchi wa nchi anayoiongoza???
Na Mimi sio mnyonge, tena yeye ndo alitakiwa awe mnyonge kwetu sisi walipa Kodi anazozitegemea kuendesha nchi.
Punguza jazba mjini shule, kwa mtindo huu utagombana hata na nduguzo ukidhani wapitanjia, JF of GT si uwanja wa matusi mnapotofautiana hoja.Wewe ni mbuzi jike?Mbona unawawaza sana mabeberu?Who is beberu hasa?Usinijaze hofu ya beberu lako hewa kila hoja ikiwa siyo ya kuwasifia hao wanaotudhalilisha makusudi kwa unyonge mnadai tumetumwa na mabeberu.Hicho ndicho kiujazacho moyo wako wewe mbuzi jike?Unaogopa beberu atakupanda maana mkia wenyewe mfupi na bado umeubinua.Beberu wa watu anakosa gani akifanya vitu vyake?
Acheni kujitetea kitoto,jenga hoja,Mimi nakataa unyonge.
Halikubaliki mkuu,mtu mwenye heshima zake kwenye jamii hawezi kubali kuitwa mnyonge. Tukatae kwa vitendo,tutafute viongozi wetu Sisi tusio wanyonge. Viongozi wenye fikra chanya za kututoa kwenye hili tope walilotuingiza hawa watawala wa wanyonge.neno linanikera sana.....
Sorry kama lugha imekuwa Kali,ila siwapendi watu wanaojificha katika kichaka cha kutumwa na beberu.Ni hill tu mkuu,tuungane kupinga unyonge.Punguza jazba mjini shule, kwa mtindo huu utagombana hata na nduguzo ukidhani wapitanjia, JF of GT si uwanja wa matusi mnapotofautiana hoja.
unajikuta jitu zima na akili timamu oh mimi mnyonge, shenza kabisa....Halikubaliki mkuu,mtu mwenye heshima zake kwenye jamii hawezi kubali kuitwa mnyonge. Tukatae kwa vitendo,tutafute viongozi wetu Sisi tusio wanyonge. Viongozi wenye fikra chanya za kututoa kwenye hili tope walilotuingiza hawa watawala wa wanyonge.
Tudai Katiba ya Wananchi kwanza.Ambayo jamaa hawapo tayari kusikia hiyo hoja,wametia pamba masikioni ila tupaze sauti zetu bila kuchoka.
Kinachoudhi zaidi ni pale wanaposema Sisi Watanzania wanyonge. Wao na nani?Maana Miye siyo miongoni mwa hao wanyonge, sipo peke yangu,hivyo hiyo statement isitumike.unajikuta jitu zima na akili timamu oh mimi mnyonge, shenza kabisa....
Kuna ukweli katika maneno yako.Tuelimishane kuwa kujengewa dhana ya unyonge ni kwa manufaa ya kundi LA elite. Watawala wakitumia logic ya demoralization. Wanataka kutugeuza mazuzu.
Wananchi waachwe wachague,ila watawala wanawafanyia figisu kupitia tume,POLICE,mahakama na manunuzi ya viongozi ndiyo kikwazoKuna ukweli katika maneno yako.
Lakini.
Unyonge unaletwa na watawala au wananchi wasiowaondoa hao watawala?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wananchi wasipoweza kubadili hayo, ndiyo unyonge wenyewe huo.Wananchi waachwe wachague,ila watawala wanawafanyia figisu kupitia tume,POLICE,mahakama na manunuzi ya viongozi ndiyo kikwazo
Matokeo yaliyochakachuliwa yanahalalishwa ili waonekane wanakubalika.
Tuukatae unyonge,ni aibu.