Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Chadema hamlali, ukishika pale nchale ukishika kule nchale... Jeshi la mtu mmoja mpo hoiMbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana na kuogofya.
Nafikiri mh Lema anajiamini sana kupitiliza kwenye taifa linalo on ongozwa na ccm.
Naomba tumsikilize kwa makini alafu tujadili.
View attachment 2886672
Kuna utofauti kati ya Siasa na Elimu ndomana wasomi wengi sio wanasiasa... Kwanini? In Jar people voice + MsukumaMbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana na kuogofya.
Nafikiri mh Lema anajiamini sana kupitiliza kwenye taifa linalo on ongozwa na ccm.
Naomba tumsikilize kwa makini alafu tujadili.
View attachment 2886672
Mna mbiti ebheUn gi weche madongo!!!
Umeliona hilo,hao vijana wameamua kujitoa akili ili mradi mkono umeenda kinywaniHuna IQ ya kukuwezesha kumjua mtu ana akili au hana,ushahidi ni wewe kuhama MADA iliyowekwa na mleta MADA,unaanza ku-attack personalities,mara Lema ana madeni,sasa inasaidia nini au wewe ni chawa wa mwanadamu meenzako,unaendesha maisha kwa staili hiyo?
Jikomboe.