Ushawahi kuonewa wapi wewe? Wapi umewahi kuonewa? Usitoe maelezo yasiyo ya ukweli kuchochea CHUKIKaka wala usipoteze nguvu zako bure. Hao ni waonevu na ilo linasalia kama lilivyo
Simulizi hizi ndio walizojaa nazo vijana wengi na wanatembea na hii mentality ambayo sio sahihi na sio kweli,Kuna wanajeshi wawili walizoea kuendekeza ubabe kwenye baba moja Sinza. Kuna siku waliingia cha kike kwa black belt mmoja ambae kwa muonekano walidhani wanammudu.
Jamaa aliwanyoosha wote wawili halafu akaondoka zake mdogo mdogo hata hakimbii.
Wajeda kwa aibu wakainuana pale wakaita bajaji wakaondoka kwa aibu.
Yeeeah hii ni kweliiiDuh sometime Cheo ni Kikubwa ila kuna watu wana nguvu na hawana cheo cha muhim ukiona umri umeenda kuna mahali tumia hekima maana kuna vijana hawana cha kupoteza wapo tayari kwa lolote
Soma comments wewe utaona chuki zilipo mtu anakwambia eti mwanajeshi hatakiwa kwenda kutembea ukwamani huoni km ni chuki za kijinga hizo ni wapi pamewekwa mpaka kwamba mwanajeshi mwisho kutembea ni hapa? Kwanini mnakua na mentality za kijinga kiasi hicho mnajenga chuki za kijinga kiasi cha kufanya mauaji?Hizi mentality za chuki za raia kw askari wa jeshi zimetoka wapi? Jeshi linamajukumu yake tofauti kabisa sasa inapotokea kuna mmoja anapo misbehave ni swala lake binafsi utaratibu w kinidham unafahamika. Sasa mtu yeye nakuja na kauli zake za chuki sijui mimi mwanajeshi haniambii kitu haya yanatokea wapi, kwaajili gani? Ukisem huyu mwanjeshi ni msenge umezungumzia mmoja kwenye umoja wa jeshi lililotukanwa unalolitaka litakua.
Hili ni jeshi la Wananchi yani wannchi ndo wenye jeshi wakuu tutambue hili Jeshi ni mali ya wnanchi. Jeshi linafanya kazi za watu ila ukitafuta hao watu ni kina nani huwezi wapata Akili ikitulia utajua watu ni Wananchi.
Shida sio hekima shida ni chuki, I'm telling you I know what I'm telling you raia punguzeni chuki na Jeshi lenu,Yeeeah hii ni kweliii
Kumbe kanali alikitafuta mwenyewe kilicho mpata.Inasemekana ( kwa aliyenipa Taarifa Kamili kuwa ) Dereva Bajaji jana Usiku katika Baa Moja maarufu iliyo kwa ndani ( Mafichoni kidogo ) mkabala na Petro Station ya PUMA Kawe alipishana Kauli na Mwanajeshi ( tena Mkubwa wa Cheo cha Kanali ) kuhusu Kuzibiana njia ya kupita.
Ambapo Afande Kanali alikuwa Kapaki Gari lake lililokuwa limezuia njia kwa mbele na Dogo ( Dereva Bajaji ) kuhoji kwanini Afande aliziba njia hali iliyomkwaza Afande ( wa Cheo cha Kanali Muro kama sijalikosea Jina lake ) ambapo Afande Kanali akatoka ndani ya Gari lake na Kumzaba Makofi Dereva Bajaji huyo.
Kisha nae ( Dereva Bajaji ) kwa Hasira akaamua kwenda kuchukua Bisibisi Bajajini Kwake na kuja Kumchoma nayo Afande Kanali upande wa Moyo hali iliyomfanya akimbizwe Lugalo Hospital kwa Matibabu na Umauti kumkuta huko huko Wodini.
Acha upumbavu wako we dogo ,kwa hiyo fala mmoja akija akakwambia vua boxer inama nikuingizie dushe kisa ni mwanajeshi au msenge gani utakubali sio ?Raia mwenye akili timamu habishani na mwanajeshi no matter what and how?
Hakuna namna dereva alitakiw a kuwa mpole sasa huko aliko sijui itakuwaje.Hasira hasara, huyo dereva bajaji sijui kama watamuacha salama.
Hiyo unayoiita posho,unajua inatoka kwa nani kama siyo wananchi?wanajeshi hawalipwi mshahara wanapata posho. kazi ya kujitolea hainaga mshahara.
Hakuna anayesema raia kuua mwanajeahi ni halali. HAKUNA UHALALI HUO na kinyume chake pia sio HALALI. Watu wanaangalia msingi wa tatizo,ni vile tu hatuna taarifa za kutosha sana kwamba huyo raia alitamka maneno gani ya kumfanya kanali ampige makofi,ingekuwa raia kaanza kwa kurusha ngumi halafu kanali akarusha kofi hapo ingeleweka kiwepesi sana. Kwa inavyoonekana kutokana na maelezo ya mleta mada ni kwamba kanali kafunga njia,huyo kijana akawa anamtaka asifunge/ampishe, na hapo hatujui lugha iliyotumika pia lakini hailalishi kumpiga makofi.Nimesema pande zote zima makosa kwa kiasi chake, tatizo wengi wenu mnaegemea upande wa raia kusema kwamba raia kuua mwanajeshi yupo sahihi, hio sio sawa huo ni ujinga uliopitiliza na haikubariki hata kidogo
Wengine ni kufata mikumbo tu yakijinga. Lakini ukimuuliza kinaga ubaga hana sababu .Soma comments wewe utaona chuki zilipo mtu anakwambia eti mwanajeshi hatakiwa kwenda kutembea ukwamani huoni km ni chuki za kijinga hizo ni wapi pamewekwa mpaka kwamba mwanajeshi mwisho kutembea ni hapa? Kwanini mnakua na mentality za kijinga kiasi hicho mnajenga chuki za kijinga kiasi cha kufanya mauaji?
Unamtia bisi bisi tu.Hiyo unayoiita posho,unajua inatoka kwa nani kama siyo wananchi?
Hata mafunzo ya mwanajeshi,unajua pesa ya nani ilitumika kuwezesha ayapate kama siyo kodi ya mwananchi,halafu leo umepata mafunzo ambayo mimi nimekugharamia,halafu uje unipige makofi,unategemea nini?
Ndio hivyo mtu hana hata sababu basi tu anataka aonekane asikike apate umaarufu wa kijinga kwamba amevimbiana na mwanajeshi, so what?Wengine ni kufata mikumbo tu yakijinga. Lakini ukimuuliza kinaga ubaga hana sababu .
Unaona chuki za kijinga km hizi, yaan mtu chuki km hii anatembea nayo akiona mwanajeshi mind yake ina-triger kwenye kuwaza ujinga km huu, kwamba nitampiga bisibisi sasa km sio ujinga na chuki za kijinga ni nini?Unamtia bisi bisi tu.
Mnagawana majengo ya serikali.
Wewe jela yeye Lugalo Mogue (mortuary) akaitie hasara zaidi serikali kwa kumuwashia freezer.
Wewe ni mjinga, huwezi ukachochea chuki ukiulizwa sababu ya kufanya hivyo ni nini huna basi tu na wewe unataka uonekane unaweza kumkabiri mwanajeshi ni ujinga,Dawa ni kununua pepper spray au taser gun , wananchi mnunue hizo kitu na mtembee nazo . Self defense ni muhimu ,asitokee mseng£ yoyote akakuletea ishu za kuqumah mtie adabu ,mnyooshe mpaka akili zimrudi , hauhitaji kisu wala bunduki ,tumia moja kati ya hizi silaha taser gun / pepper spray .
Mweeeh! 😳Inasemekana ( kwa aliyenipa Taarifa Kamili kuwa ) Dereva Bajaji jana Usiku katika Baa Moja maarufu iliyo kwa ndani ( Mafichoni kidogo ) mkabala na Petro Station ya PUMA Kawe alipishana Kauli na Mwanajeshi ( tena Mkubwa wa Cheo cha Kanali ) kuhusu Kuzibiana njia ya kupita.
Ambapo Afande Kanali alikuwa Kapaki Gari lake lililokuwa limezuia njia kwa mbele na Dogo ( Dereva Bajaji ) kuhoji kwanini Afande aliziba njia hali iliyomkwaza Afande ( wa Cheo cha Kanali Muro kama sijalikosea Jina lake ) ambapo Afande Kanali akatoka ndani ya Gari lake na Kumzaba Makofi Dereva Bajaji huyo.
Kisha nae ( Dereva Bajaji ) kwa Hasira akaamua kwenda kuchukua Bisibisi Bajajini Kwake na kuja Kumchoma nayo Afande Kanali upande wa Moyo hali iliyomfanya akimbizwe Lugalo Hospital kwa Matibabu na Umauti kumkuta huko huko Wodini.
Chuki?😀😀😀. Siwezi kufanya hivyo kamwe maana nayajua madhara yake lakini ilo halinizuia kusema.Ushawahi kuonewa wapi wewe? Wapi umewahi kuonewa? Usitoe maelezo yasiyo ya ukweli kuchochea CHUKI