ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Nchi gani za Magharibi au kwingine ambako kumestaarabika,askari anampiga makofi mwananchi?Hapana hata huko mbele wako hivyohivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi gani za Magharibi au kwingine ambako kumestaarabika,askari anampiga makofi mwananchi?Hapana hata huko mbele wako hivyohivyo
Ni ushamba wa kale mno , na mara nyingi watu wanaopenda ku prove nguvu zao au mamlaka Yao huwa Wana sumbuliwa na inferiority complexUshamba huu hufanyika Tanzania tu
Hiyo video ya zamani sanaSema washua wenye mamlaka huwaga wanajisahau sana , Kuna video nmeona mtandaoni Kuna dogo alikua anaendesha ist alichomekeana na land cruiser flan nyeus jamaa akaamza kumletea ubabe wa ki CIA dogo road kila akienda huku jamaa linamzibia njia dogo akaenda TikTok live akawa ana broadcast the whole shit maana alishahis hatari jamaa kufika makumbusho aka block njia akashuka kwa gar akaonekana na suti yake ya uzalendo nadhan alipigia wadau wakatoka mule chimbo lao la idara wakamuongoza dogo kuingia tunduni aku anaendelea kurusha mubashara tukio watu wa mabaka ya kenge wakashtukia kama mwamba anawarekodi ndo nkajua kabisa mwamba kaisha mule ndani kamera hapapatani kabisa na msala wa dogo sidhan ata familia yake kama inaweza kuusovu labda kwa vile sura za wahusika ziko online zinaweza kutumika kwenye mahakama za jadi kupata haki kama hakuachiwa lakin
Haipo hiyo nchi.....ikiwa hivyo basi haijastarabikaNchi gani za Magharibi au kwingine ambako kumestaarabika,askari anampiga makofi mwananchi?
Yaani inashangaza sana,unampiga mtu makofi,ili?Wacheza karate, Boxing, anaye miliki silaha, mwanajeshi, polisi, usalama wa taifa na hawa field force ni kundi la watu ambao hata ukimkanyaga mguuni bahati mbaya wakati unapanda daladala lazima atataka akuthibitishie kwamba ye ni nani(sio wote baadhi)...
Sasa uraiani watu maisha yamewachanganya, ukitaka kuleta habari zako za ubabe wa kishamba utamalizwa unajiona.
Sidhani kila sehemu,nguvu inahitajika kuliko akili.Muheshimu mwananchi,naye akuheshimu,ukitaka uheshimike wewe tu,eti kisa ni mwanajeshi,matokeo yake ndo hayo,unakitwa na kitu chenye ncha kali,unatangulia.Mambo yamebadilika... ubabeubabe,hata mimi sikubali,ukinivunjia heshima,napambana kulinda heshima yangu pia.Majeshi ni vyombo vinavyotumia nguvu katika utekelezaji wa dhima ya uwepo wake. Hivyo, ni vema kila raia akawa anatambua na kuliheshimu hilo.
Vilevile majeshi huwa na utaratibu wake wa kulinda taswira na hadhi za majeshi hayo. Hivyo, aina yoyote ya kuyakosea adabu hadharani, ni lazima ile kwako.
Pekee kinachohitaji majeshi haya toka kwa raia ni kuheshimika tu. Ukithubutu kumvunjia heshima Mwanajeshi yeyote yule, Wadepo wenzake hawatakuacha.
Wadepo hubaki kama familia hata kama watapangwa kwenye kambi tofauti. Watakikusanya tu wakujie kwa ajili ya heshima ya jeshi.
Ova
Sasa mkuu wanajeshi wetu tunawapenda sana wakisema wawe wanatumia Nguvu kila sehemu si watatumaliza?Majeshi ni vyombo vinavyotumia nguvu katika utekelezaji wa dhima ya uwepo wake. Hivyo, ni vema kila raia akawa anatambua na kuliheshimu hilo.
Vilevile majeshi huwa na utaratibu wake wa kulinda taswira na hadhi za majeshi hayo. Hivyo, aina yoyote ya kuyakosea adabu hadharani, ni lazima ile kwako.
Pekee kinachohitaji majeshi haya toka kwa raia ni kuheshimika tu. Ukithubutu kumvunjia heshima Mwanajeshi yeyote yule, Wadepo wenzake hawatakuacha.
Wadepo hubaki kama familia hata kama watapangwa kwenye kambi tofauti. Watakikusanya tu wakujie kwa ajili ya heshima ya jeshi.
Ova
Kwenye hiyo orodha ondoa Karateka, hao huwa ni watu wenye nidhamu ya hali ya juu sana ndani na nje ya Dojo.Wacheza karate, Boxing, anaye miliki silaha, mwanajeshi, polisi, usalama wa taifa na hawa field force ni kundi la watu ambao hata ukimkanyaga mguuni bahati mbaya wakati unapanda daladala lazima atataka akuthibitishie kwamba ye ni nani(sio wote baadhi)...
Sasa uraiani watu maisha yamewachanganya, ukitaka kuleta habari zako za ubabe wa kishamba utamalizwa unajiona.
hili litamfufua kanali?????... maumivu kwenye familia ya marehemu kanali yako pale pale... ubabe wake umesaidia nini??? Zaidi ya kifo cha aibu?Sasa huyo akifungwa maisha jela si atafirwa mpaka kutoke moshi huko nyuma.?
Vijana angalieni na watu wakupigana nao usiwehuke tu hizo bangi zako mwisho segerea
Kwahiyo boda boda kaua mwanajeshi?Inasemekana ( kwa aliyenipa Taarifa Kamili kuwa ) Dereva Bajaji jana Usiku katika Baa Moja maarufu iliyo kwa ndani ( Mafichoni kidogo ) mkabala na Petro Station ya PUMA Kawe alipishana Kauli na Mwanajeshi ( tena Mkubwa wa Cheo cha Kanali ) kuhusu Kuzibiana njia ya kupita.
Ambapo Afande Kanali alikuwa Kapaki Gari lake lililokuwa limezuia njia kwa mbele na Dogo ( Dereva Bajaji ) kuhoji kwanini Afande aliziba njia hali iliyomkwaza Afande ( wa Cheo cha Kanali Muro kama sijalikosea Jina lake ) ambapo Afande Kanali akatoka ndani ya Gari lake na Kumzaba Makofi Dereva Bajaji huyo.
Kisha nae ( Dereva Bajaji ) kwa Hasira akaamua kwenda kuchukua Bisibisi Bajajini Kwake na kuja Kumchoma nayo Afande Kanali upande wa Moyo hali iliyomfanya akimbizwe Lugalo Hospital kwa Matibabu na Umauti kumkuta huko huko Wodini.
Kanali kafa kwa aibuhili litamfufua kanali?????... maumivu kwenye familia ya marehemu kanali yako pale pale... ubabe wake umesaidia nini??? Zaidi ya kifo cha aibu?
🙏🏿🧢Wanajitolea au wanalipwa?
Mkuu nijuavyo mimi,wanajeshi wanalipwa mishahara na posho kwaajili ya kutimiza majukumu ambayo yanawapasa.Mimi nawewe,tunalipa kodi,ambazo hizo kodi zinalipwa kwa kila askari wa JW na kada nyingine.Ukisema sisi tumelala,wengine wanatulinda,hujui kuna bodaboda wanakesha pia,kutafuta pesa au kuna madaktari wanafanya C-section usiku huu na yawezekana wakakesha,huku baadhi ya wanajeshi ambao hawako shift usiku huu,wamelala au wanalewa?
Heshimu kila mtanzania.Tunaumia kulipa kodi,ili mambo yaende,kila mtu anapambana kwa nafasi yake.
Kama wao ni wanaume kwanini wanakuja WENGI? Si aje mmoja mmoja bila silaha?Majeshi ni vyombo vinavyotumia nguvu katika utekelezaji wa dhima ya uwepo wake. Hivyo, ni vema kila raia akawa anatambua na kuliheshimu hilo.
Vilevile majeshi huwa na utaratibu wake wa kulinda taswira na hadhi za majeshi hayo. Hivyo, aina yoyote ya kuyakosea adabu hadharani, ni lazima ile kwako.
Pekee kinachohitaji majeshi haya toka kwa raia ni kuheshimika tu. Ukithubutu kumvunjia heshima Mwanajeshi yeyote yule, Wadepo wenzake hawatakuacha.
Wadepo hubaki kama familia hata kama watapangwa kwenye kambi tofauti. Watakikusanya tu wakujie kwa ajili ya heshima ya jeshi.
Ova
Kwahiyo mtu akipaki gari vibaya, akazuia watumiaji wengine wa barabara tusimuambie atoke njiani kisa ni Askari? No matter what? WTFRaia mwenye akili timamu habishani na mwanajeshi no matter what and how?