OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ukweli ndio huo, huyo ni comedian. Unakula na misafara ya V8, dk 3 kabla unapanda punda kisha unaonekana mnyonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa bora huyu je Dkt Magufuli ambaye ni mifupa na bado inawatesa. Sasa wamemgeukia Dkt Samia hahaha. Hawa ni chama mfu linaongozwa na wasiokuwa na akiliMakonda anawatesa sana machadema!
Mlisemaga akitoka madarakani mtamshughulikia, ila kakaa bila cheo muda wote na leo kapewa cheo bado anawachachafya huku mmeufyata.
Hao wanateseka na Nguvu ya Mwafrika. Period.Sasa bora huyu je Dkt Magufuli ambaye ni mifupa na bado inawatesa. Sasa wamemgeukia Dkt Samia hahaha. Hawa ni chama mfu linaongozwa na wasiokuwa na akili
Kwa hiyo kwa maelezo haya tayari Makonda kawa msafi?Hivi Lemma amemaliza kulipa madeni yake? Karibu benki zote zinamdai wakati akiwa ughaibuni, na nyumba zake Dar na Arusha ilikuwa zipigwe mnada.
Pia alimponza kaka yake aliyekuwa akimiliki Villa Park Mwanza mpaka akafungiwa. Aliigeuza Villa Park ofisi ya Chadema ya Mkoa, wakati Villa Park alikuwa kapanga katika eneo la CCM.
Uwezo wa Lema mdogo sana....Yaani wao wanapfanya jogging na kuyaita maandamano wanakua wamesahau kua hamna hivyo alivyo vitaja.Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana na kuogofya.
Nafikiri mh Lema anajiamini sana kupitiliza kwenye taifa linalo on ongozwa na ccm.
Naomba tumsikilize kwa makini alafu tujadili.
View attachment 2886672
Ebu twambie sababu haswaa iliyo wafanya USA kumpiga marufuku Makonda kukanyaga USALema ni mtu mjinga na wa ovyo tu. Mtu mnamuona nyie mbaya kwa kua amedhuru maslahi yenu binafsi ya kifisadi. Mnamzushia uongo wa mauaji na ukatili bila ushahidi wowote. Mahakama zipo mbona hawaendi kumshitaki ili afungwe. Kipi wanaogopa. Mama kawapa fursa kumshitaki sabaya kwa kua na yeye na wao ni kitu hikohiko lakini mbele ya haki wameangukia pua. Na kwa makonda wakishitaki ni hayohayo tu maana ni uzushi tu dhidi ya mtu anayetetea maslahi ya umma na kutetea wanyonge.
na zaidi sana wanaweweseka mno hawa ndrugo zango waTanzania wa upinthani 🐒Makonda anawatesa sana machadema!
Mlisemaga akitoka madarakani mtamshughulikia, ila kakaa bila cheo muda wote na leo kapewa cheo bado anawachachafya huku mmeufyata.
Ajabu yaani CCM wanachangua MC wao halafu wao wanasema hawampendiSasa kama humpendi ndio nini? Ndio sera hiyo?
Matokeo ya shule ya butiama mbona huyasemi?tanzania ndio nchi pekee ccm inapenda wajinga waongoze nchi kama matokeo ya shule ya sekondari kizimkazi
Alitakiwa aseme makonda alimwambia nini kuhusu Ben sanane kama yeye Lema anaogopa kusema alichoambiwa na makonda, je huyo makonda aliemfanyia ubaya au pengine kumuua Ben sanane akiulizwa kuhusu hilo ataweza kusema? Yaani muuaji aseme ameua?
Ilitakiwa afichue uovu wa makonda na siyo kumfichia siri kushindwa kufichua siri na kutoa ushahidi ni kushiriki uhalifu.