Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Yani una ndugu kigogo halafu waendesha bajaji?😂🤣only in bongoR.I.p kanali.............
Inavyosemekana dereva bajaji anaundugu na kigogo mkubwa tu hapa bongo.....so ngoma inaenda kua drooo........waswahili wanasema ukiyajuaaa ya mbele wenzako wanajua ya nyuma....
Na uyo kigogo kasema dogo asiguswe hata na kidole ataua mtu............