Pre GE2025 Kauli ya Lema, Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lema ni coward. Kama amemtaja Makonda kwa jina alipaswa aseme alichoambiwa na huyo Makonda walipokutana. Kukataa kusema nu kuzidi kuruhusu speculations zisizo na maana.
 
Lema ni coward. Kama amemtaja Makonda kwa jina alipaswa aseme alichoambiwa na huyo Makonda walipokutana. Kukataa kusema nu kuzidi kuruhusu speculations zisizo na maana.
Sidhani kama unaelewa kwanini pae sio sehemu stahilki ya kutaja!
Ungekuwa mpembuzi na muelewa ungejua, kwa wenye akili tungemshangaa kama angesema!
Bravo Komredi Lema, nilipenda sana ongea yako na mpangilio wako, hakika wewe ni kichwa!
 
Kwahiyo tuache kujadili hoja,tumuweke Lema na kaka yake kati,tuanze kuwajadili?
 
Chadema acheni ujinga, maneno mengi tangu 2015 mpaka leo ni yale yale! Ni ujinga tu
Walifikiri kwa kuwaajiri hawa mafashisti wa Ulaya ku propagate propaganda zao za majitaka, zitawasaidia na zitawaweka Madarakani. Hola!

Mbowe aliwasihi waache "Propaganda za Kitoto" lakini bado wanaendeleza hayo hapa JF.

Huo ni Uwendawazimu. Oops Ujinga.

Efin terrorists!
 
Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana na kuogofya.

Nafikiri mh Lema anajiamini sana kupitiliza kwenye taifa linalo on ongozwa na ccm.

Naomba tumsikilize kwa makini alafu tujadil

Makonda hapendwi na Watanzania wengi sio Lema tu
Sema majambazi ndo hayampendi Makonda.Na ndo maana hayaishi kumsemea UONGO.Nasema MUNGU endelea kumlinda Konda boy.
 
Lema ni coward. Kama amemtaja Makonda kwa jina alipaswa aseme alichoambiwa na huyo Makonda walipokutana. Kukataa kusema nu kuzidi kuruhusu speculations zisizo na maana.
Mbona umechelewa sana kumfikisha mahakamani?
 
Sidhani kama unaelewa kwanini pae sio sehemu stahilki ya kutaja!
Ungekuwa mpembuzi na muelewa ungejua, kwa wenye akili tungemshangaa kama angesema!
Bravo Komredi Lema, nilipenda sana ongea yako na mpangilio wako, hakika wewe ni kichwa!
Lema ni bonge la kiongozi
 
Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana na kuogofya.

Nafikiri mh Lema anajiamini sana kupitiliza kwenye taifa linalo on ongozwa na ccm.

Naomba tumsikilize kwa makini alafu tujadili.

View attachment 2886672
Lema ni mtu mjinga na wa ovyo tu. Mtu mnamuona nyie mbaya kwa kua amedhuru maslahi yenu binafsi ya kifisadi. Mnamzushia uongo wa mauaji na ukatili bila ushahidi wowote. Mahakama zipo mbona hawaendi kumshitaki ili afungwe. Kipi wanaogopa. Mama kawapa fursa kumshitaki sabaya kwa kua na yeye na wao ni kitu hikohiko lakini mbele ya haki wameangukia pua. Na kwa makonda wakishitaki ni hayohayo tu maana ni uzushi tu dhidi ya mtu anayetetea maslahi ya umma na kutetea wanyonge.
 
Kajinyonge basi
🦎 πŸ˜ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani jibu lako, ni dhahiri nimepiga pale pale kwenye mshono.
Hasira za nini sasa wewe Mzeee? Lets be civil lol

Mfikishie Ujumbe Lema basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…