Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

D
Dadeq jamaa kazi anayo wakimnasa
 
Sija support yoyote hapo
Zaidi ya kuwaona wote hapo
Wana uelewa mdogo wa kideal
Na mambo

Ova
 
Raia hawana shida na mtu. Ninyi mnapenda kuvimba kila mahali. Na hasa barabarani, nishashuhudia visa vingi sana vya wanajeshi. Kosa ni lake ni bado anakuletea ubabe. Acheni hizo.
Watu wamevurugwa.
Acheni chuki na Jeshi lenu nyinyi raia,
 
Raia wana chuki na Jeshi, sababu ya chuki hizo hazifahamiki Ila ipo hivyo wengi wanawachukia wanajeshi mna matatizo gani nyinyi? Chanzo ni chuki sio kingine chochote,
Hiyo chuki ni matokeo ya uonevu wa wanajeshi dhidi ya raia. Ilo liko wazi. Halafu askari wetu uwa wanajisahau sana. Kuna mahali niliwahi kuwepo,pale kulikuwa na maaskari wengi tu,mkubwa mmoja akasimama akawa anazungumza akasema askari wengi wanasahau kwamba kinachoheshimiwa ni gwanda lake tu,kwamba akilitoa hatakuwa tena yeye na katika muktadha huo wanapaswa kuishi vyema na raia maana na wao ni raia wa kesho. Akasema leo mimi na cheo changu hiki na sare zangu hizi,siku nkistaafu au katika namna yoyote nkawa siwezi tena kuvaa hizi gwanda hata nikija hapa MP pale getini atanisimamisha na kuniuliza maswali na hata adhabu anaweza kunipa,aliongea mengi sana.
Lakini ukweli unasalia paleplae,askari wetu wengi ni waonevu. Visa vya askari kupiga raia ni vingi kuliko kinyume chake.
 
Sija support yoyote hapo
Zaidi ya kuwaona wote hapo
Wana uelewa mdogo wa kideal
Na mambo

Ova
Mtu anakaa kabisa anatukana Mimi mwanajeshi nikikuatana nae namkabiri mwenyewe, kwa hio amejenga mentality kwamba akikutana na mwanajeshi anataka apimane nae mbavu aonekane yeye ni mbavu zaidi kuliko mwanajeshi, sasa km sio utovu wa nidhamu ni nini? Yaan mtu ameshajijengea mtazamo hasi na Jeshi lake kabisa kwamba nikikutana na mwanajeshi lazima anikome, ukiuliza sababu ya msingi hana Ila ni chuki tu
 
Mambo mengine ni ya kupotezea tu

Mkuu...

Ova
 
Sio kweli, hakuna Askari anaepiga raia unreasonably huo ni uongo, ukijikuta umepigwa na Askari tambua there's a reason behind hawezi akatoka Askari huko akaja kukupiga tu hio haipo, kwa hio hapo nakupinga
 
Hakuna nchi imestaarabika,wananchi wampige askari makofi.
Ila Nchi ambayo raia wanawatukana Askari tena kwa mikogo ni hii unayoishi ushahidi upo, nishakutana na madogo kibao wanataka kupimana nguvu na wanajeshi hadi nawashangaa hawa wana matatizo gani? Yaan unakaa kabisa unaanza kuwaza nikikutana na mwanajeshi hanifanyi kitu nitamkabiri mwenyewe, chuki za kijinga acheni huo ujinga
 
Aise kwa hiyo kanali amefariki

Vp hali leo hapo ikoje

Au kichapo kinaendelea

Ova
Inasemekana kuwa Afande Kanali Muro amedanchi ( amekufa ) baada ya Bisibisi ya Dereva Bajaji kuzama mazima Moyoni.

Hata hivyo kuanzia Saa 4 hii hadi Saa 6 au Saa 7 Mchana nitaweka Kambi maeneo yangu Muhimu ya Taarifa Kamili na baadae nikirejea hapa Jamvini JamiiForums naweza kuja sasa na Full Package ya hili Tukio ambalo kwa sasa ndiyo Gumzo Kuu Kawe na Vitongojini mwake.
 
Itafutwe sababu,kwanini watu waweke chuki na mwanajeshi?
Just imagine mwanajeshi anakupiga makofi,kisa mmepishana kauli,hivi kweli si utapambana unavyojua au unataka nipigwe makofi niishie kusema sanahani mwanajeshi,huoni namimi pia ninahitaji kuheshimika pia?
Kwanini daktari au injinia asinipige makofi,ila mwanajeshi anipige makofi,wakati mafunzo hajajigharamia,mimi mwananchi nimelipia yeye akapata mafunzo aje alinde mipaka na katiba ya nchi,ambayo ndiyo sheria mama,aliyoapa kuilinda?
Hii iwe wake up call,raia hawataki kuonewa,leo hii kanali anatakiwa azikwe,kisa ujingaujinga tu,huoni ni hasara?
 
Nasikitika tu hadi hii leo Serikali ya Tanzania na hata Watanzania ( wana JamiiForums wakiwemo ) hawajatambua Uwezo wa GENTAMYCINE na Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwapa Zawadi yake Tukuka ya GENTAMYCINE hapa duniani.

Thanks for acknowledging my Potential. Be blessed Chief....!!
 
1 vs 1 mwanajeshi yeyote namkalisha no matter what ila ile yao ya kuja na kundi ndo noma.

wa Udoeni kawe hapa

Dereva boda boda
Sasa si unaona maelezo yao ni km haya, yaan haya ndio yamejaa kwa vijana wengi kwamba Mimi mwanajeshi mmoja akija nampoteza unaona huu ujinga uliowajaa vijana na chuki za kijinga, sasa mentality km hii mtu anatembea nayo anavizia mwanajeshi yupo peke yake anamtafutia sababu ili amvimbie na mwanajeshi sio kwamba anaweza ku-vumilia kila ujinga unaofanywa mbele yake na raia lazima akuadhibu tu ijapokua haruhusiwi kufanya Ila self defense ni muhimu kwa Askari yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…