Kauli ya NCHIMBI, "Rais yuko tayari KATIBA Mpya" alimaanisha, Matukio ya Utekaji,Mauaji Oktoba 29 , LISSU, ni Maji ya Shingo kwa Samia !!

Kauli ya NCHIMBI, "Rais yuko tayari KATIBA Mpya" alimaanisha, Matukio ya Utekaji,Mauaji Oktoba 29 , LISSU, ni Maji ya Shingo kwa Samia !!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba.


SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU CHOCHOTE.


Ukweli ni kua, Mbinyo wa KIMATAIFA Uliopo kwa Samia ,ambao nayeye anaujua na Washirika wake wanajua .

Wanamachaguzi mawili tu hapa,

1-Atamuachia Liisu na Ataleta KATIBA Mpya, Tume Mpya ya Uchaguzi ...kisha 'Dunia imsamehe yeye ,ila wengine watawajibishwa'.

Au

2-AKAZE FUVU aishie ICC yeye na Genge lake, na Mali zao, na vizazi vyao !!




Oyaaa ,Huwezi Kuua watu namna ile Oktoba 29, Unateka, unaitwa watu Magaidi, Lissu Yuko ndani, CHADEMA unanipiga Pini, ALAFU ETI UBAKI UNAONGOZA KWA RAHA TU.


HAIWEZEKANI. HAIWEZEKANI, HAIWEZEKANI KAMWEEEE KATIKA DUNIA YA LEO.



Na hapa nimshauri Samia Moja kwa Moja
👉Chutuma, Chutuma Uache Angalau Heshima kwa ajili ya Kizazi chako ndani na Nje ya NCHI.
👉Usikubali hao wanaokupigia zeze.
👉Ukishupaza Shingo, Moto utakuwakia tu .


Ulaya na Marekan, hawana cha kupoteza kwa sababu kwao, HATA UKIONDOKA, SISI WANANCHI, TITAWASHUKURU KWA HILO ,NA IN TURN TUTAINGIA NAO MIKATABA UPYA, TITAWAFURUMUSHA WAARABU NA WACHINA.
 
Back
Top Bottom