Kazi bado ngumu: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi jipya, Mahakama yakubali kulisikiliza

Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri, la KUPINGA HATI YA MASHITAKA KUTOKIDHI VIGEZO NA MASHARTI YA KISHERIA, kukosewa kwa hati hii kunatokana na uwezo mdogo na umbumbumbu wa Wanasheria wa serikali ,mara zote imesemwa sana kuhusu uwezo wa watu hawa.

=====

Leo Septemba Mosi, 2021 Mawakili upande wa utetezi wameweka pingamizi lingine kuhusu hati ya mashtaka, wamedai kuwa imekosa vigezo vya kisheria na upande wa Serikali wameomba Ijumaa Septemba 3, 2021 kuja na majibu.

Mahakama hiyo imeridhia ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Ijumaa.
Kati ya wanasheria wa serikali walloshinda kesi kwenye hukumu ya leo na huyo kilaza wenu Kibatala ambaye uchafu wake umetupiliwa mbali nani ni mbumbumbu?
 
Hakuna pingamizi ni upuuzi mtupu.
Halafu hao Mawakiki wa Gaidi kwa nini wanaichezea na kuisumbua Mahakama hivyo?!
Nadhani lengo la Mawakili ni kuichokonoa Mahakama nadhani hiyo sio tabia ya kuachwa iendelee.
Mahakama inapaswa iwe na msimamo na itoe karipio kwa Mawakili wa Mbowe ambao wanataka kuleta siasa ktk chombo cha Sheria.
Mahakama sio jukwaa la siasa ni sehemu ya kutolea haki, hivyo mawakili wa Mbowe wasiachiwe kutumia vibaya uhuru walio nao wa kutafuta au kupigania haki.
Hivi WEWE ,unajiona unajua sheria , kuliko waliozisomea na kuzifanyia kazi KILA SIKU? Kukaa kimia ni busara, kuliko kuonesha ujinga mbele za watu,
 
Sijui ni kwa nini mapingamizi haya hayakuja pamoja:

1. Kuhoji uhalali- limetupwa
2. Hati ya mashtaka kutokukidhi matwaka ya kisheria kama mahakama ingekubaliana na serikali.. ni mchezo wa paka na pacha kwa sasa.
Hiyo ni mbinu ya medani, hutumii silaha zote kwa pamoja.
 
Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri, la KUPINGA HATI YA MASHITAKA KUTOKIDHI VIGEZO NA MASHARTI YA KISHERIA, kukosewa kwa hati hii kunatokana na uwezo mdogo na umbumbumbu wa Wanasheria wa serikali ,mara zote imesemwa sana kuhusu uwezo wa watu hawa.

=====

Leo Septemba Mosi, 2021 Mawakili upande wa utetezi wameweka pingamizi lingine kuhusu hati ya mashtaka, wamedai kuwa imekosa vigezo vya kisheria na upande wa Serikali wameomba Ijumaa Septemba 3, 2021 kuja na majibu.

Mahakama hiyo imeridhia ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Ijumaa.
Huo ndio uliberali chadema wanapigania. Uhuru wanasheria kucheza na sheria kumlinda mhalifu. Serikali inayolinda haki lazima isiruhusu mawakili kuchezea au kupotezea muda mahakama. Kesi ya ugaidi ya mbowe ianza mara moja mawakili wake waje kumtetea sio kutaka eti kesi itupwe kwa taratibu kukosewa. Taratibu za kufungua mashitaka zinaweza wekwa sawa sio iwe sababu kutupilia mbali shauri.
 
Kesho jaji huyohuyo atalitupiliabali tu

USSR
Kama ni kwa Haki na kukidhi vigezo vya kisheria itakuwa sawa,ila ninachofahamu hii kesi ipo pale ili kuchelewesha madai ya Katiba.Tunaona picha kubwa kuwa kimbilio la CCM ni kuwafungulia kesi ngumu wapinzani wao wa ukweli(Wanaodai Katiba ya Wananchi) baada ya kugundua NEC,POLICE,&Vyombo vya dola vinaanza kuzidiwa.Hilo lipo wazi!
Watanzania tuongeze juhudi na maarifa katika madai ya Katiba Mpya hata wakati huu mgumu wa kesi za kughushi dhidi ya Mh.Mbowe zikiendelea.Umoja ni Nguvu na Utengano ni Udhaifu.Site kwa pamoja tunaweza na kila mpenda Haki asimame kwa namna anayoweza kufikisha ujumbe wa mabadiliko tunayoyahitaji.
Mungu zibariki Tanganyika na Zanzibar zilizoungana na Uwabariki watoto wao.Amen.
 
Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri, la KUPINGA HATI YA MASHITAKA KUTOKIDHI VIGEZO NA MASHARTI YA KISHERIA, kukosewa kwa hati hii kunatokana na uwezo mdogo na umbumbumbu wa Wanasheria wa serikali ,mara zote imesemwa sana kuhusu uwezo wa watu hawa.

=====

Leo Septemba Mosi, 2021 Mawakili upande wa utetezi wameweka pingamizi lingine kuhusu hati ya mashtaka, wamedai kuwa imekosa vigezo vya kisheria na upande wa Serikali wameomba Ijumaa Septemba 3, 2021 kuja na majibu.

Mahakama hiyo imeridhia ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Ijumaa.
 
Pingamizi za aina hiyo hazina tija yoyote. Sana sana zinachelewesha tu kesi ya msingi, kwasababu hata kesi ikitupwa mtuhumiwa anaweza kukamatwa tena na kesi ikafunguliwa upya. That may not buy you even 15 minutes of freedom. Ukitoka tu mahakamani polisi wanakudaka tena!
Unaushauri gani hapo?Kuhofia kudakwa ndiyo kumzuie kudai Haki zake?Kila Mtanzania kwa sasa anafahamu jinsi Mh.Mbowe anavyonyanyaswa isivyo halali badala ya kujitetea unataka ajisalimishe kushtakiwa kwa hati ya mashtaka isiyo na uhalali wa kisheria?
Ushauri kwa CCM: Ficheni basi hata hiyo aibu yenu ya chuki na hofu dhidi ya wapinzani wenu wa kisiasa kwa kutumia vyombo vya dola nanyi mfanye siasa.
 
Isingekuwa na tija , kama pingamizi hili lingeunganishwa na la uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya ugaidi , ingehojiwa kwamba kama mahakama haina uhalali kwanini mmeleta hoja ya kupinga hati ya mashitaka ?
Mkuu utaratibu ni kwamba, ukiweka hoja za pingamizi hata 20 na hoja ya Mamlaka ikiwemo hata ikiwa ni hoja ya 17 basi itaanza kuamliwa hoja hiyo kabla ya hoja zingine zote,
then kama mahakama ikiona kweli haina mamlaka inaachana na hoja zingine zote hizo 19 maana zilijiegesha kwenye hiyo hoja ya mamlaka hivyo kesi inatupiliwa mbali.

LAKINI mahakama ikiona ina mamlaka kama ilivyoamriwa leo basi ingeendelea kusikiliza hoja nyingine ya pingamizi km wangeiweka.
So ilikuwa inawezekana kuweka hoja zote, lkn hata hivyo kuweka pingamizi lingine tofauti ni kawaida kabisa kwenye medani za sheria it's ok.
 
Hakuna pingamizi ni upuuzi mtupu.
Halafu hao Mawakiki wa Gaidi kwa nini wanaichezea na kuisumbua Mahakama hivyo?!
Nadhani lengo la Mawakili ni kuichokonoa Mahakama nadhani hiyo sio tabia ya kuachwa iendelee.
Mahakama inapaswa iwe na msimamo na itoe karipio kwa Mawakili wa Mbowe ambao wanataka kuleta siasa ktk chombo cha Sheria.
Mahakama sio jukwaa la siasa ni sehemu ya kutolea haki, hivyo mawakili wa Mbowe wasiachiwe kutumia vibaya uhuru walio nao wa kutafuta au kupigania haki.
How old are you?
 
Wewe hujui kitu,kachukue pm yako Lumumba peleka dagaa nyumbani zikachemshwe

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini wasiweka kwa pamoja na pingamizi la jana

IMG-20210404-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom