Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isingekuwa na tija , kama pingamizi hili lingeunganishwa na la uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya ugaidi , ingehojiwa kwamba kama mahakama haina uhalali kwanini mmeleta hoja ya kupinga hati ya mashitaka ?Kwa nini wasiweka kwa pamoja na pingamizi la jana
uwezo wako hauongezeki kabisa ! ulibemendwa ?Kibatala mjanja sana!
Nadhani amenusa harufu ya ugumu wa kesi ya msingi ndio maana anajizungusha tu ili ku buy time
Sawa kamanda. Ikirekebishwa ndiyo mwenyekiti wa Maisha wa saccos anatoka?Uamuzi wa Ijumaa ni kwa judge kuwaambia wanasheria wa serikali wairekebishe hiyo hati ya mashtaka ili ikizi vigevo vya kisheria, vinginevyo, kesi itatupiliwa mbali kama haikizi vigezo hivyo vya kisheria kama wanavyodai waweza pingamizi...
Hawaelewi hawa jamaa..!!Isingekuwa na tija , kama pingamizi hili lingeunganishwa na la uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya ugaidi , ingehojiwa kwamba kama mahakama haina uhalali kwanini mmeleta hoja ya kupinga hati ya mashitaka ?
Mawakili wa mwenyekiti wa Maisha wa saccos janjajanja tupu. Kesi itasikilizwa. Wajiandae tu kwa hojauwezo wako hauongezeki kabisa ! ulibemendwa ?
Serikali ilikwisha thibitisha kosa hivyo mahakama lazima itekeleze uamuzi wa serikali.
Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri, la KUPINGA HATI YA MASHITAKA KUTOKIDHI VIGEZO NA MASHARTI YA KISHERIA, kukosewa kwa hati hii kunatokana na uwezo mdogo na umbumbumbu wa Wanasheria wa serikali ,mara zote imesemwa sana kuhusu uwezo wa watu hawa.
=====
Leo Septemba Mosi, 2021 Mawakili upande wa utetezi wameweka pingamizi lingine kuhusu hati ya mashtaka, wamedai kuwa imekosa vigezo vya kisheria na upande wa Serikali wameomba Ijumaa Septemba 3, 2021 kuja na majibu.
Mahakama hiyo imeridhia ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Ijumaa.
Kesho jaji huyohuyo atalitupiliabali tu
USSR
Mungu wabariki wote wanaompigania mwenyekiti, wanaoipigania CHADEMA na wapigania haki wote
Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri, la KUPINGA HATI YA MASHITAKA KUTOKIDHI VIGEZO NA MASHARTI YA KISHERIA, kukosewa kwa hati hii kunatokana na uwezo mdogo na umbumbumbu wa Wanasheria wa serikali ,mara zote imesemwa sana kuhusu uwezo wa watu hawa.
=====
Leo Septemba Mosi, 2021 Mawakili upande wa utetezi wameweka pingamizi lingine kuhusu hati ya mashtaka, wamedai kuwa imekosa vigezo vya kisheria na upande wa Serikali wameomba Ijumaa Septemba 3, 2021 kuja na majibu.
Mahakama hiyo imeridhia ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Ijumaa.
aminaMungu wabariki wote wanaompigania mwenyekiti, wanaoipigania CHADEMA na wapigania haki wote
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
... eti Yesu aliongozana na mkewe kwenda kuhesabiwa [(mkewe) akiwa mjamzito wa mimba yake mwenyewe (Yesu)]! Hata kilaza wa mwisho duniani ujinga huo hauwezi kumtoka kinywani awe mkristo au vinginevyo kwa mara ya kwanza upumbavu huo umesikika kutokea CCM! Kuna majitu mapumbavu hakuna mfano!Mpaka waseme yesu alikuwa na mkewe, they will know.
Hakuna kesi hapo, bali ni utoto kutoka kwa viongozi wenye kiburi cha madaraka.ngamizi za aina hiyo hazina tija yoyote. Sana sana zinachelewesha tu kesi ya msingi, kwasababu hata kesi ikitupwa mtuhumiwa anaweza kukamatwa tena na kesi ikafunguliwa upya. That may not buy you even 15 minutes of freedom. Ukitoka tu mahakamani polisi wanakudaka tena!
😆😆😆😆... eti Yesu aliongozana na mkewe kwenda kuhesabiwa [(mkewe) akiwa mjamzito wa mimba yake mwenyewe (Yesu)]! Hata kilaza wa mwisho duniani ujinga huo hauwezi kumtoka kinywani awe mkristo au vinginevyo kwa mara ya kwanza upumbavu huo umesikika kutokea CCM! Kuna majitu mapumbavu hakuna mfano!
Una akili sana hata mimi umenipa mwangaIsingekuwa na tija , kama pingamizi hili lingeunganishwa na la uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya ugaidi , ingehojiwa kwamba kama mahakama haina uhalali kwanini mmeleta hoja ya kupinga hati ya mashitaka ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngugay anajua walipofungia ndoa
Na hatawahi!Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Iko siku Mbowe atashinda na kuwa huru. "Let's keep our fingers crossed".
Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri, la KUPINGA HATI YA MASHITAKA KUTOKIDHI VIGEZO NA MASHARTI YA KISHERIA, kukosewa kwa hati hii kunatokana na uwezo mdogo na umbumbumbu wa Wanasheria wa serikali ,mara zote imesemwa sana kuhusu uwezo wa watu hawa.
=====
Leo Septemba Mosi, 2021 Mawakili upande wa utetezi wameweka pingamizi lingine kuhusu hati ya mashtaka, wamedai kuwa imekosa vigezo vya kisheria na upande wa Serikali wameomba Ijumaa Septemba 3, 2021 kuja na majibu.
Mahakama hiyo imeridhia ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Ijumaa.
Na mwisho wa ubaya ni aibu. Hawa watesi wote watapigwa pigo baya sana na la aibu.