Kazi bado ngumu: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi jipya, Mahakama yakubali kulisikiliza

Kibatala mjanja sana!

Nadhani amenusa harufu ya ugumu wa kesi ya msingi ndio maana anajizungusha tu ili ku buy time
 
Hakuna pingamizi ni upuuzi mtupu.
Halafu hao Mawakiki wa Gaidi kwa nini wanaichezea na kuisumbua Mahakama hivyo?!
Nadhani lengo la Mawakili ni kuichokonoa Mahakama nadhani hiyo sio tabia ya kuachwa iendelee.
Mahakama inapaswa iwe na msimamo na itoe karipio kwa Mawakili wa Mbowe ambao wanataka kuleta siasa ktk chombo cha Sheria.
Mahakama sio jukwaa la siasa ni sehemu ya kutolea haki, hivyo mawakili wa Mbowe wasiachiwe kutumia vibaya uhuru walio nao wa kutafuta au kupigania haki.
 
Kwa nini wasiweka kwa pamoja na pingamizi la jana
Isingekuwa na tija , kama pingamizi hili lingeunganishwa na la uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya ugaidi , ingehojiwa kwamba kama mahakama haina uhalali kwanini mmeleta hoja ya kupinga hati ya mashitaka ?
 
Hii kesi ya CCM dhidi ya Mbowe ni wastage of nation resources - badala ya kujenga madarasa watoto wanakaa sakafuni sisi tunahangaika kuudanganya umma wa watanzania na ulimwengu kwa ujumla kwamba Mbowe is a terrorist.

Waafrica tuna shida mingi saana.
 
Uamuzi wa Ijumaa ni kwa judge kuwaambia wanasheria wa serikali wairekebishe hiyo hati ya mashtaka ili ikizi vigevo vya kisheria, vinginevyo, kesi itatupiliwa mbali kama haikizi vigezo hivyo vya kisheria kama wanavyodai waweza pingamizi...
Sawa kamanda. Ikirekebishwa ndiyo mwenyekiti wa Maisha wa saccos anatoka?
 
Isingekuwa na tija , kama pingamizi hili lingeunganishwa na la uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya ugaidi , ingehojiwa kwamba kama mahakama haina uhalali kwanini mmeleta hoja ya kupinga hati ya mashitaka ?
Hawaelewi hawa jamaa..!!
 
Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri, la KUPINGA HATI YA MASHITAKA KUTOKIDHI VIGEZO NA MASHARTI YA KISHERIA, kukosewa kwa hati hii kunatokana na uwezo mdogo na umbumbumbu wa Wanasheria wa serikali ,mara zote imesemwa sana kuhusu uwezo wa watu hawa.

=====

Leo Septemba Mosi, 2021 Mawakili upande wa utetezi wameweka pingamizi lingine kuhusu hati ya mashtaka, wamedai kuwa imekosa vigezo vya kisheria na upande wa Serikali wameomba Ijumaa Septemba 3, 2021 kuja na majibu.

Mahakama hiyo imeridhia ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Ijumaa.
Serikali ilikwisha thibitisha kosa hivyo mahakama lazima itekeleze uamuzi wa serikali.
 
Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri, la KUPINGA HATI YA MASHITAKA KUTOKIDHI VIGEZO NA MASHARTI YA KISHERIA, kukosewa kwa hati hii kunatokana na uwezo mdogo na umbumbumbu wa Wanasheria wa serikali ,mara zote imesemwa sana kuhusu uwezo wa watu hawa.

=====

Leo Septemba Mosi, 2021 Mawakili upande wa utetezi wameweka pingamizi lingine kuhusu hati ya mashtaka, wamedai kuwa imekosa vigezo vya kisheria na upande wa Serikali wameomba Ijumaa Septemba 3, 2021 kuja na majibu.

Mahakama hiyo imeridhia ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Ijumaa.
Mungu wabariki wote wanaompigania mwenyekiti, wanaoipigania CHADEMA na wapigania haki wote

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka waseme yesu alikuwa na mkewe, they will know.
... eti Yesu aliongozana na mkewe kwenda kuhesabiwa [(mkewe) akiwa mjamzito wa mimba yake mwenyewe (Yesu)]! Hata kilaza wa mwisho duniani ujinga huo hauwezi kumtoka kinywani awe mkristo au vinginevyo kwa mara ya kwanza upumbavu huo umesikika kutokea CCM! Kuna majitu mapumbavu hakuna mfano!
 
ngamizi za aina hiyo hazina tija yoyote. Sana sana zinachelewesha tu kesi ya msingi, kwasababu hata kesi ikitupwa mtuhumiwa anaweza kukamatwa tena na kesi ikafunguliwa upya. That may not buy you even 15 minutes of freedom. Ukitoka tu mahakamani polisi wanakudaka tena!
Hakuna kesi hapo, bali ni utoto kutoka kwa viongozi wenye kiburi cha madaraka.
 
... eti Yesu aliongozana na mkewe kwenda kuhesabiwa [(mkewe) akiwa mjamzito wa mimba yake mwenyewe (Yesu)]! Hata kilaza wa mwisho duniani ujinga huo hauwezi kumtoka kinywani awe mkristo au vinginevyo kwa mara ya kwanza upumbavu huo umesikika kutokea CCM! Kuna majitu mapumbavu hakuna mfano!
😆😆😆😆
 
Isingekuwa na tija , kama pingamizi hili lingeunganishwa na la uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya ugaidi , ingehojiwa kwamba kama mahakama haina uhalali kwanini mmeleta hoja ya kupinga hati ya mashitaka ?
Una akili sana hata mimi umenipa mwanga
 
Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri, la KUPINGA HATI YA MASHITAKA KUTOKIDHI VIGEZO NA MASHARTI YA KISHERIA, kukosewa kwa hati hii kunatokana na uwezo mdogo na umbumbumbu wa Wanasheria wa serikali ,mara zote imesemwa sana kuhusu uwezo wa watu hawa.

=====

Leo Septemba Mosi, 2021 Mawakili upande wa utetezi wameweka pingamizi lingine kuhusu hati ya mashtaka, wamedai kuwa imekosa vigezo vya kisheria na upande wa Serikali wameomba Ijumaa Septemba 3, 2021 kuja na majibu.

Mahakama hiyo imeridhia ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Ijumaa.
Iko siku Mbowe atashinda na kuwa huru. "Let's keep our fingers crossed".
 
Back
Top Bottom