Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Boda boda na bajaji wengi wana bisibisi tena zile ndefu kabisa.Mkuu mambo ya kisu au bisibisi ni yiming hata uwe vandame mtu akikutime anakuua
Ukiwa unabishana nae ukae kwa tahadhali.
Mara nyingi huwa wanatrmbea nazo kwa ajili ya kujitetea na majambazi ya pikipiki,
Huyo afande alifikiri cheo chake ndio kila kitu. Watu wamevurugwa kukuwahisha mbinguni hawaoni shida.
Ndio maana mimi siku zote hata mtoto mdogo anichokoze vipi sipigani nae maana najua linaweza kutokea lolote. Ni heri ionekane bwege mbele ya watu kuliko kujifanya kidume uishie kufa au jela