MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Mungu yupo upande wetu!Kushindana kisheria na wenye nguvu wasiofuata sheria, kupata matokeo chanya ni ndoto. Save energy, jipange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu yupo upande wetu!Kushindana kisheria na wenye nguvu wasiofuata sheria, kupata matokeo chanya ni ndoto. Save energy, jipange
Kati ya wanasheria wa serikali walloshinda kesi kwenye hukumu ya leo na huyo kilaza wenu Kibatala ambaye uchafu wake umetupiliwa mbali nani ni mbumbumbu?
Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri, la KUPINGA HATI YA MASHITAKA KUTOKIDHI VIGEZO NA MASHARTI YA KISHERIA, kukosewa kwa hati hii kunatokana na uwezo mdogo na umbumbumbu wa Wanasheria wa serikali ,mara zote imesemwa sana kuhusu uwezo wa watu hawa.
=====
Leo Septemba Mosi, 2021 Mawakili upande wa utetezi wameweka pingamizi lingine kuhusu hati ya mashtaka, wamedai kuwa imekosa vigezo vya kisheria na upande wa Serikali wameomba Ijumaa Septemba 3, 2021 kuja na majibu.
Mahakama hiyo imeridhia ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Ijumaa.
Hivi WEWE ,unajiona unajua sheria , kuliko waliozisomea na kuzifanyia kazi KILA SIKU? Kukaa kimia ni busara, kuliko kuonesha ujinga mbele za watu,Hakuna pingamizi ni upuuzi mtupu.
Halafu hao Mawakiki wa Gaidi kwa nini wanaichezea na kuisumbua Mahakama hivyo?!
Nadhani lengo la Mawakili ni kuichokonoa Mahakama nadhani hiyo sio tabia ya kuachwa iendelee.
Mahakama inapaswa iwe na msimamo na itoe karipio kwa Mawakili wa Mbowe ambao wanataka kuleta siasa ktk chombo cha Sheria.
Mahakama sio jukwaa la siasa ni sehemu ya kutolea haki, hivyo mawakili wa Mbowe wasiachiwe kutumia vibaya uhuru walio nao wa kutafuta au kupigania haki.
Kwa hili nakubaliana na weweWanajipotezea tu muda, team ya Mbowe inaogopa kesi ya msingi kusikilizwa, mwisho wa siku lazima kesi ya msingi kusikilizwa na hukumu kutolewa, huu muda mnaopoteza ni kumuumiza tu Mbowe.
Hiyo ni mbinu ya medani, hutumii silaha zote kwa pamoja.Sijui ni kwa nini mapingamizi haya hayakuja pamoja:
1. Kuhoji uhalali- limetupwa
2. Hati ya mashtaka kutokukidhi matwaka ya kisheria kama mahakama ingekubaliana na serikali.. ni mchezo wa paka na pacha kwa sasa.
Huo ndio uliberali chadema wanapigania. Uhuru wanasheria kucheza na sheria kumlinda mhalifu. Serikali inayolinda haki lazima isiruhusu mawakili kuchezea au kupotezea muda mahakama. Kesi ya ugaidi ya mbowe ianza mara moja mawakili wake waje kumtetea sio kutaka eti kesi itupwe kwa taratibu kukosewa. Taratibu za kufungua mashitaka zinaweza wekwa sawa sio iwe sababu kutupilia mbali shauri.
Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri, la KUPINGA HATI YA MASHITAKA KUTOKIDHI VIGEZO NA MASHARTI YA KISHERIA, kukosewa kwa hati hii kunatokana na uwezo mdogo na umbumbumbu wa Wanasheria wa serikali ,mara zote imesemwa sana kuhusu uwezo wa watu hawa.
=====
Leo Septemba Mosi, 2021 Mawakili upande wa utetezi wameweka pingamizi lingine kuhusu hati ya mashtaka, wamedai kuwa imekosa vigezo vya kisheria na upande wa Serikali wameomba Ijumaa Septemba 3, 2021 kuja na majibu.
Mahakama hiyo imeridhia ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Ijumaa.
Kama ni kwa Haki na kukidhi vigezo vya kisheria itakuwa sawa,ila ninachofahamu hii kesi ipo pale ili kuchelewesha madai ya Katiba.Tunaona picha kubwa kuwa kimbilio la CCM ni kuwafungulia kesi ngumu wapinzani wao wa ukweli(Wanaodai Katiba ya Wananchi) baada ya kugundua NEC,POLICE,&Vyombo vya dola vinaanza kuzidiwa.Hilo lipo wazi!Kesho jaji huyohuyo atalitupiliabali tu
USSR
Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri, la KUPINGA HATI YA MASHITAKA KUTOKIDHI VIGEZO NA MASHARTI YA KISHERIA, kukosewa kwa hati hii kunatokana na uwezo mdogo na umbumbumbu wa Wanasheria wa serikali ,mara zote imesemwa sana kuhusu uwezo wa watu hawa.
=====
Leo Septemba Mosi, 2021 Mawakili upande wa utetezi wameweka pingamizi lingine kuhusu hati ya mashtaka, wamedai kuwa imekosa vigezo vya kisheria na upande wa Serikali wameomba Ijumaa Septemba 3, 2021 kuja na majibu.
Mahakama hiyo imeridhia ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Ijumaa.
Unaushauri gani hapo?Kuhofia kudakwa ndiyo kumzuie kudai Haki zake?Kila Mtanzania kwa sasa anafahamu jinsi Mh.Mbowe anavyonyanyaswa isivyo halali badala ya kujitetea unataka ajisalimishe kushtakiwa kwa hati ya mashtaka isiyo na uhalali wa kisheria?Pingamizi za aina hiyo hazina tija yoyote. Sana sana zinachelewesha tu kesi ya msingi, kwasababu hata kesi ikitupwa mtuhumiwa anaweza kukamatwa tena na kesi ikafunguliwa upya. That may not buy you even 15 minutes of freedom. Ukitoka tu mahakamani polisi wanakudaka tena!
Huyo kibushuti mla mbaazi labda ndiye aliyewafungisha hiyo ndoa!!Ngugay anajua walipofungia ndoa
Kumbe tupo njia moja!!Mpaka waseme yesu alikuwa na mkewe, they will know.
Mkuu utaratibu ni kwamba, ukiweka hoja za pingamizi hata 20 na hoja ya Mamlaka ikiwemo hata ikiwa ni hoja ya 17 basi itaanza kuamliwa hoja hiyo kabla ya hoja zingine zote,Isingekuwa na tija , kama pingamizi hili lingeunganishwa na la uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya ugaidi , ingehojiwa kwamba kama mahakama haina uhalali kwanini mmeleta hoja ya kupinga hati ya mashitaka ?
How old are you?Hakuna pingamizi ni upuuzi mtupu.
Halafu hao Mawakiki wa Gaidi kwa nini wanaichezea na kuisumbua Mahakama hivyo?!
Nadhani lengo la Mawakili ni kuichokonoa Mahakama nadhani hiyo sio tabia ya kuachwa iendelee.
Mahakama inapaswa iwe na msimamo na itoe karipio kwa Mawakili wa Mbowe ambao wanataka kuleta siasa ktk chombo cha Sheria.
Mahakama sio jukwaa la siasa ni sehemu ya kutolea haki, hivyo mawakili wa Mbowe wasiachiwe kutumia vibaya uhuru walio nao wa kutafuta au kupigania haki.
Amina kubwa snIko siku Mbowe atashinda na kuwa huru. "Let's keep our fingers crossed".
Wewe hujui kitu,kachukue pm yako Lumumba peleka dagaa nyumbani zikachemshweHakuna pingamizi ni upuuzi mtupu.
Halafu hao Mawakiki wa Gaidi kwa nini wanaichezea na kuisumbua Mahakama hivyo?!
Nadhani lengo la Mawakili ni kuichokonoa Mahakama nadhani hiyo sio tabia ya kuachwa iendelee.
Mahakama inapaswa iwe na msimamo na itoe karipio kwa Mawakili wa Mbowe ambao wanataka kuleta siasa ktk chombo cha Sheria.
Mahakama sio jukwaa la siasa ni sehemu ya kutolea haki, hivyo mawakili wa Mbowe wasiachiwe kutumia vibaya uhuru walio nao wa kutafuta au kupigania haki.
Litupwe vipi wakati linepokelewa tayari?😁😁😁😁...hili pia litatupwa
Bahati mbaya hata huelewiLitupwe vipi wakati linepokelewa tayari?