Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Ajabu ni kwamba,hao wavaa magauni ndiyo huwa wanashinda majumbani mwetu (kwa mtindo wa watoto/familia kuangalia vifilamu vyao)wanawachekesha wanaobaki.Mambo ya kuchunga sana yasiigwe nao.Unakutana na kijana wakiume anavaa magauni, ukimuuliza kwa nini, anakwambia anatafuta hela.
Hapo sawa.Hapo ndipo mtu akae na aamue anataka malengo/madhumuni au matokeo na tija!?
Tafuteni kaziUna mawazo ya kichoko ***** sana kijana.
Nonsense!Tafuteni kazi
Umri na mazoea/malezi yangu hayaniruhusu kutoka hata sebuleni na taulo achilia mbali kipensi.Mbona tulisema ni swag..au nyie mnavifito tu?🙄
Inawezekana wewe ni mmoja wao.Una ushahidi gani wa haya madai yako?
Nonsense!Inawezekana wewe ni mmoja wao.
Kuna kazi ya kung'oa visiki shamba la ekari moja.mfano?
Unatafuta kazi au unatafuta hela?Kazi ipo 😂😂😂
Kazi zipo, wanatakiwa vijana 50,000 kwa ajili ya kazi ya kutembeza kahawa.Katiba iliyopo mbovu, vijana hawana kazi.
Mapambano ya
Katiba mpya ni sasa
Msisubiri 2028.
🤗🤗 Keeping bro code alive... 🔥Umri na mazoea/malezi yangu hayaniruhusu kutoka hata sebuleni na taulo achilia mbali kipensi.
..Asa nionyeshe unanyongaj-eee.!!
Nyonga kibasiikeeli... 🤗
Hapo ndipo ubovu wa Katiba unapojidhihirisha.Kazi zipo, wanatakiwa vijana 50,000 kwa ajili ya kazi ya kutembeza kahawa.
Shetani anapambana kweli kweli kupata wafuasi..Watu walishapoteza utu wao, wanataka na wengine nao wapoteze utu wao.
Hapo ndiyo anawahi kazini!
Sema neno, nini kifanyike vijana wafanye kazi na waachane na hizi kauli za kuwaharibu?Kazi ipo 😂😂😂
Umewashtukia ee?. Ni wale watu ambao msiba wa wengi kwao ni sherehe😀Hao wanaosema tafuta hela, hawaweki neno ki uhalali; kwa sababu wao wanakuwa walishapoteza utu wao, wanataka na wengine wafanye kama wao.
Ni kahawa ya kawaida tu au ni ile kahawa iliyoboreshwa/al-kasusu?Kazi zipo, wanatakiwa vijana 50,000 kwa ajili ya kazi ya kutembeza kahawa.